Wii MUNGU Libaliki jwtz MUNGU ibaliki Tanzania Amina
@mwaramigila62783 күн бұрын
Fantastic
@raphaelmwamakimbula96425 күн бұрын
🎉🇹🇿☑️✍️👏
@raphaelmwamakimbula96425 күн бұрын
2008-2010♥️💯☑️✍️🇹🇿
@VirotheaSteavean6 күн бұрын
Good job I like
@IbrahimRamadhan-cm4rj7 күн бұрын
😍😍😍😍
@salvatormselle239310 күн бұрын
Kazi nzuri. Hongereni sana wanajeshi (makamanda) wetu! Mungu ibariki Afrika, Mungu ibariki Tanzania na watu wake! ✨
@YOHANADANIEL-xt7ej16 күн бұрын
nawapenda
@joshua-u4r16 күн бұрын
Naumia sana kukosa nafasi ya kulinda nchi yangu nikiwa ndani ya kitenge.
@PiousMussa-g5x16 күн бұрын
Naomba nijumuishwe mwaka uhu kwenye mafunzo ya jkt
@stephenjonas486619 күн бұрын
TPDF 🎉🎉🎉
@ShishackgaudensiLuhwago-br2nl20 күн бұрын
😢RIP
@ShishackgaudensiLuhwago-br2nl20 күн бұрын
😢RIP
@josephelias736421 күн бұрын
Safi Sana Mkuu. Ubarikiwe
@charzmhindi32522 күн бұрын
Safi sana
@user-dd3ek5fh5g22 күн бұрын
Kazi nzuri JWTZ🇹🇿💪🏿
@dicksonakyoo822222 күн бұрын
Nimemuona mama p hapo,betrice
@RahmetMani-xm1gk22 күн бұрын
Good job faza.
@mwasisobajohan764124 күн бұрын
Jenerali Davis Mwamunyange
@yonaghambi24 күн бұрын
Maishayajeshi usikivu
@AmonMerere24 күн бұрын
Uzalendo kwanza
@AmonMerere24 күн бұрын
Saf napenda jeshi la nchi yangu
@allidehunter322327 күн бұрын
dah asante. mungu- nilikua ni miongoni mwa haooo wanao apa hapoo
@oonyuali753028 күн бұрын
hapa ndo sem ya ujenzi ya makanda...... huyu kamanda wangu 2021
@ThaniaHaji-zx8nn28 күн бұрын
Live au vipi
@sibomanaandrew393329 күн бұрын
Waende Kwa nini wakwepe,
@MgishaBoaz29 күн бұрын
Poreni makamanda wa jwtz nafamilia yake
@johnalexandermushi672029 күн бұрын
RIP Brig Gen.
@andrewmcha-jf3go28 күн бұрын
pumzika kwa amani wajina
@FredrickKabura-gd7hgАй бұрын
Uturehemu ee bwana
@raphaelmwamakimbula9642Ай бұрын
😢poleni sana makanda wangu! Hakika,kifo kipo na Hana atakayekikwepa maana ni agizo la Mungu kwetu baada ya Babu na bibi yetu Adamu na Hawa kumkwaza kupita kiasi.Mungu atujalie rehema yake😭
@innocentpaulchillu1512Ай бұрын
Rip brg.general
@venancemiyeji6804Ай бұрын
Hongera kwa kutuletea huduma ya Afya kwa Wananchi
@YusuphuMakangeАй бұрын
Wazi afande
@yoelgohageАй бұрын
Mhhhhhhh hii ni nafasi nzuri kwao Mwaka Jana 2023 sisi tulifukuzwa baada ya kuchelewa kuripoti kutokana na sababu zilizokuwa juu ya uwezo wetu na tulikuwa na Nia ya kujenga taifa okay anyway