USIYAKUMBUKE MAKOSA (LYRICS - KISWAHILI): QUADRI - V Na. Bernard Mukasa

  Рет қаралды 20,613

Bernard Mukasa

Bernard Mukasa

Күн бұрын

Пікірлер: 46
@piousdionice4693
@piousdionice4693 2 жыл бұрын
Usiyakumbuke Makosa ya ujana wangu....... Favorite song
@dionizkipanya2355
@dionizkipanya2355 2 жыл бұрын
Kaka Berenaldo Mwombeki Mukasa,Kaka Berenaldo Mwombeki Mukasa,Kaka Berenaldo Mwombeki Mukasa, Nimekuita Mara Tatu Kwakua Huu Wimbo Umekita Ndani Ya Shina La Maisha Yangu,Nikama Ulitunga Huu Wimbo Kwaajiliyangu,Sasa Niseme Nini,Naomba Mungu Akubariki Na Kukukuza Sana kaka.Wadogo Zako Tunajifunza Mengi Kupitia Wewe. Ubarikiwe Siku Zote.
@yasintamdee
@yasintamdee 2 жыл бұрын
Amina 🙏
@lucasshirima2880
@lucasshirima2880 2 жыл бұрын
Ee Mungu wangu nimekutumaini wewe nisihaibike Milele.....Amina...Asanteni sana Quadrev
@filbertgmbwambo9183
@filbertgmbwambo9183 2 жыл бұрын
Mkuu Mungu azidi kukutunza Ili uendelee kutuinjilisha namna hii. Nice song.
@janemwangi6065
@janemwangi6065 2 жыл бұрын
Hongereni Familia ya bwana mukasa God bless you allways. From Qatar but Kenyan 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏😇
@tumainmkonda1211
@tumainmkonda1211 2 жыл бұрын
Wimbo mzuri sana nmeupenda barikiwa Sana family ya Mungu
@despinamdende9810
@despinamdende9810 2 жыл бұрын
Usiyakumbuke makosa ya ujana wangu. Asanten kwa wimbo mzuri.
@johnmakotha5665
@johnmakotha5665 2 жыл бұрын
Usiyakumbuke makosa ya ujana wangu waka maasi yangu. Katika shida za moyo wangu unifanyie nafasi na kunitoa katika shida zangu. Nimebarikiwa sana kwa huu wimbo.
@boniphacekessy3699
@boniphacekessy3699 2 жыл бұрын
Tafakari amazing hususan kwa kipindi tunachokiendea soon, barikiwa sana mtumishi kwa kazi nzuri.
@judithbirungi9650
@judithbirungi9650 2 жыл бұрын
Wow wimbo na ujumbe mzuri sana hongera sana kaka
@theresiamorewa6121
@theresiamorewa6121 2 жыл бұрын
Usiyakumbuke makosa ya ujana wangu, Wala maaasi yangu. 🙏🙏🙏🙏
@mogendithaddeus7042
@mogendithaddeus7042 2 жыл бұрын
Barikiww sana familia ya benard mukasa mmenifaidi sana na nyimbo zenu
@salomekamendi2458
@salomekamendi2458 2 жыл бұрын
Yeah our God is so mercyful ! Usiyakubuke makosa yangu mungu wangu🙏
@brandinahongerasanabugomba1583
@brandinahongerasanabugomba1583 2 жыл бұрын
Hongereni sana wimbo umenoga sana
@jimwalterg.makune4089
@jimwalterg.makune4089 2 жыл бұрын
Wimbo mzuri ulio na ujumbe mwema...hongera!
@gamgangweesechota3589
@gamgangweesechota3589 2 жыл бұрын
Usiyakumbuke makosa ya ujana wangu Wala maasi yangu,unikumbuke kwa kadri ya fadhili zako ee bwana kwa ajili ya wema wako🙏
@sturmiusmdendemi4952
@sturmiusmdendemi4952 2 жыл бұрын
Be blessed
@hossanacatholicsingers6424
@hossanacatholicsingers6424 2 жыл бұрын
Kazi nzuri wapendwa watu wa Mungu hongereni sana
@c.a.sindanotano3242
@c.a.sindanotano3242 2 жыл бұрын
Nice song, hongereni sana kwa utume
@jamesjamesh.5822
@jamesjamesh.5822 2 жыл бұрын
Hongereni sana kwa wimbo mzuri
@deodatusbenezeth172
@deodatusbenezeth172 2 жыл бұрын
Wimbo mzuri Sana, Mungu akubariki wewe na familia yako. Natumaini video yake itakuwa nzuri sana
@reginaassey5382
