Пікірлер
@bakarisalim3313
@bakarisalim3313 4 күн бұрын
Maarifa ni mmoja tu Bonta muuza kura
@bedanm.842
@bedanm.842 10 күн бұрын
Dope
@aviidfox97
@aviidfox97 11 күн бұрын
Tz noma
@OmontoOg
@OmontoOg 18 күн бұрын
Funzo tusichukue Shelia mkononi hata vitamu pia huachwa👏🏻👏🏻👏🏻👏🏻✅
@OmontoOg
@OmontoOg 18 күн бұрын
Kurya boys mmeuwaaa
@sumardgerald1435
@sumardgerald1435 Ай бұрын
🎉chukua maua yako kaka
@omary3238
@omary3238 Ай бұрын
Tunaenda mjini sasa..🎉🎉🎉
@badrihassan9720
@badrihassan9720 2 ай бұрын
Kiukweli hiingoma imebeba uhalisia kamili wamaisha yavijana wakitanzania kwasasa yani mtu mwenye maarifa na taaluma anathamani ila hawa wanao jichekesna kwamaboss na kujibebisha kama mabinti ndio wanao ishi vizuri na serikali imekubaliana nahilo yani UCHAWA imekuwa nikama nisehem yakazi taifa linakumbatia wapumbavu Ili kuukwepa ukweli ambao wakubwa wanajua watapinduliwa kifikra
@mobigo2mobigo
@mobigo2mobigo 2 ай бұрын
Jua Kuchekesha😂 Jua Kuongea Jua Tu Vitu Viwili
@BabeshRiffay
@BabeshRiffay 2 ай бұрын
Hongera mkubwa UNJU BIN UNUKI.kuna watu wametoa ngoma zao hazina ujumbe wowote zaidi ya kujisifia sifia tu.....! Halafu wanajiita wasanii wakubwa....upuuzii....&$^@#,
@barakavalencendola1117
@barakavalencendola1117 2 ай бұрын
Mpo vizur sana
@TeamSelekta
@TeamSelekta 2 ай бұрын
Dokta mkuu vp hospital gani una fanya Kaz bonta nije nikutembele nikuone
@TeamSelekta
@TeamSelekta 2 ай бұрын
Dokta mkuu wa hospital mpaka hip hop daah tutapona dokta hiv yupo hospital gani bonta nikamsalimie
@idrisahussein6654
@idrisahussein6654 2 ай бұрын
Kama ukitaja konshaz please usimuweke bonta
@karimmadege5187
@karimmadege5187 2 ай бұрын
✌️
@frankkajoba8372
@frankkajoba8372 3 ай бұрын
huu wimbo umegusa maisha yaliyopo Tanzania, saizi hii inchi watu wajinga wajinga kama machawa ndio wanapata maisha kuliko professionals😢
@blackchurchentertainment7608
@blackchurchentertainment7608 3 ай бұрын
Bonta ni Hatari sana bonge la ngoma ujumbe wa maana mdundo balaa sijui Nani kadundisha hiyo ngoma apewe maua yake
@RamadhanJuma-k7h
@RamadhanJuma-k7h 3 ай бұрын
Nakubali nikki mbishi
@hashimnyangusy9289
@hashimnyangusy9289 3 ай бұрын
❤❤❤❤
@tataLil-i3v
@tataLil-i3v 3 ай бұрын
Unjuuuu❤❤❤ bonta is back yo😂
@philippeneri7925
@philippeneri7925 3 ай бұрын
Nakuelewa Sana mwamba
@Barakah2590
@Barakah2590 3 ай бұрын
Bonge la ngoma
@EvaIcon
@EvaIcon 4 ай бұрын
Hip hop ......
