Daah story ilikuwa nzuri iliojaa mafundisho😢 watu tuwache tamaa turidhike na kile ambacho Mungu anatujalia kupenda mali nyingi ambazo hazina furaha ktk maisha yetu zaidi ya kuua na familia tuwache hizo tamaa
@Teacher_013 ай бұрын
Inasikitishaa sanaa watu wanakimbilia sana kwa waganga na kumsahau mungu maajabu sanaa.
@annkim26903 ай бұрын
Ndio asili Yao ilikua hivyo hawa jafunzwa kuhusu Mungu
@aftapat53653 ай бұрын
🙌🙌 toka mwazo nasubiri hatimae leo namba 3 imetika ila dakika 18 ni ndigo
@LoFi_1203 ай бұрын
Yesu ni mshindi
@Irenes_Kitchen3 ай бұрын
Wa kwanza but story inahuzunisha sana😢😢 vijana msiwe na tamaa mpka mnaua wazazi wenu kwa MUNGU mtasema nini😢 maana hii dunia tunapita tu😮
@SolomoniRingia3 ай бұрын
Nami nipomooo😂😂😂 watatu leo🎉🎉🎉🎉
@Hassan_Mengi3 ай бұрын
Amen
@jotafungo46222 ай бұрын
Ok sawa
@KhadijaMwenda3 ай бұрын
Kwa shetan hakunaga Cha bure na mwisho mzuri kamweeee
@mujwasteven2 ай бұрын
Ila davistar ulishasikia mengi mdogo wangu 😁
@LatifaNyabenda-sp3eq3 ай бұрын
Mtihani sana
@tahirnephessalum36783 ай бұрын
dada anajua kuhadithia... story ya kweli utaijua tu
@reisezone45743 ай бұрын
andaa sasa muda wa maswali kusanya maswali kisha umtafute tena ajibu maswali
@maureenmwende35153 ай бұрын
😢😢😢
@annkim26903 ай бұрын
Mama mkwe pongezi jamani kama sio yeye mungeangamia kaka ako kuzimu huko anatumikushwa
@MenMakona2 ай бұрын
Kwa mungu yote yanawezekana
@annkim26903 ай бұрын
Yani mafuno ni mengi lakini watenda kaxi ni wachache Yani hayo yote hakuna mtumishi wa Mungu alie wapitia
@scholamwasi3 ай бұрын
Bola uku tumeenda mbele tumemaliza
@lucymeck40143 ай бұрын
Kwa nini Mlikuwa hamuwazi kuna Mungu
@reisezone45743 ай бұрын
Stori nzuri ila fupi Shebi umeifanya imekuwa fupi ulitakiwa kila hatua umwambie aelezee taratibu kiundani na sio juu juu tu;Sasa andaa kipindi cha Maswali