Рет қаралды 66
“Ni furaha na fahari kubwa kushuhudia Chama Cha Mapinduzi kikiendelea kushamiri na kutoa uongozi thabiti kwa nchi yetu. Tangu kuasisiwa kwake chama cha mapinduzi kimeendelea kuwa chama cha kuunganisha watu na kuhubiri umoja kwani chimbuko lake ni umoja vile vile baada ya kuunganisha chama cha TANU na Chama Cha Afro Shirazi Party,”Mwenyekiti wa CCM Taifa Dkt. Samia Suluhu Hassan.