@allyGotaya
@allyGotaya 4 ай бұрын
🎉🎉vitu viwili🤣🤣
@BiznesMan-p6h
@BiznesMan-p6h 4 ай бұрын
Mexcortez ame onesha kuwa amaweza kubato na male gender ukubwa wake kwenye game sio kivile ila amefiti kukaa kati kati ya ngosha na Road sio kitu rahisi unaweza kukimbia kolabo respect mex 🎉🎉🎉
@EzekielLuvanda
@EzekielLuvanda 3 ай бұрын
Umetokea wap ww
@joowzeyboyjoowzee4474
@joowzeyboyjoowzee4474 4 ай бұрын
Kazi kubwa sana hii
@AbilahSalumu-qx1cb
@AbilahSalumu-qx1cb 4 ай бұрын
🙌✌
@MisendamilaFumbuka-c1u
@MisendamilaFumbuka-c1u 4 ай бұрын
Noma sana
@shadrackpeter-y5i
@shadrackpeter-y5i 4 ай бұрын
Dr shika B level Pierre liquid
@MisendamilaFumbuka-c1u
@MisendamilaFumbuka-c1u 4 ай бұрын
Nasubir na madude ya jcb
@MisendamilaFumbuka-c1u
@MisendamilaFumbuka-c1u 4 ай бұрын
Sarute @bontamaarfa
@bujanlau7079
@bujanlau7079 4 ай бұрын
Niliikuta hii beat akanigongea nikazisikiliza km 6 hiiviii........ Hii nilipita nayo kinomaa mwisho akaniua BUANA BUJAN HII BEAT NI YA BONTA😂😂😂😂
@victorguapo7827
@victorguapo7827 4 ай бұрын
Nani kasuka hii beat mkuu
@TinahLamajo-xb9xe
@TinahLamajo-xb9xe 4 ай бұрын
Baba malicom
@GenoDc_255
@GenoDc_255 4 ай бұрын
Pure definition of real Hip hop💪🏻
@MamaJoseph-n9c
@MamaJoseph-n9c 4 ай бұрын
🇹🇿🇹🇿🇹🇿👊👊💥💥🇹🇿
@eddiemohamed9003
@eddiemohamed9003 4 ай бұрын
🔥🔥🔥🔥🔥🇹🇿🇹🇿🇹🇿🔥🔥💪💪💪👊💥
@androidmastertv8098
@androidmastertv8098 4 ай бұрын
Unamuheshim unagundua bro kavu unyama unyamani hainaga ku show love 🔥🔥🔥🔥
@ndoxmafia
@ndoxmafia 4 ай бұрын
🙌🙌🙌🙌
@mcndeu984
@mcndeu984 4 ай бұрын
Weusiiii,,maarifa mengi bonta..🎉🎉🎉🎉🎉
@abdillaahirichardkasisi8691
@abdillaahirichardkasisi8691 4 ай бұрын
Dokta ujawai niangusha.....nauza kura yangu
@MolodashRashid
@MolodashRashid 4 ай бұрын
Uuuuunju
@mshambawest6621
@mshambawest6621 4 ай бұрын
Moto sana oioioi
@AmanLaizer-rb5rt
@AmanLaizer-rb5rt 4 ай бұрын
Bonge moja la mbupu
@humphreydeborahlaizer3962
@humphreydeborahlaizer3962 4 ай бұрын
😮Hatreeeee
@MegaMKOKO
@MegaMKOKO 4 ай бұрын
Unju Vigetti in this one 😅😅 Classic
@patricktito8009
@patricktito8009 4 ай бұрын
Balaaaaaa wakuuuuu
@exprodigitaltechtv5571
@exprodigitaltechtv5571 4 ай бұрын
Jua kuchekesha Jua kuongea
@charlesabeli9914
@charlesabeli9914 4 ай бұрын
🎉🎉🔥🔥🔥
@michaelfortune5294
@michaelfortune5294 4 ай бұрын
Nikki andika ngoma ngoma ya mistari kama hiyo ves 3, uwe peke yako kama Play boy na koras Kali unaua
@mwisukulu1
@mwisukulu1 4 ай бұрын
wanabusu ma.....😂😂😂😂