TRADEZERO PRO SETUP
42:07
4 ай бұрын
Maswali na Majibu Kuhusu Stocks
46:42
PODCAST DEVICE MIC TEST
0:49
Жыл бұрын
KULIPIA MY COLUMN
1:03
2 жыл бұрын
JINSI YA KUITUMIA MY COLUMN APP
8:25
Unafahamu nini kuhusu List?
2:40
2 жыл бұрын
Пікірлер
@maryamdotto2633
@maryamdotto2633 22 күн бұрын
Kaka nachangamoto ya cm yangu Niki save number naambiwa ni invite je waweza chukua number yangu
@maryamdotto2633
@maryamdotto2633 22 күн бұрын
Samahan brother ww uko wapi naitaj nikutafute what's up
@Jeff_Tz
@Jeff_Tz 23 күн бұрын
Safi sana🎉
@FadhiliMtepeka
@FadhiliMtepeka Ай бұрын
Tuma link ya group
@fortunatah
@fortunatah Ай бұрын
haujib sms whatsapp 🤔
@eleunolakihanza910
@eleunolakihanza910 Ай бұрын
Je kama hujui kingereza inakuwaje hapo ndio changamoto
@BenjaminiPeterUdoba
@BenjaminiPeterUdoba Ай бұрын
Nimechukua namba nitawatafuta
@jamilaathumani5481
@jamilaathumani5481 2 ай бұрын
Nakuja kaka marekan nije kupambana inshallah...bongo sielew kaka nitakutafuta unipe madini kaka
@jamilaathumani5481
@jamilaathumani5481 2 ай бұрын
Kipindi kizur ila ukifanya ya video itaongeza mvuto zaidi ya kipindi kaka..
@salomemkilima5732
@salomemkilima5732 2 ай бұрын
safi sana mnafanya vizuri mnatusaidia sana sisi wabongo ni waoga na uoga wao ni kuzurumiwa na hela yenyewe tunaipata kwa shida sana hadi unauza vitu then unakuja kuzurumiwa inaumiza sana.tusaidieni sana.
@salomemkilima5732
@salomemkilima5732 2 ай бұрын
nimeomba kazi za mashambani zinazo tangazwa na serikali yani makampuni yanapeleka maombi yao serikalini then serikali ya CANADA inatangaza watu kutoka nchi mbalimbali waombe nchi hizo kazi yani kazi za watu wasio na elimu japo hata wenye elimu zao wanaomba.
@salomemkilima5732
@salomemkilima5732 2 ай бұрын
Tunashukuru kwa ushauri .je sisi tunaotaka kuja kwa vibarua vya shambani je tunafanyaje? maana wengine ndio tumeanza mchakato wa nafasi za kazi za mashambani tunataka kuja kutafuta kipato tu japo mimi ni nurse najua huko nursing yetu hailingani na huko wenzetu wapo juu japo ujuzi ni uleule ila vyeti vya wenzetu vipo juu.ila care giver je ninaweza kupata?
@salomemkilima5732
@salomemkilima5732 2 ай бұрын
kwamfano mimi nime apply kazi za mashambani hivi karibuni lakini sija jibiwa bado je kama watachelewa kujibu hadi mwezi huo je itakuwaje endapo nitapata nafasi ya kuja CANADA?
