Bonta Maarifa _ Mwambieni (Official Music Video)

  Рет қаралды 36,163

bONTa mAARIFa

bONTa mAARIFa

Күн бұрын

Пікірлер: 169
@mchimchimbishi743
@mchimchimbishi743 2 жыл бұрын
sio mapenzi ni uhalifu wa kishenz pamoja sana kamanda bonta maarifa
@mrsinia3064
@mrsinia3064 2 жыл бұрын
Wanao ikubar hii kazi kama mimi gonga like tujuane
@gweja882
@gweja882 2 жыл бұрын
Hii kubwa kaka,elimu inahitajika kwenye ndoa,streight meseji Kwa wanandoa
@nicksonmethod5447
@nicksonmethod5447 2 жыл бұрын
Daaah!! Mungu ebu mfanye uyu mwamba awee star mkubwa Tanzania tokomeza zero afu Kuna I daaah noma sana
@dadyshunaydah9421
@dadyshunaydah9421 2 жыл бұрын
Tunaomkubali The River Camp Doctor Bontà Maarifa Tujuane Kwa Likes Nyingi Hapa Kwa Real Hip Hop✊
@andrewmanaku
@andrewmanaku 2 жыл бұрын
Ngoma Kali Sana hii unaweza ingilia jeshini na ukawachezea shalubu zao na ukaondoka salama tu
@danielkusongwa3981
@danielkusongwa3981 2 жыл бұрын
bonta , hujawahi niangsha,
@moubrown65
@moubrown65 2 жыл бұрын
Big up bro huu ndo mziki haujawai niangusha
@Lamarttown.
@Lamarttown. 2 жыл бұрын
Video ndo Balaaa
@gustafumakata
@gustafumakata 2 жыл бұрын
Shukrani kwa kutuponya na mziki mzuri hip hop is real nakukubali Sana father
@mwesachristopher2785
@mwesachristopher2785 2 жыл бұрын
dr.nakukubali sana
@blackchurchentertainment7608
@blackchurchentertainment7608 3 ай бұрын
Bonta ni Hatari sana bonge la ngoma ujumbe wa maana mdundo balaa sijui Nani kadundisha hiyo ngoma apewe maua yake
@raymondmatey9747
@raymondmatey9747 2 жыл бұрын
Ni zaidi ya maarifa
@mejahmc9278
@mejahmc9278 2 жыл бұрын
Huyo ndio bonta maarifa ni 🔥
@TanDam-t2b
@TanDam-t2b Жыл бұрын
Bonta maarifa 🔥🔥🔥
@majaliwa_tz5004
@majaliwa_tz5004 2 жыл бұрын
Ngoma Kali Mwanangu Wa Mageti Meusi
@felixrumisha5132
@felixrumisha5132 2 жыл бұрын
Hii sio video ya wimbo, hiyo ni documentary, asante bonta kimya kirefu kimeleta mshindo Chanya
@salummilanzi7936
@salummilanzi7936 Жыл бұрын
Kz nzuri
@OmontoOg
@OmontoOg 19 күн бұрын
Funzo tusichukue Shelia mkononi hata vitamu pia huachwa👏🏻👏🏻👏🏻👏🏻✅
@edwinruhangisa5704
@edwinruhangisa5704 2 жыл бұрын
Ngoma inaujumbe mzito
@keydeemasinga6986
@keydeemasinga6986 Жыл бұрын
Mwokoz wa hip hop bongo
@honestlyari939
@honestlyari939 2 жыл бұрын
Watoto wanatembea uchi kuona nyet ukitaji toch
@mawazoluchagula8836
@mawazoluchagula8836 2 жыл бұрын
BONTA Baba lao.... Hakika pini hili ni next level.. real hip-hop sio sio hizi za kina waporoooo
@mrsinia3064
@mrsinia3064 2 жыл бұрын
Wahuniiii.....🤣🤣
@jacksonamos2008
@jacksonamos2008 Жыл бұрын
Akili kubwa sana❤
@elickjohn5824
@elickjohn5824 2 жыл бұрын
Dqaaaah hii ndo sauti ya hip hop Sasa bonge la ngomaaa sio pw
@jumannemfaume
@jumannemfaume 2 жыл бұрын
daaaamn
@Mbeyaconscious
@Mbeyaconscious 2 жыл бұрын
Dah! Mkubwa Tulimiss Real Hip Hop ✊✊✊ Bonge La Dude. 💪🏼💪🏼💪🏼💥💥💥
@tonyjimmy8926
@tonyjimmy8926 2 жыл бұрын
Bonta 4 life🔥🔥🔥
@saidjuma9885
@saidjuma9885 Жыл бұрын
Hip-hop for life ngoma Kali sana
@mbakijonas6792
@mbakijonas6792 2 жыл бұрын
Hizi radha tulizikosa muda murefu, big up BONTA
@asueddy1465
@asueddy1465 2 жыл бұрын
Bonta,Bonta, Bontaaaaaaa
