Ni kweli kabisa Rev..mm nko saudi jana nliota nko na mwalimu mbele yangu akawa ananifundisha nlikua nimevaa dera imeraruka side na sikukumbuka maneno yote alikua akinifundisha lkn nlikumbuka tu verse ya bible yenye alisema ," ntakanyaga ndige na nyoka lkn hakuna kitakachokudhuru ,nkachkua mtumgi nkaubeba nkaupoga kama drum kwa mkono nkishangilia na kuzunguka zunguka nkaamka,sikujua meaning yake jioni yake napika kahawa jikoni....birika ya kahawa ika ikatoka kwa gas bahati mbaya kahawa yote ikamwagika jiko yote ilikua imemwagika kahawa plates sufuria zote...... thank God haikunipata...nlishangaa nimewezeje kuepuka na venye nlikua nimesimama karibu na gas😢 ,,,nkajua kwa msaada wa mungu tu
@magrethtilya2 ай бұрын
shalom kuhani ukiota mtu kalala anakoroma inamaana gani
@ElizabethJasson2 ай бұрын
Amina baba mm nimeota navuka kwenye daraja ambalo ni bovuuu sana lkn nafanikiwa kuvuka salama nn maana yake
@irenemwanri30232 ай бұрын
Mpendwa subscribe kwa channel hii utapata notification na You tube na utatafsiriwa.