USIYAKUMBUKE MAKOSA: QUADRI - V, Bernard Mukasa (Official video)

  Рет қаралды 248,234

Bernard Mukasa

Bernard Mukasa

Күн бұрын

Пікірлер: 205
@EmmanuelMabula-vo4gn
@EmmanuelMabula-vo4gn 2 ай бұрын
Hongera Baba kwa kumludishia mungu sifa kwa sauti nzuri aliyo kujalia hongera sana Mungu akuzidishie afya na maisha malefu nabalikiwa sana na nyimbo zako 🎉🙏🏿
@maggiehope-1884
@maggiehope-1884 Жыл бұрын
Mungu Yu mwema daima, always nazitafakar sana nyimbo zenu, akuzidishie moyo wa iman
@priscaemmanuel3367
@priscaemmanuel3367 2 жыл бұрын
Asante sana Mungu awabariki sana kwa tafakari nzuri. Niwatakie kwaresma njema.
@reginamukama7333
@reginamukama7333 2 жыл бұрын
Zaburi yetu site wazee asante sana nyie watu. Mungu awabariki najua hamlali ktk kutayarisha sala hizi kws njia ya nyimbo. Mungu awakumbuke daima
@paLi7242
@paLi7242 2 жыл бұрын
Hongereni sana kwa utume huo! Mungu awajalie afya njema ya Roho na mwili! Nawaombea sana.
@roseurio503
@roseurio503 10 ай бұрын
Kila naposikiliza nyimbo zenu huwa nafarijika mno Mungu awainue viwango na viwango🎉🎉❤
@martinNembetwa
@martinNembetwa 2 ай бұрын
Dieu vous bénisse, je suis à Kinshasa j'admire tellement vos chants quand bien même en swahili. Vous êtes fantastique.
@annamosha968
@annamosha968 2 жыл бұрын
Mungu azidi kuwatunza mzidi kumtukuza zaidi na zaidi, nawapeeenda sana
@norbertnturama4726
@norbertnturama4726 2 жыл бұрын
Hongera mkuu Kwakumpata vin Amekuwa upandewakowa pili katika mziki Baba mtunzi mama mtunzi,mtoto Organist Safisana
@elizamsonge5506
@elizamsonge5506 Жыл бұрын
Amina🔥🔥🙏🙏🙏
@felistuswayua2289
@felistuswayua2289 2 жыл бұрын
Congrats mungu azidi kuwaogoza na mfabarikiwe sana
@gamgangweesechota3589
@gamgangweesechota3589 2 жыл бұрын
Dah najikuta nalia tu,nawatamani kuliko Mwenyezi Mungu azidi kuwabariki Tena na tena
@BernardMukasa
@BernardMukasa 2 жыл бұрын
Mungu mwenye huruma aturehemu
@gamgangweesechota3589
@gamgangweesechota3589 2 жыл бұрын
@@BernardMukasa Amina 🙏
@paschalmiligo3896
@paschalmiligo3896 2 жыл бұрын
Hongera kwa utume Mungu awaepushe na maradhi ya kiroho na kimwili.