@bilalhamisi2300
@bilalhamisi2300 2 жыл бұрын
Bonta tulikua tunamiss haya maarifa... Dr. much respect from +254
@ajsmainde5138
@ajsmainde5138 2 жыл бұрын
maarifa🔥
@djumadpstudio4175
@djumadpstudio4175 2 жыл бұрын
Bonta hebu Nipe namba za Xaimaco amenimaliza kwakweli💥🔥💪🏾
@bontamaarifa6809
@bontamaarifa6809 2 жыл бұрын
0719476042
@amrzaqmlawa4015
@amrzaqmlawa4015 2 жыл бұрын
Haya maarifa yalipungua katika rap Ila bonta kayarudisha
@dngmusic5675
@dngmusic5675 2 жыл бұрын
Vichungu pia uliwa na vitamu pia huachwa,River camp doctor 💊💊
@franklaurent4042
@franklaurent4042 2 жыл бұрын
Ngoma kali ujumbe mzuri
@domiconnicky2763
@domiconnicky2763 2 жыл бұрын
Mwanahip hop wa wakati wote...mi nakuelewaga sana bro uko vema sana
@stanslausremmy3570
@stanslausremmy3570 2 жыл бұрын
Safi sana mwamba! Kimya kingi kinamshindo! Kijukuu ametisha sana pia!!
@donisialudovick9779
@donisialudovick9779 2 жыл бұрын
Kwelii mapenzii yanauma💔
@kiswahilitv
@kiswahilitv 2 жыл бұрын
RiverCamp
@kingmtetezi6670
@kingmtetezi6670 2 жыл бұрын
Mtetezi king seen🔥🔥
@lavatone319
@lavatone319 2 жыл бұрын
Bro bro brooo Xaimaco ww ni untouchable jambo sana keep on ma bro hii nizaidi ya kaz
@defxtro
@defxtro 2 жыл бұрын
Video kubwa Audio Nzito Bonta Maarifa📹✔🔥💯🔉
@mosamossile9113
@mosamossile9113 2 жыл бұрын
Brother 🇿🇦 🇿🇦 All ze best hip hop Misingi
@paulonjozi1638
@paulonjozi1638 2 жыл бұрын
Bonta respect hii story inastor kibao ndani yake
@Jannickjeezyman
@Jannickjeezyman 2 жыл бұрын
Director Xaimaco umemaliza kwakweli kichupa na wimbo kali🙌🏾🙌🏾🙌🏾
@directorxaimaco5729
@directorxaimaco5729 2 жыл бұрын
Shukran sana @jannick Jeezyman.
@musicvideo5573
@musicvideo5573 2 жыл бұрын
Huyu Xaimaco amemufanya Bonta kuwa star si kwakichupa hichi jamani🙌🏾🙌🏾 💥🔥💪🏾
@magerechales9018
@magerechales9018 2 жыл бұрын
Kijukuu cha Bibi k kwa mbali
@ngwavi2886
@ngwavi2886 2 жыл бұрын
Duuuuh NGOMA HII IPO NA ITAENDELEA KUWEPO BIG UP BRO
@chiefgimbo4793
@chiefgimbo4793 2 жыл бұрын
Nyimbo sahihi kwa wakati sahihi ujumbe sahihi katika muda sahihi michano sahihi kwenye mdundo sahihi salutiiiii legend salutiiiii
@hamsojuve432
@hamsojuve432 2 жыл бұрын
Vitamu piA huaChwAa na vichungU piA huLiWAaaa😂😂👊👊💯💯ha sAsa🙌
@oscarmaturojr2262
@oscarmaturojr2262 2 жыл бұрын
Broo umeweza sana keep it up
@siza1615
@siza1615 2 жыл бұрын
Kali sana na ujumbe mzurii
@unjuinkuganda1991
@unjuinkuganda1991 2 жыл бұрын
PUMBU kaa hizi ndo tunataka 2030
@IsmailRamadhan-nb8bb
@IsmailRamadhan-nb8bb Жыл бұрын
Mchizi bonta
@monrisofficiel5916
@monrisofficiel5916 2 жыл бұрын
Ebwana Ndio song ni fire 🔥 ujumbe fire 🔥 flow fire 🔥 beat fire 🔥💪🇹🇿💪
@dr.lincolng7835
@dr.lincolng7835 2 жыл бұрын
My best and role model 🔥🔥🔥🔥
@erickselei3426
@erickselei3426 Жыл бұрын
Maarifa
@stephenalphonce8692
@stephenalphonce8692 2 жыл бұрын
Hii ni zaidi ya movie 🔥🔥🔥🔥🔥
@adolfmathew9698
@adolfmathew9698 2 жыл бұрын
Kabla hata sijaskuliza nilijua tu ni Madini #Hip hop
@b.zedontvabdulkadershabani8285
@b.zedontvabdulkadershabani8285 2 жыл бұрын
Dah!!! Brother Nakukubali sana toka kitambo 😎🔥🔥
@kingmo4445
@kingmo4445 2 жыл бұрын
Still rocking da' best....
