DKT. NCHIMBI AWAAGIZA MWIGULU NA BASHUNGWA ULIPAJI FIDIA BUKOBA MJINI

  Рет қаралды 416

Wizara ya Ujenzi

Wizara ya Ujenzi

Күн бұрын

Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Emmanuel Nchimbi amemuelekeza Waziri wa Fedha Dkt. Mwigulu Nchemba kuiwezesha Wizara ya Ujenzi kiasi cha Shilingi Bilioni 1.8 kwa ajili ya malipo ya fidia kwa wananchi waliopisha mradi wa upanuzi wa njia nne wa barabara ya Bukoba Mjini kuanzia Rwamishenye Roundabout hadi Stendi Mpya ya Bukoba Mjini (km 1.2) ambao utekelezaji wake unaendelea.
Dkt. Nchimbi ametoa maelekezo hayo Mkoani Kagera wakati akizungumza na wananchi katika mkutano wa hadhara uliofanyika Bukoba Mjini ambapo pamoja na mambo mengine amesikiliza na kutatua kero mbalimbali zilizotolewa na wananchi.
#wizarayaujenzi

Пікірлер
The FASTEST way to PASS SNACKS! #shorts #mingweirocks
00:36
mingweirocks
Рет қаралды 15 МЛН
Mwigulu Nchemba: Tunakopa Sababu Sisi Ni Matajiri
7:31
The Chanzo
Рет қаралды 1,1 М.
#TBC1: WEKEZA TANZANIA: KUMEKUCHA BANDARI YA BUKOBA
28:51
TBConline
Рет қаралды 2,6 М.
SAMIA HOUSING SCHEME KAWE
5:24
Taste of Luxury
Рет қаралды 2,2 М.
TAFSIRI YA NJIWA NA KUNGURU KIBIBLIA
1:09:49
ufunuo tv
Рет қаралды 459