@BernardMukasa
@BernardMukasa 2 жыл бұрын
Amina
@andrewmushi281
@andrewmushi281 2 жыл бұрын
Hapo safiiii sana 🔥 🔥 🔥
@petrompesa
@petrompesa Жыл бұрын
Honger sana huy mwalim anaweza
@ndeshukurwakaaya4385
@ndeshukurwakaaya4385 2 жыл бұрын
Ni kwa neema ya mungu tu. Mungu amekwisha yafuta yote ili tuishi naye milele. Asnte mungu. 🙏
@mariawandiba6736
@mariawandiba6736 2 жыл бұрын
Asante kwa wimbo mzuri sana hongera sana na Mungu azidi kuwabariki
@sostenesabel3227
@sostenesabel3227 2 жыл бұрын
Tafakari yenye utulivu kabisa. Sauti tulivu , kinanda kulichotulia na melodi nzuri inayochagiza wimbo uwe wa tafakari zaidi. Hongereni sana
@BernardMukasa
@BernardMukasa 2 жыл бұрын
Atukuzwe Mungu milele
@SSM-r
@SSM-r 2 жыл бұрын
Kazi nzuri sana👏👏 hongera
@sistyandrea1931
@sistyandrea1931 2 жыл бұрын
Hongereni sana ndg zangu kwa kazi iliyotukuka
@AnneManyasi
@AnneManyasi 10 ай бұрын
Wimbo umenigusa sana 🥰🥰🥰
@samuelchema1526
@samuelchema1526 2 жыл бұрын
Mungu azidi kuwajaza neema
@georgemakori248
@georgemakori248 2 жыл бұрын
Ahsante ndugu yangu kwa kututolea tenzi hizi ambazo zatusaidia kwa njia ya kipekee kuwasiliana na mungu wetu hasa tukikumbuka kuwa sisi ni wakosaji na mara nyingi hatujui njia na maneno ya kumuambia mungu lakini kupitia nyimbo kama hizi inakua njia kamilifu . Wimbo mtamu na wa hisia kali za kutubu. Ubarikiwe wewe matilda na Vinny na familia ya quadri
@matildersendwa9858
@matildersendwa9858 2 жыл бұрын
Amina
@joshuamoruri9968
@joshuamoruri9968 2 жыл бұрын
Hongera sana kweli wimbo huu unanigusa sana barikiwa na familia yako
@innocentianicas5853
@innocentianicas5853 2 жыл бұрын
Tunashukuru maa na tunapunguza mawazo kupitia nyimbo hizi Mungu abarriki kazi hii
@tumainmkonda1211
@tumainmkonda1211 2 жыл бұрын
Barikiwa Sana nawatakia kwaresima njema
@petermaangi3471
@petermaangi3471 2 жыл бұрын
A very nice song Mkuu,,, shukrani Kwa wimbo mpya wa Kwaresma
@BernardMukasa
@BernardMukasa 2 жыл бұрын
Asante sana mkuu
@roinusamungu792
@roinusamungu792 2 жыл бұрын
Kazi nzuri na tafakari nzuri sasa na hasa tunapoelekea kipindi Cha Kwaresima Cha kanisa✨✨🙏
@BernardMukasa
@BernardMukasa 2 жыл бұрын
Asante sana
@georgesmasawe7399
@georgesmasawe7399 2 жыл бұрын
Hongereni sana kwa kazi njema ya uimbaji.......God bless you .....awajalie afya ,uzima wa roho na mwili.....na hekima pia.....to continue doing His job
@nicholasreubenli5074
@nicholasreubenli5074 2 жыл бұрын
Bwana na awazidishie nehema mzidi kutubariki n nyimbo hizi tamu.so touching songs they are
@valentinechepkorir1920
@valentinechepkorir1920 2 жыл бұрын
From Kenya!Bernard Mukasa you are the best!
@silvanuskatowo3814
@silvanuskatowo3814 2 жыл бұрын
Tafakari ,nzuri sana kipindi hiki maalum Cha Toba kwangu mm ni baraka sana , ninyi pia mbrikiwe sana na Mungu.
@crispusmghadi3472
@crispusmghadi3472 2 жыл бұрын
Hongera sana katika kuhubiri kpitia nyimbo mungu aendeleze kipaji hicho
@divinemedia4296
@divinemedia4296 2 жыл бұрын
Poweful song, Mungu abariki kazi yenu🙏
@honorinaverani1057
@honorinaverani1057 2 жыл бұрын
wimbo mzuri unaotafakarisha sana na toba. Mungu awabariki umenigusa sana.
@yudatadeimdoe9215
@yudatadeimdoe9215 Жыл бұрын
Tunafarijika sana kuwa na nyinyi ndani ya kanisa,, kiukweli kazi yenu itakatifuzwe milele🙏
@marymbilinyi1498
@marymbilinyi1498 Жыл бұрын
Inapendeza sana mtu kutumia Karama uliyo pewa na Mungu, awabariki sana awajalie afya njema
@estherwilson5126
@estherwilson5126 Жыл бұрын
Mungu.awabaliki.nanyi.mzidi.kutumiwa.kama.chombo.kwa.karama.mlio.pewaa.sifa.na.utukufu.nivyakee🙏🙏🙏
@marcohape9741
@marcohape9741 2 жыл бұрын
Hongera sana mwalimu, Mungu na akutangulie katika mwendelezo wa uinjilishaji
@FilbetSenge
@FilbetSenge Жыл бұрын
Nakuelewa sana mkasa kwa kaz nzur
@theashirima1894
@theashirima1894 2 жыл бұрын
Good family...nawapenda mno
@iqrampoul1787
@iqrampoul1787 2 жыл бұрын
Ongereni jaman Mungu akubarikini
@pendosteven2109
@pendosteven2109 2 жыл бұрын
Ongereni sana wimbo mzuri sana umetulia
@leahshimwela6531
@leahshimwela6531 2 жыл бұрын
Bwana yesu awabariki tunawapenda
@anzirunsway3320
@anzirunsway3320 2 жыл бұрын
Mungu aendeleee kukuongeze mashair mazuri zaid na zaidi
@reginamukama7333
@reginamukama7333 2 жыл бұрын
Aaa huu ni wimbo na no sala .Asanteni sana. Mnatusaidia mutant's meditation hAsa sisi wazee.
