Natamani siku moja nitakutana na mkasa nimpe hongera ila azijikweze asubiri akwezwe maana nyimbo zake Zina utukufu
@KennethAgumba4 күн бұрын
Church Is growing up congratulations 🎉👏🎉🎉👏 to young child
@NadiaNduwamungu-y9n4 күн бұрын
❤
@emmaoscar72446 күн бұрын
My best song
@FloraMponda7 күн бұрын
Muguakubariki Nyimbo Zakoziinafarijji
@JoyceRichard-b2n7 күн бұрын
Jamani mungu aendelee kuwa Linda na kuwapa afya njema nimetamani sana
@Wqwq9090-v6r7 күн бұрын
Mbarikiwa sana Kwa nyimbo zako tamu nasipenda mno
@JohnNyato9 күн бұрын
favourite song am so happpy
@BesterKiface-ns6ts10 күн бұрын
Wimbo unaniliza umeimba kwa hisia sana
@priscasampa945310 күн бұрын
Mungu awabariki ktk Utume huuu
@samuelnjukih407210 күн бұрын
Very touching. God hear our cries and pleading
@BernadetaMashala11 күн бұрын
thank you
@WilsonGeorge-os4mx12 күн бұрын
Naomba utume utub cop ya huo wimbo
@WilsonGeorge-os4mx12 күн бұрын
Nawapenda sana nyie familia
@AdolphinaAlinda12 күн бұрын
Jaman napenda family hii,bwana awepe maisha maref hata kizazi kinachokuja kikajue mungu kipitia unjili yenu
@BoscoSamuel-z3u14 күн бұрын
Naitaji kumuona uso kwa uso
@martinNembetwa17 күн бұрын
J'aime tellement vos chansons, une édification et une prière.
@IkuKomba17 күн бұрын
Mbalikiwe sanaà
@MiriamMilanzi17 күн бұрын
Nawapenda sana watumishi wa Mungu Mungu mwaminifu awape nguvu na afya njema kila lltwapo leo lli mzidi kumtumikia Bwana wetu Yesu kristo 🎉🎉🎉🎉🎉
@stephineomondi166818 күн бұрын
Someone told me He’s blind, but I’d say it was a blessing in disguise he’s praised God more than us who have both eyes 😊
@KakuengMet20 күн бұрын
May Almighty God continue to guide you.
@KakuengMet20 күн бұрын
You have touched my heart, brother. Glory be to God!
@teresachepngeno507121 күн бұрын
Am humbled listening to your song Benard
@Ganywa1222 күн бұрын
Mungu ajaziye Baraka marshaling mweni🎉🎉🎉🎉🎉
@Shemahonge-ku7xx23 күн бұрын
Mpaka mwili unanisisimka nikiusikiriza
@DarliotonTumainiКүн бұрын
Kipaji kikubwa🎉🎉
@Octaviani-xv7op25 күн бұрын
Natamani sikuzote hata siku Moja ije itokee walau niimbe wimbo na benadi mukasa ndo maombiyangu
@kasisimashaka38926 күн бұрын
Mungu akuhogezehe upamubanaji
@MarcoThomas-l1i27 күн бұрын
❤❤❤❤❤❤❤❤❤Sana sana
@andrewkamande835128 күн бұрын
I'll leave the lyrics here Mwanzi uliopondeka. 1. Utambi mchafu wa moshi mzito Hatauzima kadhalika mwanzi Uliopondeka kamwe hatauvunja Hatanitupa Bwana yesu Milele yote Hataniacha Bwana Yesu Niangamie 2. Najua mtetezi wangu ni mwema Mwenye huruma mwingi wa rehema Asiyeyahesabu maovu ya watu. 3. Nakiri mimi mdhaifu Kabisa Nimeanguka kulitii neno Lakini nitamuangukia Mwenyezi. 4. Nanyi ndugu zangu kwenu natubu Niliyofanya sikuwapendeza Nisameheni nichukulieni pia. 5. Sikati tamaa kwa kuwa najua Yesu mwokozi amenisamehe Kwa kuwa hiyo ndio tabia ya Yesu.
@maishayangu921628 күн бұрын
This is perfection embodied!. Thank you so much wana Mbeya. Mungu awawezeshe zaidi mwendelee kutufariji jinsi hii daima na milele.. Barikiwa kabisa!
@ZipporahNyanchama-s2m29 күн бұрын
Nakumbuka vile nilikuwa Mang"aaaa,nikiwa class Eight 😅😅😅😅😅
@IsaacGuyashiАй бұрын
Najitua kuchelewa kuisikiliza hii sehemu ya sita
@AnethNampasheАй бұрын
🙏🏽
@JemaJoseph-e7bАй бұрын
Naipenda sana hii nyimbo munqu akubalkin sana kwa ujumbe mzur
@godfreysadala3365Ай бұрын
Huu wimbo kila nikiusikia nakumbuka sana jumapili yangu ya mwisho kusali katika chuo kikuu cha Dodoma baada ya kumaliza masomo yangu hakika Mungu ni mwema kila wakati 🙏