Bonta Maarifa Mlete Mchina (Official Video)

  Рет қаралды 36,359

bONTa mAARIFa

bONTa mAARIFa

Күн бұрын

Пікірлер: 315
@frankkajoba8372
@frankkajoba8372 Жыл бұрын
Jamaa ni bonge la msanii lakini media za bongo zinasapoti wasanii wapuuzi puuzi wanaoimba matusi
@conganyoyo3195
@conganyoyo3195 Жыл бұрын
Kaka umewaua kabisa,
@SelemanMohad-oh4wt
@SelemanMohad-oh4wt Жыл бұрын
Tunahitaji carriculum mpya ya elimu itakayoendana na uhalisia was mazingira ya sasa
@Zeddyphilly
@Zeddyphilly Жыл бұрын
Bonta Master
@Zamb90
@Zamb90 Жыл бұрын
Bonge la ngoma
@polcarpymrimideclassic398
@polcarpymrimideclassic398 Жыл бұрын
One of my best rapa asee nakumbuka waite polisi
@jasiri25
@jasiri25 Жыл бұрын
MD umetishaa
@RabanDarmin
@RabanDarmin Жыл бұрын
Noma noma
@ufundionlinetv4452
@ufundionlinetv4452 Жыл бұрын
Kwel kaka
@margerithapaddy3157
@margerithapaddy3157 Жыл бұрын
Bonta maarifa bahati mbaya unaishi uonekani ila dunia na watanzania watakujua siku ukifa
@youthadvocacypartners8765
@youthadvocacypartners8765 Жыл бұрын
Daaah
@shwariahmad9249
@shwariahmad9249 Жыл бұрын
Yaani bongo bahna tunamkubali young lunya.😢😢😢. Tunamsahau bonta... Mungu tupe maarifa mungu mlinde bonta azid kutupa maarifa❤❤
@nyumbumjanja
@nyumbumjanja Жыл бұрын
😂😂😂 content comment
@Kabi_47
@Kabi_47 Жыл бұрын
Wakichanwa wanakuja na mihemukooo😀🥹
@franksengi3637
@franksengi3637 Жыл бұрын
Hii kali ndugu Bonta.
@antonywambugu4903
@antonywambugu4903 Жыл бұрын
Kali sana!
@timothalex3249
@timothalex3249 Жыл бұрын
Akili kubwa saaaaaana bontaaaaaa maarifa🦍🦍😎
@tchipppo
@tchipppo Жыл бұрын
Maarifa/ councious
@starjay3052
@starjay3052 Жыл бұрын
bongo kikubwa uzima
@JamesKarata-kz4rp
@JamesKarata-kz4rp Жыл бұрын
Duuh wewe jamaa mitaa inakuhitaji sana.
@SamwelChacha-r8x
@SamwelChacha-r8x Жыл бұрын
Africa tuna elimu ya kikoloni.
@LugendoAdam
@LugendoAdam Жыл бұрын
B gup brother
@victorguapo7827
@victorguapo7827 Жыл бұрын
Doctor bonta respect bro
@fredymelick6591
@fredymelick6591 Жыл бұрын
Bonta 100%
@samsavu2535
@samsavu2535 Жыл бұрын
🔥🔥
@gun60jgt40
@gun60jgt40 Жыл бұрын
Nimemuona dada anachana mkeka 😂😂😂
@nachatvonline2996
@nachatvonline2996 Жыл бұрын
Daah ngoja nirudie kuusikiliza kama 10x ndo nicomment
@abihudjeremiah7842
@abihudjeremiah7842 Жыл бұрын
Kaka angalau uwe unaachia wimbo hata Kila baada ya miezi mitatu tunahitaji sana tungo zako kwenye hii jamii
@bagwellyeezy8078
@bagwellyeezy8078 Жыл бұрын
Conscious sana✌✌✌✌
@hidalpardo8912
@hidalpardo8912 Жыл бұрын
Big up broo ukikaa kimya akili zinadumaa kwa kwely hatupat madini kama haya
@oscarjoseph1859
@oscarjoseph1859 Жыл бұрын
Ongera sana Big Eductio
@TanDam-t2b
@TanDam-t2b Жыл бұрын
Best Hip Hop artist in Tanzania
@emaneez
@emaneez Жыл бұрын
Bonita maarifa
@yohanamachai2021
@yohanamachai2021 8 ай бұрын
Tuna maprofesa na mainjinia wazur lakin 2naenda china kumleta mwenye diploma ajenge Barabara!salut sana hiz nyimbo 2nazotaka ajabu mitaa haitaki ukweli big up daktari bonta maarifa all the way from river camp soldier
@felixmselle7579
@felixmselle7579 Жыл бұрын
Elimu yetu haiakisi mazingira yetu Elimu yetu haitatui matatizo yetu. *Huwez elewa, ukielewa utalewa....