@reginamukama7333
@reginamukama7333 2 жыл бұрын
Nasahihisha mnatusaidia kufanya meditation. Mungu azidi kuwatumia.Amina
@festombugi7615
@festombugi7615 2 жыл бұрын
Nabarikiwa saaaana na hii familia mungu wa mbinguni awalinde vema aliye wapa karama hiyoo..Natamanii siku Moja niwe na uwezo mkubwa kama mama angu hapooo
@emmanuelkiio592
@emmanuelkiio592 2 жыл бұрын
Hongera-Nyimbo nzuri ya Kwaresma, napenda unavyokuwa mbele kiwakati
@dionizkipanya2355
@dionizkipanya2355 2 жыл бұрын
Mbarikiwe Sana,Kwa Kazi Hizi Zinazotusaidia Kujitafakari, Quadro V.🙏🏻🙏🏻
@BernardMukasa
@BernardMukasa 2 жыл бұрын
Tumshukuru Mungu
@isabelajoseph6299
@isabelajoseph6299 2 жыл бұрын
Hongera sana sana kwa familia hii. Asante pia kwa share na mm.
@gladysmutiso9855
@gladysmutiso9855 2 жыл бұрын
Nice one and touching
@martinmunywoki
@martinmunywoki 2 жыл бұрын
Safii sana, hongereeni
@frankmugisha7036
@frankmugisha7036 2 жыл бұрын
Mungu aibariki jamaa kwa kazi kubwa ya uhubiri munaeneza kwa nyimbo
@AmosiDeogratius
@AmosiDeogratius 2 жыл бұрын
Another hit song🔥🔥🔥🔥thanks much mukasa family pia niwatakie kwaresma njema wakatoliki wote tukae tukitafakari juu ya dhambi zetu na tumuombe Mungu atusamehe dhambi zetu
@BernardMukasa
@BernardMukasa 2 жыл бұрын
Asante sana. Na kwako pia
@AmosiDeogratius
@AmosiDeogratius 2 жыл бұрын
@@BernardMukasa ahsante sana mwalimu wangu🙏🙏🙏🙏
@patricknguli4322
@patricknguli4322 2 жыл бұрын
Nyimbo Safi Sana, Bwana Na Bi Mukasa Ongera Sana pamoja na Vinny mcheza kinanda.
@angelakashangaki5692
@angelakashangaki5692 2 жыл бұрын
Wimbo wangu bora wa kwaresima mwaka huu.
@celestinenanjala2972
@celestinenanjala2972 2 жыл бұрын
Nice one. My daughter is 2 years and she loves your songs so much whenever I play catholic songs and your song comes next she'll automatically start dancing to it.
@richardwabomba
@richardwabomba 2 жыл бұрын
Asante Sana kwa baraka ya wimbo huu
@rahmapanga8845
@rahmapanga8845 2 жыл бұрын
Wimbo mzuri sana
@sebastiansumawe9253
@sebastiansumawe9253 2 жыл бұрын
Asante kwa uinjilishaji huu mzuri.
