Marumbano yenu,ujaazba wenu wa kutokujenga hoja sikilizana kunawavunja moyo wananchi, chama SI mali ya viongozi, bali wapiga kula,sasa hayo malumbano yenu yanatuvuruga hali ya watu ktk kurumbana, mnakibomoa chama hamkijengi Kwa ulisi na umboye unaharibu hali na uimara wa chama, mmepotea sana, msipoangalia mtarudi mlipoanzia kama siyo mpasuko
@DavidBisse18 күн бұрын
Mwamba mbeba maono jasiri asiyeogopa ayumbishwi na ccm na tunamwamini tuliowengi tz ni nani hyu kamanda lissuuuu ndiye mpizani w kweli kweli kwelikweli tz.