Wangapi wanasema tuko na imani yw kwamba MUNGU. C mwanadamu na tunajua atampigania Goodluck kwa kila jambo 😊😊😊 bc mnipee like za Goodluck au vipy watu wangu 😂😂😂
@Q_lax2559 күн бұрын
Blessed sana super marioo tupo pamoja sana
@Fatimamedia2559 күн бұрын
Sasa gari amechoma Gudluck mnamuulza Niva inahusu nn, nyny online media mfunguwe tuu maana ni ujinga mtupu
@kyusa70029 күн бұрын
Mungu awape macho ya rohoni muweze kuona vilivyo gizani
@lukazakayaMlaiza-e5k9 күн бұрын
Huyo msanii ni mlevi wa chang'aa
@EliachimSulle3 күн бұрын
Anayejua ukweli mwenyez MUNGU
@BardenBensonMwamfupe-dk3yg9 күн бұрын
Ni kweli kabisa
@SbOm-b7k9 күн бұрын
Siri yamtungi aijuae kata, Hakuna kumlaumu mtu Kwa hatua yke
@Fatma-rj7vs9 күн бұрын
Kabisaa
@warakawayohana28969 күн бұрын
Huyu jamaa anaufahamu wa kiroho kuliko Gosbert
@WalterpeterMasawe9 күн бұрын
Yesu tusaidie
@user-to6up4hg2w9 күн бұрын
Yesu si God he's a man
@esterkimath12149 күн бұрын
Hawa ni wale wale wafuasi wa shetani wanateteana
@DeboraCalton9 күн бұрын
Hamjui mambo ya kiroho yaacheni...
@elianorabiita5369 күн бұрын
Gari achome mwingine kuhoji ahojiwe mwingine, ndo nni sasa!
@ZuwenaAsedi9 күн бұрын
Namuuliza huyo muigizaji yeye inamuuma nini unajua kakutana namangapi.
@ZuwenaAsedi9 күн бұрын
Kilamtu anaongea lake ukweli anaujua yeye.
@JLwamburaNyakazege9 күн бұрын
Kwani yeye ndy kachoma gari? Hiv aliyechoma gari hapatikani mpaka mnahoji wasiohusika,Kwa mfano huyo man inajua nn?
@kailakaziba7 күн бұрын
hakuna cha bule hii dunia😅
@khadijakimana88099 күн бұрын
Congratulations Niva for your new baby girl 🎊 👏 💐 Allah ampe afya njema 🤲😊
@SKILLSTVONLINE9 күн бұрын
Goodluck amezingua nakumbuka Amepewa Gari Nyeupe Na nabi mku ili Gari iliyo chomwa moto ni nyeusi
@tbwayjunior89479 күн бұрын
Sikumbuki rang but si nyeupe lakin kakuambia aliibadilisha rangi
@SKILLSTVONLINE9 күн бұрын
@ nirangi la kijifu
@adijaamur9629 күн бұрын
Niheribasi engelimurudishiya basi kwakweli hatamiye kibinafsi kanikwaza mi muisilam