@andrewsalvatory115
@andrewsalvatory115 Жыл бұрын
Nakukubali sana, Bonta Maarifa
@ndawigayahalimeshi5717
@ndawigayahalimeshi5717 Жыл бұрын
BONTA CONCIOUS NI MUNGU NDO AMEKULETA TENA NAOMBA UTIMIZE KUSUDIO LAKE KAKA NAOMBA UTETEE RASILIMALI ZETU KAKA KWA MANENO YAKO NDO MAANA UKAITWA CONCIOUS eeeh mungu naomba asikie kilio changu
@winfredykahwili1513
@winfredykahwili1513 Жыл бұрын
🔥🔥🔥🔥jiwe gizani hilo 💪💪 motoo Sana kaka mkubwa
@davidkamando9630
@davidkamando9630 6 ай бұрын
Bonge la nyimbo ...ujumbe mzito daah!
@RabanDarmin
@RabanDarmin Жыл бұрын
Marapper wako busy kama shanga za kiunoni 😂 very true. Tanzania ina BONTA, ROMA & NEY wa mitego. Wengine wote wanafanya Porno Music.
@serengetimediacentre
@serengetimediacentre Жыл бұрын
Unyama
@SeciliaMpemba
@SeciliaMpemba Жыл бұрын
Nyimbo Kali tatizo Tz yetu tunapenda nyimbo zisizo za kuelimisha #MLETEMCHINA
@bontamaarifa6809
@bontamaarifa6809 Жыл бұрын
Fanya simple research ya watangazaji waliopo utagundua
@MagangaPulio
@MagangaPulio Жыл бұрын
Tanzania inakuhitaji sana! Wewe ni tafsiri halisi ya kioo cha jamii. Wengine muziki kwao ni kijiwe cha wahuni
@nickminja704
@nickminja704 Жыл бұрын
hiphop darasa huru😢😢😢
@shamsikheri7507
@shamsikheri7507 Жыл бұрын
Ee mungu baba tulindie huyu mtu,,,bonita consious
@ombenmichael3473
@ombenmichael3473 Жыл бұрын
#Conscious
@mosamossile9113
@mosamossile9113 Жыл бұрын
Daah qumamamake walaaiih Uyu bonta ni Konyo sanaa
@RaymondKimo-yg5wy
@RaymondKimo-yg5wy Жыл бұрын
Huu wimbo ni wa kuishi vizazi na vizazi. Watanzania tushirikiane kuufanya uwafikie watanzania wote. Huu ni ukombozi wa fikra.
@Directorstanton
@Directorstanton Жыл бұрын
Audio✅✅
@bederdnh2701
@bederdnh2701 Жыл бұрын
Bonta Maarifa 💪🏿💪🏿💪🏿 huu mziki umejaa waongo wengi wajanja wajanja ila wasanii wachache awa akina BONTA, big up to you bro 🤜🏿🤜🏿💪🏿💪🏿💪🏿
@innocentmathias8668
@innocentmathias8668 Жыл бұрын
Kuna watu mpk sas hawataki kuamin kuwa bonta ni conscious Ila wataamin tu cku moja🙌
@gasparlubaga5866
@gasparlubaga5866 Жыл бұрын
Umetisha sana mkubwa Bonta,yaani wakukuelewa niwachache sana
@fredrickrogers3981
@fredrickrogers3981 Жыл бұрын
Ndugu Bonta 🤝🏾
@isayaashangai1081
@isayaashangai1081 Жыл бұрын
Naichangannya mic na sindano.. 🤞🏿
@johnpancracy5877
@johnpancracy5877 Жыл бұрын
KAKA BONTA WEWE NI J.COLE WA BONGO.
