'HABARI NZITO'! VITUKO VYA HUJAJI ALIYEPOTEA KWA SIKU TATU MAKKA, ATOA SOMO ZITO KWA WENGINE

  Рет қаралды 33,720

Tawheed Islam Channel

Tawheed Islam Channel

Ай бұрын

HILI NI SOMO ZITO KUTOKA KWA MZEE WA KIGOMA JUMA KAMOLI, HUJAJI WA TAWHEED MWAKA 2024/1445H BAADA YA KUPOTEZANA NA MAHUJAJI WENZAKE KWA SIKU TATU NA KUJIKUTA AKIISHI MAISHA ASIYOYATEGEMEA KATIKA MJI WA MAKKA, JE ALIKUWA ANAKULA NINI? ALIKUWA ANALALA WAPI? NINI KIMEMKUTA? ILIKUWAJE AKAPOTEA?....GUSA LINK HAPO JUU KUTAZAMA MKASA WOTE...

Пікірлер: 55
@mamitomamita6284
@mamitomamita6284 29 күн бұрын
MASHAALLAH MM MKENYA LAKINI MWAKANI KWA UWEZO WA ALLAH NITAWAUNGA IN SHAA ALLAH
@Noorein-ws8wk
@Noorein-ws8wk 4 күн бұрын
Allahumma aamiin
@user-kh2uu9uy8o
@user-kh2uu9uy8o 11 күн бұрын
Mashaallah.. Allah mkubwa inshaallah hajj yako iwe kubul.. Hakika uislam ndio dining ya haki isiyo na ubaguzi na ni msingi wa mfumo mzuri wa maisha ya binadamu..
@aliimanitujitibukwatibazahalal
@aliimanitujitibukwatibazahalal 26 күн бұрын
Allah amkubalie ibada yake na wengine,Mzee wetu huyu tuliagana Masjdi kabla safsri kwa kweli amefurahi sana kwa hilo.ukitaka ujue mengi muulize ilikuaje mpaka umefanikiwa hijja utacheka kwa mazingatio!.
@mnyongeiddi2454
@mnyongeiddi2454 26 күн бұрын
Allah akufanyie wepesi Mzee wangu juma kalamtana uwe HIJA njema
@zaliafakilavire5689
@zaliafakilavire5689 14 күн бұрын
Mashaallah ila babu yetu mjanja sanaa nimependa alivyo jielezea Allah awatakabalie HIJJAH nasi tuombeeni dua siku moja tuende makka ❤❤🎉
@salimawishenga7588
@salimawishenga7588 7 күн бұрын
Mashaa Allah tabaraka Allah Alhamdulillah, Allah akubaliye dua zako Aamiin yaaarrab 🤲
@halimarashid6878
@halimarashid6878 26 күн бұрын
Alhamdulillah .Allah akupe hajji mabroor. Viongozi ni lazima kuwaelekeza mahujjaji namna ya kujisaidia wanavopotea. Kwa mfano no ya mlango munaoutumia sana kuingia msikitini. Au hata vyoo vya msikitini pia vina no basi mukawa munanakuwa munawafatilia kwa humo.
@safianamani1375
@safianamani1375 19 күн бұрын
Kila mahala polisi wapo... Kusaidiya... Wahujaji... Wapo tayari
@hailinhelen4675
@hailinhelen4675 11 күн бұрын
Lakini wanatoka hawana namba za simu jina la hotel namba za hotel wasimamizi wanafanya sio ivo watu wanatakiwa wapewe full information na watebee nazo kadi zao wakipotea wanapigiawa simu marjent au wanajina na namba ya hotel wanafikishwa hotel ingekuwa kazi rahisi sana
@KhadijaNgozi-ln4ww
@KhadijaNgozi-ln4ww 28 күн бұрын
