Рет қаралды 106
Makamu Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi ya CCM Tanzania Ndg. Dogo Idd Mabrouk amekemea vitendo vya baadhi ya wanaume kupiga wake zao na badala yake kuhamasisha na kusisitiza juu ya Matunzo kwa wanawake pia upendo baina ya mume na mke.
Ndg. Dogo Idd Mabrouk ameyasema hayo akiwa katika Kilele cha Maadhimisho ya Wiki ya Wazazi Kitaifa yaliyofanyika mkoani Manyara.
#CCMApp
#KileleChaWikiYaWazazi