@climas94
@climas94 2 жыл бұрын
Everything 🔥 🔥🔥Bonta
@dismasmushi9328
@dismasmushi9328 2 жыл бұрын
Kwishaa goooo bontaaa
@greymuclass8217
@greymuclass8217 2 жыл бұрын
Vichungu pia huliwa na vitamu pia huachwa! Thank you!
@johnokindo6656
@johnokindo6656 Жыл бұрын
Nice nice doc!
@ibraahamisi4220
@ibraahamisi4220 2 жыл бұрын
Ngoma kali mno
@erickkinyere9185
@erickkinyere9185 2 жыл бұрын
Mwambien song Kal Sana father ✊ Bonta 🎶🎶💕🎙️🎙️✅
@swahilimovies-l5q
@swahilimovies-l5q 2 жыл бұрын
sanaa tamu sana hii
@Elabs_Institute
@Elabs_Institute 2 жыл бұрын
Hii movie sasa 🎶🎤 real Hip hop na Bonta Maarifa. Much respect kwa Director Xaimaco ✔
@mazagazagaonlinetv9775
@mazagazagaonlinetv9775 2 жыл бұрын
Ngoma Kali mjuba
@thomaskatiligi5280
@thomaskatiligi5280 2 жыл бұрын
Much respect bonta maarifa kazi nzuri
@afidbillmusic8461
@afidbillmusic8461 2 жыл бұрын
Content konkiiii 🙌🙌🙌 hapa mpaka kiziwi message anapata 🙏🙏🙏
@seangraceswt8037
@seangraceswt8037 2 жыл бұрын
Bonge moja la message Really hip hop
@jamalmuhal5309
@jamalmuhal5309 2 жыл бұрын
Damn!? 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 Lit sanaaa✊
@josephkasainey2903
@josephkasainey2903 2 жыл бұрын
Nikki wa pili kanileta huku jamaa ulipoteleaga wap since 2017 ndio mara yangu ya mwisho kukuskia
@danyniyubahwe5556
@danyniyubahwe5556 2 жыл бұрын
Jamani huyu baba ni wa 🔥 nimeskia hii nikiwa buja 🇧🇮
@bonnetambweofficial
@bonnetambweofficial 2 жыл бұрын
Kali kuliko bro🔥🔥✊
@bennymchaba9621
@bennymchaba9621 2 жыл бұрын
Viva maarifa,akili kubwa sana🔥🔥🔥🔥
@haidhabushiri9558
@haidhabushiri9558 2 жыл бұрын
Dr uyo
@Dantaata
@Dantaata 2 жыл бұрын
asante sana ndugu bonta
@jumannejongo1400
@jumannejongo1400 2 жыл бұрын
Hekima hiphop
@athumanihamadi6619
@athumanihamadi6619 2 жыл бұрын
Conscious
@hassanlusewa8609
@hassanlusewa8609 2 жыл бұрын
Babu umeuaaaaaaaaa
@chepeemcee2990
@chepeemcee2990 2 жыл бұрын
Consciousness on set.. Video kali sana. Dir. Xaimaco 🙌🙌🙌
@sekutv448
@sekutv448 2 жыл бұрын
Mwalimu
@D-Man.B-Free
@D-Man.B-Free 2 жыл бұрын
Respect Damn!!! Looks like real life bro,👊👊👊 after 10 days of marriage 😜😜😜
@wingstarmsanii9862
@wingstarmsanii9862 2 жыл бұрын
Hii ni Kali sana
@haroldmtinya6705
@haroldmtinya6705 2 жыл бұрын
Hii kubwa Sana Mwamba..💥
@Lamarttown.
