Maashaallah, mwingoni mwa furaha nikusoma kwa ustadh Said,mungu atupe nafahati zake.
@ashrafkhamis-du7rr5 ай бұрын
MashaAllah
@ashrafkhamis10517 ай бұрын
Masha Allah Fadhiilatul Ustadh Said
@Twahamwela-ch5lz8 ай бұрын
Allah akubarik sheikh wetu sema ombi langu darasa hili la mantwiq lisichukue mda sana kuchelewa maana ni somo zuri na tunapata faida nzuri tu mashaallah allah akubarik mwalim
@Yahyahaji-c4m7 ай бұрын
Masha llaah allah akuwezeshe zaidi kwa juhudi yako tuna pata faida kubwa sana sana
@jumannechadua94268 ай бұрын
Shukraaan maaalm Allah ukulpe kwa jtihad kubwa Zaid na akulnde na maahasd wote😊
@fathisaid89608 ай бұрын
Mashaallah mungu akuzidishie
@Yahyahaji-c4m7 ай бұрын
يحفظك الله من كل عدو
@Yahyahaji-c4m7 ай бұрын
بارك الله فيك
@uthmanmaalim26807 ай бұрын
shukran shekh tunaombaa uziweke kwenye playliist iliziwe kwa mpangilio
@Msalamsaidabdalla8 ай бұрын
Mashallah
@MbaroukMbarouk-gd9yg8 ай бұрын
maashaallah
@AliHassim-hs8in7 ай бұрын
Hicho kitabu ntakipata vipi shekhe
@HassanMurindwa7 ай бұрын
Asalam alykum warahmatullahi wabarakatuh cheikh wangu nashukuru sana kwa kutufaidisha habiby naomba number Yako ya what's up
@sheikh_abdulkarim8 ай бұрын
Ahsanta naomba nijue nakipataje hiki kitabu
@mohammedali16457 ай бұрын
A.a tafadhalini group ya mambrui walimu wenu hamuna bidii yakusomesha kwenye mitandao mwashindina na mawahabi.Muhamad Bachu alisomesha nahau siku mbili na kipande kisha yakamshinda.
@omarsaid6737 ай бұрын
Darasa zuri lk halifiki mbali kwa kuwa walimu mara moja wanachoka fani km hizi ila tunaomba kheri
@saidomarabdalla17687 ай бұрын
Hivo ndio watia moyo tuendelee ama nia yako nikuvunja watu moyo inshaallah mungu akushinde وكذلك جعلنا لكل نبي ……..
@coolvoices66087 ай бұрын
Al Akh elimisha kadri ya uwezo wako. Mtu asikupangie. Kama una hamu sana mtu atoke akaitafute elimu
@Ashrafumohamed-gv5cj7 ай бұрын
mambo yakimishinda mwasema bidaa ivi mnashida gani nyie
@Mariam99-ld4gw8 ай бұрын
Wekeni LIVE ❤❤😂
@saidomarabdalla17687 ай бұрын
Tuweke nini?
@mohammedali16457 ай бұрын
A.a shida yenu muna mbwembe siku mbili na kipande kisha mwapoteya.Mumeanza nahwu,swarfa kisha huyo mwapoteya.Kuweni serious.
@saba-gv3mj7 ай бұрын
Ww usie kua na mbwembwe njoo njoo ufundishe tukuone ilimu yako ya upotofu mawahabi ni msiba
@مبغضالبدع-ع9ص7 ай бұрын
💥 قال البغوي رحمه الله: "واتفق علماء السلف من أهل السنة على النهي عن الجدال والخصومات في الصفات، وعلى الزجر عن الخوض في علم الكلام، وتعلمه." انتهى من "شرح السنة" (1/ 216).
Allah atuhifadhi wakati aliousema mtume saw umefika wasanii wa nyimbo ndio maulamaa eti wanawafundisha watu dini yani wao washapotea na wengine nikupotea tu allah atuhifadhi
@hafidhseif16867 ай бұрын
Sena ALLAH Akuondolee Kibri Na hasad
@Ashrafumohamed-gv5cj7 ай бұрын
yani watu wasitumie elimu waende kwa fikra tu mtoa post wa kwanza uwe na adabu wewe kama kuna sehemu hujaelewa uliza acha chki na watu wa elim mbn vitu vinavyozungumzwa vinaeleweka na wewe kama una namna yako ya kutumia fikra bila elimu tafuta wajinga wenzako acha chuki
@Onlyforfun1992tube7 ай бұрын
Uyu shekh anaonekana kichwani hamna kitu
@saidimtoni11487 ай бұрын
,Rusha nawewe darsa zako tuone mwenye kitu kichwan
@coolvoices66087 ай бұрын
😂eka darsa lako tukupime na ww yaezekana hata huna akili ya kueka hicho kitu
@Onlyforfun1992tube7 ай бұрын
Nishajua kwamba uyo ni shekhe wenu ndiomana
@AhmedMohamedMadaiMadai7 ай бұрын
Chuki z nn half unajiit muislam mawahab
@saidimtoni11487 ай бұрын
Kwaiyo shekh asie kuwa wako kwako sio shekh ,nahisi unashida mahali
@Abuu-lr5bz7 ай бұрын
Huko kujifanya mnajua lugha kuliko maswahaba ndio kumewafanya muwe watu wapotovu na uzushi kwasababu ya ubovu wa fikra zenu kwa kigezo eti mnajua lugha
@saidkipalo44277 ай бұрын
Kasome wewe elimu yako ndogo, Acha upotoshaji kijana
@AhmedMohamedMadaiMadai7 ай бұрын
Chuki za nn ww kijana half unajitia muislam hebu kasome Wacha chuki na kipovu
@braqutourssafaris46727 ай бұрын
Ila mkishhindwa hoja hua mna kua wakali kweli😅😅
@pavillioncry52417 ай бұрын
Acha kusomesha elimu ya ufisad Elimu mbaya elmu faaasiq
@ALJAMALDIN7 ай бұрын
Ww acha chuki kasoma
@AbasiSharifali7 ай бұрын
Hadith gan imesema hio ni ilmu fasiq au mbaya shida mawahab wivu unawasumbua na ujnga
@Ashrafumohamed-gv5cj7 ай бұрын
wataka isomeshwe elimu gan
@Ashrafumohamed-gv5cj7 ай бұрын
dah
@iddijumaali71927 ай бұрын
Ilmu mantiq bid aaaa
@ingodwetrust18527 ай бұрын
Neno bidaa unatumia vibaya, mbona kwenye hesab tunasoma logic je nayo ni vibaya au ndio unapigwa kampen muwe maboya
@iddijumaali71927 ай бұрын
@@ingodwetrust1852 sasa wapi na wapi hesabu na mantiq mantiq unataka kwenda tafsiri hadithi ikisha upotoshe
@AbasiSharifali7 ай бұрын
Nilmu gan ya fanni ambao sibidaa jenahwu balagha usulul fiqhi mustwalahul hadith je hizi sinidaa
@iddijumaali71927 ай бұрын
@@AbasiSharifali usifananishe hizo fani na mantiq
@iddijumaali71927 ай бұрын
@@AbasiSharifali usifananishe na mantiq elimu ya kutumia akili yako
@Ashrafumohamed-gv5cj7 ай бұрын
mambo yakimishinda mwasema bidaa ivi mnashida gani nyie