Ashinde Lissu au Mbowe bado mpasuko utakuwa mkubwa na unaweza kuzaa chama kipya na Chadema haita kufa ila itapitia wakati mgumu sana. Kikubwa acheni kuwatisha wanachama na wapenzi wa Chadema, wapeni nafasi ya kutumia demokrasia na kura zao kumpigia kiongozi wanaye mtaka na acheni namkome kuwarubuni wanachadema ilinwampigie mtu mnayemtaka ninyi.Hapa Tanzania hatuishi kwa tiketi za vyama vya siasa, na kufa kwa chama cha siasa sio kifo cha Tanzania kupata viongozi wake.
@anosiata82423 күн бұрын
Tunataka lissu
@rebekakulwa61592 күн бұрын
Wajumbe ole wenu mchague mbowe mtalaaniwa kabisa na itakuwa mwisho. Wa chadema kitakufa
@goodluckjohnuiso-gt1fg3 күн бұрын
Huwezii kumshinda adui kwa kuanzisha vita ya ndani!!!
@RomanMwinyi3 күн бұрын
Sasa alie kuambia kupiga kula vita nani we chagua unae mpenda