@piusgisemba4353
@piusgisemba4353 2 жыл бұрын
Wimbo mzuri sana hasa katika kipindi hiki tutakachokianza, kwaresma. Mungu awabariki Ben na familia yako
@odethachambi1187
@odethachambi1187 2 жыл бұрын
Nawapenda sana,...... Mnanipa moto wa kumtumikia Mungu kwa nguvu sana🙏🙏❤️
@PetroKinyaga-r7v
@PetroKinyaga-r7v Жыл бұрын
Nawapenda Sana walimu wangu good bless
@josephlugome3838
@josephlugome3838 2 жыл бұрын
You deserve my brother
@graceanachristopher8180
@graceanachristopher8180 2 жыл бұрын
Hongereni sana kwa kutumia kipaji chenu ipasavyo
@deovictormedia7928
@deovictormedia7928 2 жыл бұрын
nice song mr. mukasa I real appreciate you
@tulimandike8933
@tulimandike8933 2 жыл бұрын
Mngu awabark katika safari yenu ya uinjilishaji 👏👏👏👏
@patrickwambua362
@patrickwambua362 2 жыл бұрын
I praise and thank the Almighty for giving you this incredible gift that we all get nourishment and blessings... May God keep you for days that we may all worship,repare and petition through your songs
@briantitiai3145
@briantitiai3145 Жыл бұрын
What a beautiful way to plead mercy from the father
@justinekiboko616
@justinekiboko616 2 жыл бұрын
Kazi nzuri sana Mungu atukuzwe
@denissolange2651
@denissolange2651 2 жыл бұрын
Une chanson qui inspire suffisamment !! Que Dieu vous benisse éternellement.
@felisterjohn-o6x
@felisterjohn-o6x 4 ай бұрын
mnanibariki sanaaa
@agnesokonda6573
@agnesokonda6573 2 жыл бұрын
God bless you and your family Kwa wimbaji bora
@gladysmwenda8996
@gladysmwenda8996 2 жыл бұрын
Wimbo mzuri haswa wakati huu wa maajilio.....swadakta .!!...nyimbo zako hunibariki Sana...
@topistaronyango3153
@topistaronyango3153 2 жыл бұрын
Barikiweni sana kwa wimbo huu
@mackrinaerenesto8237
@mackrinaerenesto8237 2 жыл бұрын
Mung awabarki nyimbo znaujumbe mtumishi nabarkiwa San Amina 🙏🙏🙏♥️♥️♥️♥️
@muzikimtamumtakatifu897
@muzikimtamumtakatifu897 2 жыл бұрын
Hakika kazi inabariki sana, Hongereni sana, Mungu azidi kuwainua na kuwabariki
@evamasoko1068
@evamasoko1068 2 жыл бұрын
Asanteni Sana kwa wimbo mzuri Mungu azidi kuwabariki kwenye utume huu
@janethmasaka9505
@janethmasaka9505 2 жыл бұрын
mungu aendelee kuwakirimia mambo mengi na makubwa kuifanya kazi yake.... hakika mnatusaidia kusogelea ufalme wa mungu...🙏
@natashatunje8906
@natashatunje8906 2 жыл бұрын
thanks for good song as we are nearing lent period
@valeriasimon3724
@valeriasimon3724 2 жыл бұрын
Wimbo mtuliiivu sana. Unatafakarisha sana. Mbarikiwe sana!
@estridakilumile6992
@estridakilumile6992 2 жыл бұрын
Barikiwa sana familia hiii❤️niwatakien kwaresma njema wakatoliki wote
@judithmagere4279
@judithmagere4279 2 жыл бұрын
Hongereni sana wimbo mzuri sanaa
@constantinennonjela3922
@constantinennonjela3922 2 жыл бұрын
Kweli Mungu wangu usiyakumbuke makosa yangu, hongera sana B. Mukasa family
@jamesmwita2995
@jamesmwita2995 2 жыл бұрын
Wimbo mzuri sana unaleta hisia Fulani za mwenyezi mungu
@petrochundu9702
@petrochundu9702 2 жыл бұрын
Mungu adumishe amani katika familia yenu... ili mzidi kumtukuza daima.... nawapenda sana
@matildersendwa9858
@matildersendwa9858 2 жыл бұрын
Amina
@JustineAmosi-e3t
@JustineAmosi-e3t Ай бұрын
mungu azidi kukupa nguvu
@rosemalaba5205
@rosemalaba5205 2 жыл бұрын
Asanteni kwa kututayarisha kwa kipindi cha kwaresma .Mbarikiweni sana.
