NDACHA JUU YA UTATU MTAKATIFU PART 01
1:20:18
MPANGO WA MUNGU KWA WAISLAMU
47:55
Пікірлер
@SuleimanSele-h1l
@SuleimanSele-h1l Күн бұрын
Hakikanyiemumepotea
@SuleimanSele-h1l
@SuleimanSele-h1l Күн бұрын
Haowanaingia kwenyeibadazao nanajsi, haowanamchezeamungu,
@paschal-b9j
@paschal-b9j Күн бұрын
naitaj mwongozo
@johnsonndekelo5076
@johnsonndekelo5076 Күн бұрын
Awamuwezi ndacha
@usafirionline4465
@usafirionline4465 2 күн бұрын
Io biblia ya afrika mbna sjawahi kuisikia na naona ma sheikh wanaigangania ssana. Au ni kitabu cha taffsiri maana kwenye biblia sijjawahi kuona neno waislamu😂😂😂
@usafirionline4465
@usafirionline4465 2 күн бұрын
Soma sura nzima sheikh 😂 ubavuta mistari katiikati ya sura bila kielewa mwanzo wala mwisho anageneralize sura nzima kupitia mstari mmoja😅
@usafirionline4465
@usafirionline4465 2 күн бұрын
Uyo sheik yuko rough sana interms of interpretation ya maandiko . Ana generalization na competition eti wasabato ni manyani😅 yan huyu hana point kabisaa
@JosephMabibi
@JosephMabibi 2 күн бұрын
NENDENI NDACHA AKAWABABUE
@KenethThom
@KenethThom 4 күн бұрын
Kama waislamu wanakubali kuwa YESU alikuwa mislamu, na YESU alibatizwa, kwani wao hawabatizwi?
@jaelextindi7155
@jaelextindi7155 4 күн бұрын
Mungu ni mwema
@evansotieno9692
@evansotieno9692 7 күн бұрын
wapi yesu alimuita mariamu "MAMA YANGU"
@DianaDickson-v8v
@DianaDickson-v8v 7 күн бұрын
Mungu ni wawatu wote angekuwa ni WA ubaguz ange kuwa anaishinso
@DianaDickson-v8v
@DianaDickson-v8v 7 күн бұрын
Mungu ni wawatu wote angekuwa ni WA ubaguz ange kuwa anaishinso
@DianaDickson-v8v
@DianaDickson-v8v 7 күн бұрын
Mdakka mwishowe ziish
@MaulidemomadeSelemane-m8r
@MaulidemomadeSelemane-m8r 8 күн бұрын
Quero livro d hutuba
@kulemohamedmamo8035
@kulemohamedmamo8035 9 күн бұрын
Stop misleading ndacha
@kuulejoackiml8313
@kuulejoackiml8313 9 күн бұрын
Muslims are comedians just
@kuulejoackiml8313
@kuulejoackiml8313 9 күн бұрын
Mazinga is comedian he should join comedy store in Uganda, churchhill in Kenya. Stop shaming professors Mazinga your not a professor, I wash ur near me I would advise u to join comedy industry not teaching bro
@ArkamBakar
@ArkamBakar 10 күн бұрын
Watanzania ni watu wa mfano wa kuigwa kwa Amani bila ya kubaguanakwa dini wala kabila
@nathanorora3158
@nathanorora3158 11 күн бұрын
You are blessed. You are annointed in breaking the word
@HALIFAMWALIKO-ly1ef
@HALIFAMWALIKO-ly1ef 11 күн бұрын
Makafir hawamuwez Al-haj mazinge, wanabwabwaja tuu
@KailaniTossi
@KailaniTossi 12 күн бұрын
Nipende kusema elimu ya Hadith za mtume zinahitaji elimu kubwa na sikuzutamka tu bila yakujua. Kwa sabab hadithi za mtume zinahukum katk hali tofauti tofauti
@AsiaChaboma-f1c
@AsiaChaboma-f1c 13 күн бұрын
Amina
@ABELGODLOVE
@ABELGODLOVE 14 күн бұрын
Barkwen
@RaimamomedSaidi-wz1yu
@RaimamomedSaidi-wz1yu 14 күн бұрын
Wakiristo wabishi sana,licha ya udini,kifkra tu hujui km viatu vinachukua uchafu mwingi ukitembea?sasa unaingiaje nyumba ya mungu na uchafu?acheni kupotezwa mjuweni mola wenu wa haki ni nani.
