Рет қаралды 481
Helo Guys
Hii ni EP01 katika PODCAST yangu ambapo nitakua nikialika wageni mbalimbali watupe experience yao kwenye maswala mbalimbali yanayowahusu vijana kama vile Elimu, Ajira na Fursa za Nje ya Nchi.
Mgeni wetu wa wiki hii ni Engineer Omar Mgembe ambaye ana experience ya kuishi na kusoma UTURUKI NA UJERUMANI. Ana Experience ya Kufanya kazi UJERUMANI NA MAREKANI akiwa bado ni mwanafunzi. Ana experience ya kutembea Nchi za Bara la Ulaya na leo atashea na sisi safari yake hadi hapo alipofika. Bado kuna mengi hajatueleza, usikose katika EP02 itayotoka hivi Karibuni.