@DaudikazinzaMzawa-mr4cc
@DaudikazinzaMzawa-mr4cc Жыл бұрын
Kwan rasilimali zetu zinaendaga wapi mbona kila siku zinaenda harafu haziishi pumbavu bara langu sina namna kujilaum ujinga.
@WakitaaChaPil
@WakitaaChaPil Жыл бұрын
✌🏿
@RaKa_34
@RaKa_34 Жыл бұрын
Bontaaaaaaaaa 🎉
@MkomboziLucifer
@MkomboziLucifer Жыл бұрын
I real apreciate your talent bro since day one
@ndoxmafia
@ndoxmafia Жыл бұрын
💪💪💪
@Fred-Ma
@Fred-Ma Жыл бұрын
Sina uwezo tu..Ila huu wimbo mpaka sasa ulipaswa uwe na 10M Views..Daaaah.... Watu wanatazama nini kwani KZbin?
@chusseboywcb2808
@chusseboywcb2808 Жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂kweli kabisa Tanzania dagaaa wawili mchuzi debe 😂😂kweli jamani magufuli umetufumbua mengi
@sumardgerald1435
@sumardgerald1435 2 ай бұрын
🎉chukua maua yako kaka
@danielkusongwa3981
@danielkusongwa3981 Жыл бұрын
GOAT
@stephenalphonce8692
@stephenalphonce8692 Жыл бұрын
Magufuli ni kama alikuwa nabii. Maneno yake yanaishi. Big up Bonta
@ICEMENICEMEN-n4m
@ICEMENICEMEN-n4m Жыл бұрын
MC 100%hiphop%👊🖐✊
@chancepaul3168
@chancepaul3168 Жыл бұрын
💪
@franklaurent4042
@franklaurent4042 Жыл бұрын
Hizi ndo nyimbo tunazozitaka HONGERA sana Bro
@timothalex3249
@timothalex3249 Жыл бұрын
We need back to back dr...
@arthurmariita4836
@arthurmariita4836 Жыл бұрын
Huu muziki hujaenda shule; Mziki wenyewe ni shule. Hongera!!
@enockngendakuriyo6759
@enockngendakuriyo6759 Жыл бұрын
Safi saaaaaana kaka❤💯💣👊🇨🇦
@ndoxmafia
@ndoxmafia Жыл бұрын
Ngoma kubwa sanaa🔥🔥🔥🔥🔥
@vengageorge6574
@vengageorge6574 6 ай бұрын
Bonta maarifa mlete mchina
@chacha-255
@chacha-255 Жыл бұрын
Bonta ni daktari umeajiriwa na serikali kuihudumia jamii lakini bado hiphop ipo ndani yako haiwezi kufutika.... Big up kwako kwa ngoma hii kali
@KhanPanaja
@KhanPanaja Жыл бұрын
We miss you Magufuli. R.I.P JPM. Sauti yako kwenye huu wimbo imebeba maono makubwa hasa kwa yanayoendelea sasa kwenye sakata la Mkataba wa bandari.
@dennisisrael2187
@dennisisrael2187 Жыл бұрын
Bonta hiii ndo maana ya akili kubwa mziki kureflect maisha 🙌🏽🙌🏽🙌🏽🙌🏽🙌🏽🙌🏽
@ladymar_tz
@ladymar_tz Жыл бұрын
Here💯📌
@emmanueldaud8371
@emmanueldaud8371 Жыл бұрын
Unyamaa ni mwingi xaaana 💯 💯
@MisendamilaFumbuka-c1u
@MisendamilaFumbuka-c1u 4 ай бұрын
Noma sana
@christianbihemo8211
@christianbihemo8211 Жыл бұрын
Harafu msema tz hip hop hakuna nawakati watu wanaende kutoa ngoma kama hizi harafu mtu amtu anakuja anabwatuka hakuna kama OG matope mala mkari lunya ..!!!!? Much respect Bonta tunaomba media ku support zaidi mziki kama huu utabadilisha jamii nzima ( tumechoshwa na makapuka maskioni)
@donaldvanjoseph8153
@donaldvanjoseph8153 Жыл бұрын
Uy ndio halisi ya maarifa kulko yule maarifa wa madee hana maarifa kabs
@joowzeyboyjoowzee4474
@joowzeyboyjoowzee4474 4 ай бұрын
Kazi kubwa sana hii
@velejilyomhongole1641
@velejilyomhongole1641 Жыл бұрын
Bonta alipotea sana miaka mingi sijamsikia
@wilsonnzowa3620
@wilsonnzowa3620 9 ай бұрын
Hizi ndo nyimbo za kiharakati sasa sio manyimbo ya siasa siasa
@chesterbrand6723
@chesterbrand6723 Жыл бұрын
Broohs this song it's pain if you listen more than 10 times you LL feel the pain it's more than pain CCM let's back our country ....