@PierreKasongo-q8p
@PierreKasongo-q8p 15 күн бұрын
Baba Mungu akubariki kwazi munafanya😂😂😂❤❤
@jumamgazaMgaza
@jumamgazaMgaza 16 күн бұрын
hakuna cku
@KatanaMlewa
@KatanaMlewa 18 күн бұрын
Mazinge acha kuongopea watu sasa wewe mwenyewe wajua ijumaa ikitoka inakija ipi
@V24hrs
@V24hrs 19 күн бұрын
Swali dogoo ..majibu mlima😂😂😂
@francisjoseph1074
@francisjoseph1074 19 күн бұрын
Dah! Nimekumbuka mbali sana hapa sio baptist NYAMANORO Mwanza na huyu dogo Ernest sijui aliendaga wapi
@BlandinaFunga
@BlandinaFunga 19 күн бұрын
Naomba achani kubishania kuhusu dini kumbuken kila mtu atuchukua mzigo wake mwenyewe,
@user-mf8bg1qs4i
@user-mf8bg1qs4i 19 күн бұрын
Nahitaji mwongozo
@musamwita1287
@musamwita1287 20 күн бұрын
Bado nafatilia mada!!
@RodgersMae-of4vm
@RodgersMae-of4vm 20 күн бұрын
𝐇𝐢𝐥𝐨 𝐬𝐰𝐚𝐥𝐢 𝐚𝐥𝐢𝐥𝐨 𝐮𝐥𝐢𝐳𝐚 𝐌𝐚𝐳𝐢𝐧𝐠𝐞 𝐲𝐚𝐧𝐢 𝐢𝐧𝐚𝐦𝐚𝐧𝐢𝐬𝐡𝐚 𝐌𝐚𝐳𝐢𝐧𝐠𝐞 𝐡𝐚𝐣𝐮𝐢 𝐘𝐞𝐬𝐮 𝐧𝐢 𝐧𝐢𝐧𝐢 𝐤𝐚𝐛𝐢𝐬𝐚 𝐤𝐰𝐚 𝐤𝐢𝐟𝐮𝐩𝐢 𝐡𝐚𝐧𝐚 𝐄𝐥𝐢𝐦𝐮 𝐲𝐚 𝐛𝐢𝐛𝐢𝐥𝐢𝐚 𝐤𝐚𝐛𝐢𝐬𝐚 𝐧𝐢𝐤𝐚𝐦𝐚 𝐦𝐭𝐮 𝐚𝐦𝐛𝐚𝐞 𝐡𝐚𝐣𝐚𝐠𝐮𝐬𝐚 𝐛𝐢𝐛𝐢𝐥𝐢𝐚 𝐤𝐚𝐛𝐢𝐬𝐚 𝙚𝙩𝙞 𝙔𝙚𝙨𝙪 𝙖𝙡𝙞𝙠𝙪𝙬𝙖 𝙙𝙞𝙣𝙞 𝙜𝙖𝙣𝙞! 𝙔𝙚𝙨𝙪 𝙣𝙞 𝙉𝙚𝙣𝙤 𝙡𝙖 𝙈𝙪𝙣𝙜𝙪 𝐘𝐨𝐡𝐚𝐧𝐚 𝟏:𝟏 𝐧𝐚 𝐘𝐨𝐡𝐚𝐧𝐚 𝟖:𝟐𝟓 𝐇𝐢𝐲𝐨 𝐧𝐢 𝐬𝐚𝐰𝐚 𝐤𝐮𝐮𝐥𝐢𝐳𝐚 𝐍𝐞𝐧𝐨 𝐥𝐚 𝐌𝐮𝐧𝐠𝐮 𝐧𝐢 𝐃𝐢𝐧𝐢 𝐠𝐚𝐧𝐢? 𝙡𝙖𝙠𝙞𝙣 𝙨𝙝𝙞𝙙𝙖 𝙮𝙖 𝙢𝙪𝙞𝙨𝙡𝙖𝙢 𝙝𝙖𝙟𝙪𝙞 𝙠𝙪𝙩𝙤𝙛𝙖𝙪𝙩𝙞𝙨𝙝𝙖 𝙔𝙚𝙨𝙪 𝙠𝙖𝙩𝙞𝙠𝙖 𝙧𝙤𝙝𝙤 𝙣𝙖 𝙔𝙚𝙨𝙪 𝙠𝙖𝙩𝙞𝙠𝙖 𝙢𝙬𝙞𝙡𝙞 𝙬𝙖 𝙠𝙞𝙗𝙞𝙣𝙖𝙙𝙖𝙢 𝙒𝙖𝙞𝙨𝙡𝙖𝙢 𝙬𝙤𝙤𝙤𝙩𝙚 𝙬𝙖𝙣𝙖𝙟𝙪𝙖 𝙔𝙚𝙨𝙪 𝙠𝙖𝙩𝙞𝙠𝙖 𝙢𝙬𝙞𝙡𝙞 𝙬𝙖 𝙠𝙞𝙗𝙞𝙣𝙖𝙙𝙖𝙢𝙪 𝙗𝙖𝙨𝙞 𝙣𝙖 𝐰𝐚𝐤𝐢𝐟𝐮𝐧𝐝𝐢𝐬𝐡𝐰𝐚 𝐡𝐚𝐰𝐚𝐭𝐚𝐤𝐢 𝐤𝐮𝐞𝐥𝐞𝐰𝐚 𝐦𝐚𝐧𝐚 𝐰𝐚𝐤𝐢𝐞𝐥𝐞𝐰𝐚 𝐢𝐭𝐚𝐛𝐢𝐝𝐢 𝐦𝐭𝐮 𝐚𝐫𝐢𝐭𝐚𝐝𝐢 𝐧𝐚 𝐚𝐤𝐢𝐫𝐢𝐭𝐚𝐝𝐢 𝐡𝐮𝐤𝐮𝐦𝐮 𝐲𝐚𝐤𝐞 𝐧𝐢𝐤𝐮𝐧𝐲𝐨𝐧𝐠𝐰𝐚 𝙣𝙙𝙞𝙤 𝙬𝙖𝙣𝙖𝙤𝙜𝙤𝙥𝙖 𝙞𝙩𝙖𝙗𝙞𝙙𝙞 𝙬𝙖𝙗𝙖𝙠𝙞 𝙞𝙡𝙖 𝙩𝙪𝙣𝙖𝙟𝙪𝙖 𝙞𝙣𝙟𝙞𝙡𝙞 𝙞𝙢𝙚𝙞𝙣𝙜𝙞𝙖 𝙝𝙞𝙮𝙤😂😂😂
@SamuelKatana-v9d
@SamuelKatana-v9d 20 күн бұрын
Mazinge aache kujifanya haelewi kitu nkwamba ameujua ukweli lkn anajitetea hana la kusema