@Kingdon8765
@Kingdon8765 2 жыл бұрын
Mubarikiwe Wana familia ya mwalimu wetu Bernard Mukasa Kwa kazi njema ya utume
@franciskagunda3461
@franciskagunda3461 2 жыл бұрын
Nice one Keep it up
@Kingdon8765
@Kingdon8765 2 жыл бұрын
Mungu awabariki na kuwalinda katika maisha yenu yote na kuwajalia nguvu za Roho mtakatifu ili mpate kumtumikia siku zote za maisha yenu Amina
@chazyshadrack2558
@chazyshadrack2558 2 жыл бұрын
hongera sana dada yangu .kazi nzuri sana ubarikiwe Amina ❤❤❤
@mjkinuthia386
@mjkinuthia386 2 жыл бұрын
This solemn penitential song is a powerfully spiritual heart-to-heart conversation with our merciful Father. It's an automatic anthem for me during the Lenten season. Asanteni sana the Mukasa family 🙏🙏🙏
@magrethcolestine2880
@magrethcolestine2880 2 жыл бұрын
Ninamshukuru Mungu Sana kwa namna ambayo kweli amewapa nguvu na uwezo mkubwa Sana wa kumtumikia kwa njia hii
@njaunjeri1712
@njaunjeri1712 2 жыл бұрын
My all time connection with Abba Father
@tashapinky5909
@tashapinky5909 2 жыл бұрын
Hongera!! Na Mungu azidi kuwabariki
@bensonmasingu8210
@bensonmasingu8210 2 жыл бұрын
I like to listen songs from this family, you are wonderful and amazing.May God bless you.
@catholicvibemusic3151
@catholicvibemusic3151 2 жыл бұрын
It's so touching from melody to the message ooh lord just forgive us😱😭😭😭😭
@emmayeutropia8746
@emmayeutropia8746 2 жыл бұрын
Touching voices, kijana Vinny hongera umeitendea haki kinanda
@bettychempraiseofficialvid3156
@bettychempraiseofficialvid3156 2 жыл бұрын
🙏🙏🙏🙏 a repentance song a broken heart deserve to our father in heaven.Amen
@ponsianonyangachi6805
@ponsianonyangachi6805 2 жыл бұрын
Asante sana br.Mukasa
@gumatohuka6959
@gumatohuka6959 2 жыл бұрын
Nisamehh Bwana Mungu wangu 🙏🙏🙏🙏😇.
@DanielNzyuko
@DanielNzyuko Жыл бұрын
That iz wot we kol worshiping
@francismuoki3897
@francismuoki3897 2 жыл бұрын
Gud music as always, wimbo mzuri sana wa kwaresma. Enjoying from kenya.
EE BWANA UNIHUKUMU (QUADRI V)  - Bernard Mukasa  ... Official video
6:58
Bernard Mukasa - Mungu Nimekuita (Official Video)
11:38
Bernard Mukasa
Рет қаралды 875 М.
It works #beatbox #tiktok
00:34
BeatboxJCOP
Рет қаралды 41 МЛН
Quilt Challenge, No Skills, Just Luck#Funnyfamily #Partygames #Funny
00:32
Family Games Media
Рет қаралды 55 МЛН
The evil clown plays a prank on the angel
00:39
超人夫妇
Рет қаралды 53 МЛН
Nyimbo za Kuabudu na Maombi
1:00:07
Lucas Kaaya
Рет қаралды 329 М.
BEST OF BERNARD MUKASA | BEST CATHOLIC MIX | TOP HIT MIX
26:49
WAUMINI (BELIEVERS) CATHOLIC CHANNEL
Рет қаралды 16 М.
BWANA UPOKEE - Bernard Mukasa || QUADRI - V || Official Video
9:00
Bernard Mukasa
Рет қаралды 73 М.
YATOSHA-By QUADRI-V (Official Video-HD)
7:26
Bernard Mukasa
Рет қаралды 550 М.
JANE MISSO-Usikumbuke Remix(Official Video)
8:20
RICHMAS Productions
Рет қаралды 5 МЛН
Bernard Mukasa - Mama Wa Msalaba (Official Music Video)
8:19
Bernard Mukasa
Рет қаралды 34 М.
NGUVU YA MAZUNGUMZO-Na. Bernard Mukasa_QV (Official Video-HD)_tp
4:27
TanganyikaProduction
Рет қаралды 1,5 МЛН
Bernard Mukasa - Ipo Huruma (Official Music Video)
11:33
Bernard Mukasa
Рет қаралды 73 М.
Bernard Mukasa - Mwanzi Uliopondeka (Official Video)
5:48
Bernard Mukasa
Рет қаралды 6 МЛН
It works #beatbox #tiktok
00:34
BeatboxJCOP
Рет қаралды 41 МЛН