@reginaassey5382 2 жыл бұрын
Wimbo mzuri sana Mbarikiwe sana 🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@patrickpastory4663
@patrickpastory4663 2 жыл бұрын
Ubarikiwe mtumishi wa Mungu
@lilianalara8007
@lilianalara8007 2 жыл бұрын
This song has really blessed me papa mukasa God bless u,🙏my body freezing with healing thanks a lot😭😭🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@rahabmacharia5020
@rahabmacharia5020 2 жыл бұрын
Kazi safi. Mbarikiwe
@georgekabelwa8962
@georgekabelwa8962 2 жыл бұрын
Tafakari nzuri Sana
@maliafrancisca1841
@maliafrancisca1841 2 жыл бұрын
Oh my! Such a prayer! Thanks so much. I feel Blessed by this song.
@ireneoduol8942
@ireneoduol8942 Жыл бұрын
This song really bless me baba thank you so much even me i want to join you am from nairobi
@georgemapiano1473
@georgemapiano1473 2 жыл бұрын
Kaz nzr kwakweli mungu awabarikii
@lucymwangi9869
@lucymwangi9869 2 жыл бұрын
Nice. Good job. Keep up
@maliafrancisca1841
@maliafrancisca1841 2 жыл бұрын
Ever new a song! Great.
@yasintamdee
@yasintamdee 2 жыл бұрын
Mbarikiwe sana
@franklaurent216
@franklaurent216 2 жыл бұрын
Asante kwa Zaburi nzuri
@lilianalara8007
@lilianalara8007 2 жыл бұрын
Kindly can I get full song stancers,plz,and chorus,🙌🏻💅🏼
@liberatasaanane718
@liberatasaanane718 2 жыл бұрын
Safi sana
@DavidGafo.
@DavidGafo. 2 жыл бұрын
Touching 🙏🏽
@fideliskathurima3916
@fideliskathurima3916 2 жыл бұрын
Good job Quadri V
@dreusebiusjmikongoti248
@dreusebiusjmikongoti248 2 жыл бұрын
Meditative🙏
@musamabogo1685
@musamabogo1685 2 жыл бұрын
🙏🙏🙏🙏
@StephanoShangalawe
@StephanoShangalawe Жыл бұрын
Good song🎉
@annawilliam5612
@annawilliam5612 2 жыл бұрын
Nice
@SharonJerutto-o7h
@SharonJerutto-o7h 7 ай бұрын
❤❤❤
@annashitundu-qq6ev
@annashitundu-qq6ev Жыл бұрын
Benard mkasa
@emma_mtapila755
@emma_mtapila755 2 жыл бұрын
🙏🙏🙏🙏
@evdiambilinyi9013
@evdiambilinyi9013 2 жыл бұрын
Hongereni wapendwa
USIYAKUMBUKE MAKOSA: QUADRI - V,  Bernard Mukasa  (Official video)
11:49
Bernard Mukasa
Рет қаралды 247 М.
AT NAKIPAMUHAY ANG DIYOS SA KANYANG NILIKHA - Homily by Fr. Dave Concepcion on Dec 24, 2024
28:01
Fr. Dave Concepcion, EVERYTHING IS GRACE
Рет қаралды 35 М.
Every team from the Bracket Buster! Who ya got? 😏
0:53
FailArmy Shorts
Рет қаралды 13 МЛН
OMBI LA KURUHUSIWA NIQAAB KWA MAMLAKA
8:31
SALAF NEWS TZ
Рет қаралды 1 М.
USIYAKUMBUKE MAKOSA (LYRICS - ENGLISH): QUADRI - V                               By. Bernard Mukasa
11:43
Ni Salama Rohoni Mwangu - Tenzi za rohoni lyrics
5:24
Lyrics Captain
Рет қаралды 3,5 МЛН
Gusaneni Majeraha, Bernard Mukasa
4:57
Wicky Bee 🐝
Рет қаралды 897
Mt. Kizito Makuburi - Tumfanyie Shangwe (Live Performance)
4:05
KMK MAKUBURI
Рет қаралды 41 М.
Itengenezeni Njia ya Bwana | A Ossonga | Lyrics video
4:55
Peter Rigii
Рет қаралды 318 М.
Nchi Inazizima
11:38
Holy Trinity - Topic
Рет қаралды 1,3 М.
BE HUMBLE AND DO NOT WORRY ON WHAT YOU ARE TO SAY - Homily by Fr. Dave Concepcion on Dec. 26, 2024
10:26
Fr. Dave Concepcion, EVERYTHING IS GRACE
Рет қаралды 30 М.
BERNARD MUKASA - Mwanzi Uliopondeka | Lyrics video
5:45
DJ Ngaruz
Рет қаралды 9 М.