@Lamarttown. 2 жыл бұрын
Daah noma Sana Ngoma kalisan
@MrKilawila
@MrKilawila 2 жыл бұрын
Content very superb
@nicksonchisunga3062
@nicksonchisunga3062 2 жыл бұрын
We jamaa hufai hata bure
@sajo_lkm2781
@sajo_lkm2781 2 жыл бұрын
Utungaji huu ni dhahiri unafanyika mara moja kwa miaka 3 mpaka 5, keep it up bonta ✊🏾🔥
@fredma21x
@fredma21x 2 жыл бұрын
mpaka 10..Hii huipati tena mpaka miaka 10 ijayo..Bonge la ngoma..ila utashangaa halipati viewers 1M in a week time.
@geofreymwaihoba4817
@geofreymwaihoba4817 2 жыл бұрын
Sure
@geofreymwaihoba4817
@geofreymwaihoba4817 2 жыл бұрын
@@fredma21x sure
@athumanfuko199
@athumanfuko199 Жыл бұрын
akili nyingi sana huyu jamaa
@flavianaphilemon2221
@flavianaphilemon2221 2 жыл бұрын
Audio 🔥 Video 🔥🔥🔥 Director Xaimaco on to the next level. Video inaufafanua ujumbe vema sana. Keep it up Bonta as usual 🙌🙌🙌🙌
@isdoripascal1967
@isdoripascal1967 2 жыл бұрын
Bars🔥🔥
@barricknattan2250
@barricknattan2250 2 жыл бұрын
Real hip hop
@DurahRich
@DurahRich 2 жыл бұрын
Maarifa🙌🙌🙌
@KelvinEmersonSteven
@KelvinEmersonSteven 2 жыл бұрын
Hatari sana Bonta🔥🔥🔥🔥
@albanitarimo9721
@albanitarimo9721 2 жыл бұрын
Always conscious bro much respect Dr Bonta
@TheReporter-A47
@TheReporter-A47 2 жыл бұрын
Huyu Doctor Bonta huwa namfanisha na Nas Escobar
@geofreymwaihoba4817
@geofreymwaihoba4817 2 жыл бұрын
Huyu ni pabro kbs🤣🤣
Bonta Maarifa  Mlete Mchina (Official Video)
4:30
bONTa mAARIFa
Рет қаралды 36 М.
Quilt Challenge, No Skills, Just Luck#Funnyfamily #Partygames #Funny
00:32
Family Games Media
Рет қаралды 55 МЛН
Tuna 🍣 ​⁠@patrickzeinali ​⁠@ChefRush
00:48
albert_cancook
Рет қаралды 148 МЛН
The Best Band 😅 #toshleh #viralshort
00:11
Toshleh
Рет қаралды 22 МЛН
REAL or FAKE? #beatbox #tiktok
01:03
BeatboxJCOP
Рет қаралды 18 МЛН
Ben Pol X Maarifa- Jikubali (LIVE)
4:59
Ben Pol
Рет қаралды 17 М.
2030
6:34
Roma Mkatoliki - Topic
Рет қаралды 9 М.
Sir P Tz _ Ninachokiona ( Ni Balaa ) _ official lyrics Video
3:26
Shega (Remix)
3:26
chatta - Topic
Рет қаралды 194
Harakati (feat. Nikki Mbishi, Maarifa, Motra The Future, Silabi)
5:23
Msodoki Young Killer
Рет қаралды 13 М.
Bonta Maarifa-WWB(official MusicVideo)
3:27
bONTa mAARIFa
Рет қаралды 58 М.
Dizasta Vina - Wimbo usio bora (Official Music Video)
5:13
Dizasta Vina
Рет қаралды 259 М.
Motra The Future - The Future Is Now Volume 6
3:21
Motra The Future
Рет қаралды 199 М.
Ndugu Bonta-Bonta Maarifa(Official MusicVideo)
3:50
bONTa mAARIFa
Рет қаралды 27 М.
Quilt Challenge, No Skills, Just Luck#Funnyfamily #Partygames #Funny
00:32
Family Games Media
Рет қаралды 55 МЛН