@rehemawanjala-bu5oq
@rehemawanjala-bu5oq 21 күн бұрын
Bibilia yao iko na contradiction nyingi sana lakini hawazioni nashukuru Mungu alinipa ufahamu na mapema na nikajua kuwa Islam ndio dini ya haki na ufunguo wa mbinguni ni shahada..Alhamdullillah
@malimachisumo2959
@malimachisumo2959 21 күн бұрын
Mungu aendelee kukutumia na kukubariki
@adventsoundtv
@adventsoundtv 21 күн бұрын
Amina Mzee wa Markazi
@Mbonimpaolenga
@Mbonimpaolenga 22 күн бұрын
Nikweli batumishi bamungi mungu ababaliki yesu nikweli ni mungu tito2:23
@Mbonimpaolenga
@Mbonimpaolenga 22 күн бұрын
Île kweli yesu siyo muislam
@CharlesCharles-m2o
@CharlesCharles-m2o 22 күн бұрын
Nahitaji mwogozo
@adventsoundtv
@adventsoundtv 21 күн бұрын
Naomba namba yako nikutafute
@SamuelAbio-m2c
@SamuelAbio-m2c 22 күн бұрын
Lovu you Christians
@SamuelAbio-m2c
@SamuelAbio-m2c 22 күн бұрын
Hakuna mwalimu muislamu anayo fika elimu ya ndacha
@abuuhafswa
@abuuhafswa 18 күн бұрын
inawezekana hamna ila kwa hapo ameshindwa
@husnabintibrahim3842
@husnabintibrahim3842 22 күн бұрын
Mazinge Allah akulipe kila la kheri
@trutharchaeologist
@trutharchaeologist 22 күн бұрын
DINI na Yesu Kristo ni vitu tofauti , Wayahudi na Waisraeli sio DINI mbali uzao wa damu wa Yakobo, Mwanzo wa Yesu sio hapa duniani, Mariamu ni njia tu ambayo Mungu alitumia kuleta Mwokozi wa ulimwengu hapa duniani, Jambo la muhimu la kuzugumzia ni kwanini Yesu akaja Duniani? mbona anaitwa Masihi na siyo Muhammad? Mbona Yupo mbinguni na atarudi tena na siyo