Рет қаралды 437
Je Uislamu Umetabiriwa katika Biblia? Je Mungu anakusudi gani na kuwepo kwa dini ya Uislam yenye watu karibia Bil 2 duniani? Je atawaacha hawa wote wapotee? Je ameweka mpango wowote utakaowahusisha katika wokovu? Fuatilia somo hili mpaka mwisho.