@ElizabethKitime
@ElizabethKitime Ай бұрын
Umeapply vipi maana kila nikijaribu nashindwa nielekezi
@tatually1366
@tatually1366 2 ай бұрын
🤝🤝
@tatually1366
@tatually1366 2 ай бұрын
🎉🎉
@user-iz9ci4rs3d
@user-iz9ci4rs3d 2 ай бұрын
Tunashukuru
@JimmyMbobo
@JimmyMbobo 3 ай бұрын
Saf sana
@reginahmwanzia927
@reginahmwanzia927 3 ай бұрын
This your number not on WhatsApp
@alphoncemaganga1876
@alphoncemaganga1876 3 ай бұрын
Ok asante kwa uelimishaji,mm nahitaji kazi canada ,je unaweza nisaidia? danmaga31
@user-ec6fv3if8g
@user-ec6fv3if8g 3 ай бұрын
Tupe viitu kaka
@user-sy7dw6be5v
@user-sy7dw6be5v 3 ай бұрын
Bro mwezi wa tisa wa mka upi
@joejoshua7791
@joejoshua7791 3 ай бұрын
Kazi hakuna immigrant wengi wanahamia nchi zingine
@jescanicodemus
@jescanicodemus 2 ай бұрын
@@joejoshua7791wewe upo nje
@lemzansi2586
@lemzansi2586 3 ай бұрын
Ebhna jamaa kanyoosha Sana najiandaa kuja uko kuanza maisha unaweza niconect nae uyo jamaa nimemkubali uyo genius Sana anaweza niongoza nianzie wapi
@SalomeKhalfani-cm9xy
@SalomeKhalfani-cm9xy 3 ай бұрын
Mie nataka kwenda lakini Sina pesa ajedi hugalamiu safali mtu akifika mtalipana
@Levis438
@Levis438 3 ай бұрын
Hivi kulikua na ulazima gani wa kumsifia huyo mama yenu mxiuuuuuuuuuuuu
@mtizman_salimridhwan187
@mtizman_salimridhwan187 3 ай бұрын
nice interview 👌
@benedictobujiku9526
@benedictobujiku9526 3 ай бұрын
Kwenye hiyo namba yenu ya sim niweke cod ya wapi? Mi nipo sauzi, nataka kuongea na nyinyi kuhusu safari
@josephnyanda1512
@josephnyanda1512 3 ай бұрын
💥💥💥💥
@ThomasMkwavi
@ThomasMkwavi 3 ай бұрын
Kaka saidy tupo pamoja sanaaa
@sylvesterfrancis6826
@sylvesterfrancis6826 3 ай бұрын
Good!!🎉
@mobilebeats3086
@mobilebeats3086 3 ай бұрын
Asnte sana
@ThomasMkwavi
@ThomasMkwavi 3 ай бұрын
Shukrani sanaa kwa taarifaa
@husseinsalimbora3534
@husseinsalimbora3534 3 ай бұрын
Habari ni nzuri sana.
@twahiruabdul
@twahiruabdul 3 ай бұрын
Ahsante ndg
@abuusalum928
@abuusalum928 3 ай бұрын
Ma shaa Allah
@abuusalum928
@abuusalum928 3 ай бұрын
Nondo kali sana bro !!
@geraldwilliam2822
@geraldwilliam2822 3 ай бұрын
Interview imekaa poa.
@khadijashinani4334
@khadijashinani4334 3 ай бұрын
Said una nipa moral san
@khadijashinani4334
@khadijashinani4334 3 ай бұрын
Ngoj nijichange maan nimechok
@fallykhan2383
@fallykhan2383 3 ай бұрын
Lete muendelezo wa hii kitu
@alhajikimoto1444
@alhajikimoto1444 3 ай бұрын
Tatizo tu ni kwamba kwenye Simu hizo charts zinakuwa ndogo mno kiasi cha kushindwa kuifutilia!!
@alhajikimoto1444
@alhajikimoto1444 3 ай бұрын
Keep it up brother!!
@jovovichmedia9424
@jovovichmedia9424 3 ай бұрын
Wanaitwa Cash Dog
@joshuafabian8934
@joshuafabian8934 3 ай бұрын
Superb
@user-un1qm5zs5k
@user-un1qm5zs5k 3 ай бұрын
Moja ya Interview kali sana iliyoamsha zaidi hali na morali ya kusafiri asante kwa madini.
@haroubkibanda5182
@haroubkibanda5182 3 ай бұрын
Imekaa vzr sn hii mkuu @ Saidi Mbondela
@abdulfimbo3276
@abdulfimbo3276 3 ай бұрын
Good advice
@user-xk5hd3rg5n
@user-xk5hd3rg5n 3 ай бұрын
Kiongozi hebu chek na sauti mkuu. Iko chini sana
@saidimbondela9158
@saidimbondela9158 3 ай бұрын
Sawa nitalizingatia hilo
@imujunior8748
@imujunior8748 3 ай бұрын
Keep it up i really like what you doin' 👏👏👏 Keep showing up! Until they recognize
@saidimbondela9158
@saidimbondela9158 3 ай бұрын
Appreciate that
@user-xk5hd3rg5n
@user-xk5hd3rg5n 4 ай бұрын
Mkuu sauti iko chini sana
@jacksonmntambo6836
@jacksonmntambo6836 4 ай бұрын
Unyama sana mzee