CHATANDA AMPONGEZA DKT. MWINYI UMEKONGA NYOYO ZA WANANCHI WA ZANZIBAR KWA KUBORESHA UWANJA WA AMANI"

  Рет қаралды 2,185

Chama Cha Mapinduzi - Official

Chama Cha Mapinduzi - Official

Күн бұрын

Mwenyekiti wa UWT Taifa Ndg.Mary Chatanda ametembelea na kukagua uwanja wa Amani Stadium na kuridhika na maendelea ya maboresho yanayofanyika kwenye Uwanja huo.
Uwanja wa Amani Stadium umeboreshwa kwa thamani zaidi ya Billioni 52 ambapo mpaka sasa kazi inaendelea.
Chatanda ametembelea uwanja wa Amani leo tarehe 28 Oktoba 2023.
UWT IMARA JESHI LA MAMA KAZI IENDELEE

Пікірлер: 3
@jumahaj
@jumahaj 10 ай бұрын
Ndioooooooooo hongera
@Hillary_Daudi_Mrema
@Hillary_Daudi_Mrema 10 ай бұрын
Mungu Ibariki Tanzania Mungu Ambariki Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi Mungu Awabariki Viongozi wote wa Chama cha Mapinduzi na Wanachama wote. Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Kazi Iendelee🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
@Hillary_Daudi_Mrema
@Hillary_Daudi_Mrema 10 ай бұрын
Maboresho katika Uwanja wa Amani Stadium Zanzibar yatatusaidia katika kutangaza Utalii wetu kupitia Michuano ya AFCON 2027 ambapo Tanzania ni Nchi mwenyeji. Pia fursa za Biashara zitakuwepo. Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Kazi Iendelee🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Bend The Impossible Bar Win $1,000
00:57
Stokes Twins
Рет қаралды 47 МЛН
Cute
00:16
Oyuncak Avı
Рет қаралды 9 МЛН
Or is Harriet Quinn good? #cosplay#joker #Harriet Quinn
00:20
佐助与鸣人
Рет қаралды 54 МЛН
BOMOA BOMOA  YAZUA VURUGU ZANZIBAR
8:03
AL FATAH TV ONLINE
Рет қаралды 65 М.
Riggy G Ananyolewa Bila Maji!! - Eugene Wamalwa
43:17
Radio Maisha
Рет қаралды 2,8 М.
#YALIYOMO NDANI YA SOKO LA KWEREKWE ZANZIBAR
29:19
IsleBlogTv
Рет қаралды 30 М.
The Story Book : Mizimu Ndani Ya Pango La Ngonga Zanzibar
30:04
Wasafi Media
Рет қаралды 238 М.
RC KINDAMBA AZINDUA BOTI  YA KISASA YA ABIRIA TANGA - ZANZIBAR
4:02
TANGA MKOA TV
Рет қаралды 18 М.
MAMA KAMWAMBIA DK MWINYI ''WE MUONGO'' BILA WOGA
5:18
Tifu Tv
Рет қаралды 14 М.