@MohdMohd-hf7rm
@MohdMohd-hf7rm Жыл бұрын
Bonta sijaona Nyimbo hapa
@jfelle3359
@jfelle3359 Жыл бұрын
🔥🔥🔥🔥 nakubali Sana maarifa.
@erickselei3426
@erickselei3426 Жыл бұрын
Mweusi Mmoja go go go Dr
@robertmgore3653
@robertmgore3653 Жыл бұрын
Qalii sana
@DavidMbwilo-qk1bz
@DavidMbwilo-qk1bz Жыл бұрын
Bonta🔥🔥🔥
@filmshouse199
@filmshouse199 Жыл бұрын
This is the definition of an art and artist to the society
@rmtizy3148
@rmtizy3148 Жыл бұрын
Kaka unaijua san
@issaomary7718
@issaomary7718 Жыл бұрын
Ukisema me sio consious mtaani watu bhuuuuuuuuh!!
@evodiusbahegwa6557
@evodiusbahegwa6557 Жыл бұрын
Kitaa bado si shwari vipi game utafungaaa,I missed you so much,sasa endelea bro usiishie hapo
@KhanPanaja
@KhanPanaja Жыл бұрын
JPM njoo uone vichaa wameshaikubali ile mikataba 😢😢😢
@DaimaKami
@DaimaKami Жыл бұрын
Bunge la kijana, mtaa ni Msimbazi
@REVOLUTIONARYLYRICS
@REVOLUTIONARYLYRICS 5 ай бұрын
Damn that PLO intro followed na Maarifa ya Bonta🔥
@snaidertv1857
@snaidertv1857 Жыл бұрын
Watu tunao wategemea n nyie fanyen kaz kila siku yufurahie sanaa iliohai
@djwilley254
@djwilley254 Жыл бұрын
kazi safi sana.
@Makorokocho2
@Makorokocho2 Жыл бұрын
Bro goma nouma sana
@YaGa60
@YaGa60 Жыл бұрын
Isaka boy karibu bwana mda mwingine unapotea sana
@SimonDaman-nn4xu
@SimonDaman-nn4xu Жыл бұрын
Khaligraph njoo usikie bhana, na Bonta naye kasema. Kumbe ni KWELI 😂😂😂
Bonta Maarifa _ Mwambieni (Official Music Video)
3:29
bONTa mAARIFa
Рет қаралды 36 М.
Мясо вегана? 🧐 @Whatthefshow
01:01
История одного вокалиста
Рет қаралды 7 МЛН
Ndugu Bonta-Bonta Maarifa(Official MusicVideo)
3:50
bONTa mAARIFa
Рет қаралды 28 М.
Shaulin Seneta- (Usiku Wa Giza) (Official Audio)
5:39
Shaulin Seneta Mwanazuoni
Рет қаралды 3,7 М.
Toxic Lyrikali - CHINJE (Official Music Video)
3:32
Toxic Lyrikali
Рет қаралды 1,7 МЛН
Dizasta Vina - Shahidi
6:38
Dizasta Vina
Рет қаралды 208 М.
Wagosi wa kaya - Walimu
6:16
Swahili 360
Рет қаралды 22 М.
NACHA_BARUA (Official Music Video)
5:08
Nacha Ousam
Рет қаралды 391 М.
Harmonize - Nitaubeba (Official Video)
4:21
Harmonize
Рет қаралды 29 МЛН
Bonta Maarifa-WWB(official MusicVideo)
3:27
bONTa mAARIFa
Рет қаралды 58 М.