Habari daktari Nina tatizo la muezi sita sasa . Nikiimba au kusoma kitu au utenzi naishiwa na pumzi haraka sana a natumia nguvu sana kusoma na sivyo nilivyokuwa kabla . Nimeamua kupumzika kwa miez 2 bila ya kusoma kitu wala kupaza sauti .bado ttz lipo pale pale nikisoma kitu kwa sauti kama vile utenzi naishiwa nguvu na sauti hutoka kwa shida sana . Na pia nahisi kama pumzi zimeisha na pia nahema sana mhemo wa kuchoka. Naomba msaada wako.
@Joremimusic2 ай бұрын
pole sana kwa tatizo hilo, hilo tatizo liko nje ya uwezo wangu. nakushauri uende Hosptali uonane na Doctor kwa uchunguzi, naamini utapata tiba ndugu yangu.
@patriccharles9510 Жыл бұрын
Swali langu je ? Baada ya kuvuta pumzi ndani , matumizi yakoje katika kuimba kwa muda mrefu kabla ya kuvuta pumzi nyingine ? Nimekuwa nikipata changamoto Sana mwalimu wangu nisaidie
@Joremimusic Жыл бұрын
Asante kwa swali zuri, naomba nikuahidi somo lake linakuja , nitafundisha juu ya hilo, hilo ni changamoto kwawengi.