WAZIRI WA ULINZI NA JKT DKT. STERGOMENA ATEMBELEA MAKAO MAKUU YA KAMANDI YA JESHI LA AKIBA MANYONI

  Рет қаралды 14,789

Ulinzi Channel

Ulinzi Channel

Күн бұрын

Пікірлер: 27
@EmmanuelGelard
@EmmanuelGelard 2 ай бұрын
Wii MUNGU Libaliki jwtz MUNGU ibaliki Tanzania Amina
@FattyDapetty-tj9vr
@FattyDapetty-tj9vr 5 ай бұрын
Hatimae kamandi imekamilika Kaz nzuli ahsanteeni tupo p1
@richardalex3600
@richardalex3600 5 ай бұрын
Ni hatuna nzuri,inabidi Sasa mg wapewe posho,matibabu,na kupitia briged Kila Kanda wawe wanakwenda kushiriki mazoezi, na kwakuwa ni sehemu ya jwtz,vitambulisho na mavazi wafanane
@richardalex3600
@richardalex3600 5 ай бұрын
Kama kamandi nyingine Kila Moja Ina nembo yake lakini ya kofia ni Moja na Kila Ina share zake lakini wote wameruhusiwa kuvaa Kombat na wanaposho na Jeshi la akiba pamoja wanamavazi Yao na kwasababu vitani wataingia na Kombat basi waanze kuruhusiwa wazizoe sio vitani waanze kuhofu kuhusu adui na wahofu kuhusu Kombat,tumeanza vizuri kuimarisha na kurudisha heshima sifa kwa amiri Jeshi na makanda tuendelee kuiboresha
@shabanimadewa1525
@shabanimadewa1525 4 ай бұрын
Naung mkon
@clarasimon7830
@clarasimon7830 2 ай бұрын
@@richardalex3600 INATAKIWA IWE KAMA ILE KAMANDI YA KVZ YA ZANZIBAR
@gracemartin3379
@gracemartin3379 4 ай бұрын
Kwa kweli nimefurahi Sana kuona kukamilika kwa kamandi ya jeshi letu la akiba Kwan mmi piah no mmoja was Askari wa jeshi la akiba lakini nimehuzunishwa kutokuona askari wenzangu hapo wa jeshi la akiba/mgambo katika video picha hii haileti afya kwakua hatuwaoni wenzetu wanao tuwakilisha kwa hili mmetukosea Sana mnapaswa kutuomba msaha kwakweli
@abilityrogers9595
@abilityrogers9595 12 күн бұрын
Kamandi ya jeshi la Akiba isiyo na Askari wa jeshi Hilo sijui imekaeje hiyo😂😂
@MgishaBoaz
@MgishaBoaz 5 ай бұрын
Kwani kambi ya jeshi la akiba imejengwa lini sijawahi sikia
@Rastermirish
@Rastermirish 2 ай бұрын
Sawa kabisa
@RenatusSongo
@RenatusSongo 5 ай бұрын
Hapo ingetakiwa wawepo wanajeshi wa hakiba mg
@umrathhassani
@umrathhassani 4 ай бұрын
Mpo vzr Allah awawekeee wepec
@AllyKafungwa
@AllyKafungwa 4 ай бұрын
Nimependa sanaaa kuwepo kwa KAMBI YA KAMANDI YA JESHILETU LA AKIBA ila ninapenda sana namimi ningekuwa mmoja wa jwtz moja kwamoja napenda hata nisipolipwa jamani dah c.r.f oyeeee
@DBlack-bo8ob
@DBlack-bo8ob 4 ай бұрын
Tanzania bado tunafeli saana inawezekana vipi linafunguliwa wakati wahusika hawapo au hiyo ni kambi ya jeshi la wanainchi tujue serikali inapaswa kubolesha jinsi ya kuwapa nafasi kubwa askari wa K.J.A tafadhali kama kjna wanao husika watambue kua kuna vijana wanaumia na wana mafunzo na wanazalaulika saana
@MgishaBoaz
@MgishaBoaz 5 ай бұрын
Anae jua kambi iyo ina manufaa gani kwa mg anifahamishe maana sioni askari wenyewe kambini apo kama ilivyo kwa majeshi mengine
@elysetv1107
@elysetv1107 3 ай бұрын
@@MgishaBoaz ni kutoa mafunzo kwa wakufunzi wa mgambo na mgambo wenyewe
@innocentrichard2945
@innocentrichard2945 4 ай бұрын
Camera stabilizer bado kiongoz
@unclegmihale455
@unclegmihale455 4 ай бұрын
Safi
@richardalex3600
@richardalex3600 5 ай бұрын
Pia tukumbuke katika kuimarisha kamandi tuwatumie mg wenyewe,wapo wasomi ktk mg tuwatumie italeta tija
@zobakazizi7637
@zobakazizi7637 5 ай бұрын
Tulieni hayawahusu.
@clarasimon7830
@clarasimon7830 2 ай бұрын
Naningetoa ombi ata uniform zingebadilishwa ili kuleta tija katika muhamko wa vijana kujiunga na ili jeshi la akiba J.K.A
@clarasimon7830
@clarasimon7830 4 күн бұрын
Wewe mzee unaakili nyingi sana...yapasawa kupongezwa mfano Zanzibar uniform wanabdilisha kila kukicha
@khadijaomary2427
@khadijaomary2427 5 ай бұрын
Hvi hiyo Guard akuikagua au Mtandao bado unasumbua?
@abilityrogers9595
@abilityrogers9595 12 күн бұрын
@@khadijaomary2427 😃😃😃😃😃 haijakaguliwa huoni imekaa kimuchongo zaidi
@khadijaomary2427
@khadijaomary2427 5 ай бұрын
ilitakiwa tuone mgambo nao wapo hapo
@mohamedmageni12
@mohamedmageni12 4 ай бұрын
HAKUNA MGAMBO TZ NOW MBONA MMENG'ANG'ANIA MGAMBO... HEBU WAPENI HADHI WAPIGANAJI WETU BWANA.... MGAMBO NI ENZI HIZO ZSHAPITWA..... HILI NI JESHI LA AKIBA.... KAMANDI YA JESHI LA AKIBA CHINI YA WIZARA YA ULINZ NA JKT.... AMBAYO ZAMAN ILIKUWA CHIN YA WIZARA YA ULINZ NA MAMNO YA NDAN ILIITWA JESH LA MGAMBO....
The meteoric rise and fall, of Rigathi Gachagua
10:27
NTV Kenya
Рет қаралды 49 М.
The biggest bank heist in history (and why you've never heard of it)
18:17
РОДИТЕЛИ НА ШКОЛЬНОМ ПРАЗДНИКЕ
01:00
SIDELNIKOVVV
Рет қаралды 3,9 МЛН
Кәсіпқой бокс | Жәнібек Әлімханұлы - Андрей Михайлович
48:57
😜 #aminkavitaminka #aminokka #аминкавитаминка
00:14
Аминка Витаминка
Рет қаралды 1,2 МЛН
Waziri Dkt. Tax Atembelea Makao Makuu ya Jeshi
14:33
Ulinzi Channel
Рет қаралды 31 М.
Ziara ya Mhe Waziri Kwandikwa Alipotembelea Kamandi ya Land Force
19:26
Ziara ya Waziri wa Ulinzi na JKT Alipotembelea Makao Makuu ya JKT
23:58