Muhammad? Mbona hakuwa na Dhambi? Mbona anaitwa Neno na roho wa Mungu na sio Muhammad? Je , Allah ana Roho? Je Allah ni Baba wa Wayahudi na Waisraeli kwa Jumla? Kwa nini nyakati za Torati wayahudi walichinja wanyama na Damu ya hao wanyama kutumika ili wasamehewe dhambi kama Allah angesamehe tu bila kuhitaji sacrifices? Je, Allah ni Mungu 1 ama ni Mmoja, kwa nini hana Roho? Je Allah yupo kila mahali ama ni kiumbe tu moja vile Uislamu unafunza? Je Allah anasafiri kutoka sehemu moja ya mbingu na ardhi kwani yeye ni Mungu hayuko mkamilivu maana Mungu wa Waisraeli na Wayahudi kwa kuwa ni Roho yupo kila Mahali? Huyu Allah asiye na Roho anasaidia nani na tofauti yake na mawe ni nini maana hana Roho wake na pia hana Neno?
@banzigodfrey5196
@banzigodfrey5196 23 күн бұрын
Washa moto wa kiroho mjomba, barikiwa
@adventsoundtv
@adventsoundtv 22 күн бұрын
😂😂
@hythamhashiem4458
@hythamhashiem4458 23 күн бұрын
Ndacha wasikitisha
@IbrahimuMgeni-gz5vx
@IbrahimuMgeni-gz5vx 23 күн бұрын
ALLAH mpe taufiq Ndacha asilimu kabla ya kurejea kwako kama ulivyotia taufiq kwa maswahaba wa mtume swallaLLAAHU alayhi wasallam
@HustMan-jo4ch
@HustMan-jo4ch 23 күн бұрын
Ndacha ww silimu yaishe wacha kuzingazinga
@NassorroButcher-cu3pg
@NassorroButcher-cu3pg 23 күн бұрын
Kama hajasilim hii anatakiwa aache uchungaji
@kaderbakshamin2345
@kaderbakshamin2345 23 күн бұрын
Ndacha silimu tu usile matapishi yako ni ahadi uliyoitoa mwenyewe mukiambiwa wakristo hamukisomi kitabu chenu vizuri haya umeumbuka sasa timiza ahadi yako