Mwenyezi.mungu.atufuungulie.rizk.nasi.tùkahiji
@user-kj2pj9ot2v
@user-kj2pj9ot2v 27 күн бұрын
Amiin
@mutaladjasmini4815
@mutaladjasmini4815 27 күн бұрын
Amiin
@user-pd2fk6kt5i
@user-pd2fk6kt5i 14 күн бұрын
Yalio nikuta mimi yasiwakute wajukuu hi nimeipenda 😂😂😂 Allaah azidi kutuongoza kwakweli
@user-kh2uu9uy8o
@user-kh2uu9uy8o 11 күн бұрын
Alhamdulilah umeweza kutekeleza ibada yako hukubabaika..
@omanoman2044
@omanoman2044 25 күн бұрын
Hahaha mie sitaki kucheka et ningesem ni wazanziba ningesemeshwa kiarabu duuh
@saudmohammed3390
@saudmohammed3390 19 күн бұрын
Pole saaaana Babu kikubwa umefanya ibada yako tumuombe Allah apokee salaa na duwa zako wewe na Mahujaji wengine woooooote Ameeeeeen
@ruqaiamohammed345
@ruqaiamohammed345 11 күн бұрын
Amiin 🤲🤲
@SalmaIbrahim-ns6wy
@SalmaIbrahim-ns6wy 25 күн бұрын
Pole Sana mweyezi mungu akupe ukitaka cho Amini yarambi 🤲
@user-gp9np3nf2p
@user-gp9np3nf2p 29 күн бұрын
Pole sana Na Allihamdulilah umeonekana
@GibsonNtamamilo
@GibsonNtamamilo 19 күн бұрын
Huyu Mzee nampenda sana anastori sana tuko naye hapa Kigoma.
@lutfiakassimjuma2933
@lutfiakassimjuma2933 29 күн бұрын
Mashaallah
@user-xy9nm3lx5x
@user-xy9nm3lx5x 6 күн бұрын
Sasa kama hotel ilikua karibu na mskiti kwann ulipotea?
@KhadijaNgozi-ln4ww
@KhadijaNgozi-ln4ww 28 күн бұрын
Mashalaaa
@setiseti5281
@setiseti5281 26 күн бұрын
Amina yaayaab
@shamzone388
@shamzone388 28 күн бұрын
Jaman wakat wa hajj hakuna ujuzi wala lugha mtu yoyote anaweza kupotea ukijua kiarab au english au lugha yoyote
@safianamani1375
@safianamani1375 19 күн бұрын
Kawaida.... Si ajabu
@user-fs7xc2bb5d
@user-fs7xc2bb5d 13 күн бұрын
Nikweli usemacho
@user-jt4ox7dv9n
@user-jt4ox7dv9n 26 күн бұрын
Pole sana babu ila ungesema hiyo zanjibar angekuelewa mapema Allah aifanye hija yako iwe niyenye kujibiwa
@user-es2yt1jc4i
@user-es2yt1jc4i 27 күн бұрын
Maskin. Babu. Nakuomba uniombee sababu umeongea nimecheka nanisiku sichek
@omanoman2044
@omanoman2044 25 күн бұрын
Mzee wapo wanaongea kingereza na kiarabu pia tunajuw
@aziza9093
@aziza9093 21 күн бұрын
❤❤❤❤
@user-ui4oh8gf8n
@user-ui4oh8gf8n 29 күн бұрын
Pole saaana mzeee
@user-ui4oh8gf8n
@user-ui4oh8gf8n 29 күн бұрын
😂😂😂😂😂chai nilikunywa.
@MariamHaroon-pu3lx
@MariamHaroon-pu3lx 29 күн бұрын
MASHAAALLAH ❤❤❤❤😅
@zamalisaide3209
@zamalisaide3209 27 күн бұрын
Pole sn babu
@user-sh7id8of5m
@user-sh7id8of5m 27 күн бұрын
Pole mzee wangu lakini umeshahiji
@zulekhaa6817
@zulekhaa6817 29 күн бұрын
