PART9:PASTOR ISACK JINSI YA KUJUA KAMA NAFSI YAKO IMETEKWA KICHAWI,DALILI NA JINSI YA KUJINASUA

  Рет қаралды 1,485

Davistar Media

Davistar Media

Күн бұрын

Пікірлер: 15
@nkurunzizaappolinaire7167
@nkurunzizaappolinaire7167 Ай бұрын
Mchungaji, kazi yako naikubali.. nimewai kulishi na mke nchawi mungu akanisaidia.. ningeomba number ili na mimi niweze kusaidia angalau kazi ya bwana iendelee
@pastorbarakangata606
@pastorbarakangata606 Ай бұрын
namba ipo apo kwenye video inamaandishi mekundu
@tonitodd1922
@tonitodd1922 Ай бұрын
Hapo Kwa ubatizo sijakubaliana nayy. Sio lazima mwili uzame ndiposa ubatizo uwe halali. Hata Maji ya kikombe yanatosha.
@hildpaul7823
@hildpaul7823 Ай бұрын
Kwa hiyo utabadilishaje jina la ukooo huo ni utumwaaa mbona wazungu hawabadilishi uko wao kwa nn ss wa Africa
@edithaeugeni9695
@edithaeugeni9695 Ай бұрын
MTUMISHI BWANA YESU ASIFIWE NAJUWA UTAIONA HII MESSAGE MAANA ULISEMA TUULIZE MASWALI UTASOMA COMMENT NAOMBA UNISAIDIE HIVI MTU AKIOTA AMEFIWA NA NDUGU YAKE NA LILE JENEZA AKAWA AMELIBEBA KICHWANI NA KILA WATU WAKITAKA KUMTUWA WAMZIKE ALIYEKO NDANI YA JENEZA ANAGOMA INAMAANA GANI 🤔🤔🤔
@GiliardKashimba
@GiliardKashimba Ай бұрын
Maana yake uyo mtu alie jitwika lile jeneza amebeba matatizo ya yule mtu aliomo ndani ya jeneza, lile jeneza maana yake nitatizo kubwa ambaro limefunika kila kitu kwenye maisha pia anajua wakumtoa kwenye lile tatizo ni wewe ndio maana anakataa mtu mwingine ila ni wewe tu ebu tafakali kwahisia sana ninanini ambae anayo shida ambaro nikubwa kiasi chakuku huzunisha moyo wako wewe ndie wakumpa msahada au kama ayupo kunajambo linguine
@GiliardKashimba
@GiliardKashimba Ай бұрын
Tatizo ambaro limefunika kila kitu kwenye maisha yake kias chakumlete kifo kwa makini umwokoe maana mda simlefu umauti upojuu yake yani roho wa mauti inamuwinda
@edithaeugeni9695
@edithaeugeni9695 Ай бұрын
@@GiliardKashimba Mhiii Kiukwelii hyo familia nilio iotea hivyo ni kwao na mama yangu mdogo alie olewa kwetu na yeye ndo alie nilea mimi ila kwanzya mwaka wa 2021 alianza kufa babu akafuata mama mkubwa nae niliishi nae Dar akaja kafa bibi kukaa kidogo akafa mama mdogo alie Nilea haukupita tena Muda akafa mama mkubwa nae alikuwa amenilea juzi tena mwezi wa4 kafarikii mama mkubwa mwingine na wote hao wempoteza Maisha nikiwa njee ya nchi yaani ndani ya miaka 3 nimepoteza watu 5na wote ni wa familia moja hyu nilie Muota na ndugu wengine wa3 ndo wamebaki kulea wale watoto wamarehemu wote Na hili ulilo lisema eti kubeba jeneza nikwamba niliamisha matatizo yao na kuleta kwangu hata mie niliwaza hivyo tu na chaajabu hadi nakuja kuamka sikuwa nimelituwa lilejeneza😢
@FlorenceOnena
@FlorenceOnena Ай бұрын
Ako vizuri sana kwa mafunzo.
@LoFi_120
@LoFi_120 Ай бұрын
Mtumishi jitajidi urudi kwenye ili neno hapa 11:11 Madini unayo mengi yapangilie yawe na mtiririko mzuri, kwa hivi vipande vipande kwa siku ni ngumu kuelewa. Tusije tukabaki kusikiliza kama story, kumbe kusudi ni kujifunza.
@edithaeugeni9695
@edithaeugeni9695 Ай бұрын
Nakazia🔨
@naomicharles5444
@naomicharles5444 Ай бұрын
Very true
@zulekhasaud483
@zulekhasaud483 Ай бұрын
Tuko pamoja from 🇴🇲
@geofreymulei5695
@geofreymulei5695 Ай бұрын
Kwahaki mwenyenzi mungu amekupea hekima mtumishi na njifunza Tu kutoka kwako
@tonywambua9505
@tonywambua9505 Ай бұрын
Pamoja brother
Running With Bigger And Bigger Lunchlys
00:18
MrBeast
Рет қаралды 120 МЛН
小天使和小丑太会演了!#小丑#天使#家庭#搞笑
00:25
家庭搞笑日记
Рет қаралды 35 МЛН
My Daughter's Dumplings Are Filled With Coins #funny #cute #comedy
00:18
Funny daughter's daily life
Рет қаралды 6 МЛН
Running With Bigger And Bigger Lunchlys
00:18
MrBeast
Рет қаралды 120 МЛН