safi sana mnafanya vizuri mnatusaidia sana sisi wabongo ni waoga na uoga wao ni kuzurumiwa na hela yenyewe tunaipata kwa shida sana hadi unauza vitu then unakuja kuzurumiwa inaumiza sana.tusaidieni sana.
@nasryniddi60092 жыл бұрын
mashaAllah interview nzuri na nna imanı itasaidia wengi mno👏👏👏👏