Babu yangu umenichekesha sana, Hotel ipo karibu lkn hukujua kurudi, unaisifu hatua mbali tu na msikiti. Allah akulipe kila l kheri n hija mabruur
@zakiamohamed7611
@zakiamohamed7611 29 күн бұрын
Muhimu kusoma jamani tunakwama baadhi ya mambo mengine kutofahamu faida yakusoma
@saudmohammed3390
@saudmohammed3390 19 күн бұрын
Umati Muhammad umejaa siyo rahisi
@nuhuabdil7073
@nuhuabdil7073 21 күн бұрын
Namumba mola wangu wahaki ajotole tajiri Alie ruzukiwa namola na Mimi nikahiji mwaka 2025 kwani riziki anatowa mola nitakacho jaliwa
@sumaiyasaid2356
@sumaiyasaid2356 6 күн бұрын
Allahumma Ameena . Mola akupokelee maombi yako.
@SaidSaid-wh4ky
@SaidSaid-wh4ky 26 күн бұрын
Hakuna hilo bus wala halija undwa
@ruqaiamohammed345
@ruqaiamohammed345 11 күн бұрын
Baba angu wa kigoma nimecheka sana 😂😂😂halafu kuhusu watz hajui kingereza sio wote babu bhn 😂😂😂😂ht cha kuombea maji baadhi yetu twakijua 😂😂😂
@hamilhashir4452
@hamilhashir4452 23 күн бұрын
Masha Allah hahahahaaaa
@SaidSaid-wh4ky
@SaidSaid-wh4ky 26 күн бұрын
Basi la watu 260 duuhh
@lutfiakassimjuma2933
@lutfiakassimjuma2933 29 күн бұрын
Zanzibar warabu😂😂😂😂
@FatmaAbdulhalim
@FatmaAbdulhalim 29 күн бұрын
Wazembe wasimamiz
@Aisha-qd2rg
@Aisha-qd2rg 28 күн бұрын
HAPAN MAMY KILA SIKU WATU HUPOTEA NI KAWAIDA MADAM WANGU NAE ALIPOTEAGA KUANZIA ASUBH MPAKA JION NA SIO MZEE
@prettynayally2177
@prettynayally2177 27 күн бұрын
Kupotea kawaida tu kwa hijja
@zakiamohamed7611
@zakiamohamed7611 29 күн бұрын
Babu mtihani umemkuta kutofahamu kusoma alama zasehemu
@imanimussa6256
@imanimussa6256 29 күн бұрын
Bc wazembe wacmamiz
@FatmaAme-vs2th
@FatmaAme-vs2th 28 күн бұрын
❤❤😂😂
@ismailomary5640
@ismailomary5640 26 күн бұрын
Mzee Kalamtana utavunja watu mbavu ukirudi Rwama
@safiaali1129
@safiaali1129 2 күн бұрын
Hijja Mambroour.
Khó thế mà cũng làm được || How did the police do that? #shorts
01:00
Happy 4th of July 😂
00:12
Pink Shirt Girl
Рет қаралды 60 МЛН
Me: Don't cross there's cars coming
00:16
LOL
Рет қаралды 15 МЛН
DO YOU HAVE FRIENDS LIKE THIS?
00:17
dednahype
Рет қаралды 90 МЛН
MAALIM SIASA AMWAGIKA MCHOZI AKIMUELEZEA HAJJAT BI.AKIBA
30:23
ZINJIBAR TV
Рет қаралды 119 М.
MSKIE KIJANA ALIYESILIMU KUTOKA SOUTH AFRICA AKIWA MAKKAH
6:50
Riyadh Tv Online Znz
Рет қаралды 2,6 М.
MAZISHI YA SHE.SAID BIN NYANGE MAKKA😭😭😭😭😭😭😭😭😭
13:07
sheikh said bin nyange online tv
Рет қаралды 49 М.
UTAKIPENDA CHUMBA CHA BIBI KIMEBADILIKA|AWEKEWA MAJI
36:13
Khó thế mà cũng làm được || How did the police do that? #shorts
01:00