NAIBU WAZIRI KASEKENYA ATAKA UJENZI WA BRT III UZINGATIE UBORA WA KIMATAIFA

  Рет қаралды 1,506

Wizara ya Ujenzi

Wizara ya Ujenzi

Күн бұрын

Naibu Waziri wa Ujenzi Mhandisi, Godfrey Kasekenya amemtaka mkandarasi M/S SINOHYDRO COOPERATION LIMITED anayejenga miundombinu ya mfumo wa usafiri wa mabasi yaendayo haraka BRT 3, KM 23.3 kuanzia katikati ya jiji la Dar es salaam hadi Gongolamboto kuhakikisha ujenzi huo unajengwa kwa viwango vya kimataifa kutokana na umuhimu wa barabara hiyo.
Akikagua ujenzi wa barabara za mabasi yaendayo kwa haraka tarehe 6 Agosti 2024, Naibu Waziri Kasekenya amesema barabara hiyo ni lango la jiji la Dar es salaam na taifa kwa ujumla hivyo Serikali inategemea kuwa itakuwa barabara ya mfano kwa ubora na muonekano.
#wizarayaujenzi

Пікірлер: 8
@josephmartin292
@josephmartin292 Ай бұрын
Vituo vibadilishwe mjini viwe dizaini nyingine mavituo yanatia aibu
@festokemibala5832
@festokemibala5832 Ай бұрын
Nonachoona SGR na BRT hazikuwa harmonized ndo maana miinuko ya hivyo vivuko is too steep kutokana na ukaribu wa hiyo miundombinu. Muhimu kuvitunza no matter kuna miinuko hiyo
@HajiMgwami
@HajiMgwami Ай бұрын
haya anayo yaongea ni mipango ya ujenzi ilipangwa auyeye anaongea maono na mipango yake, akija adhalani kuomba hayo inamaanisha kwenye vikao vya awali hawakuyapanga hao
@BagramenshZuma
@BagramenshZuma Ай бұрын
Hongera kwa nama samia ila tunaelekea AFCON 27 tunaomba mchakato wa mto jangwani uanze jaman naon kila cku ni story tu
@theonestkibuga1900
@theonestkibuga1900 Ай бұрын
Kigamboni mh Naibu waziri mpango wa BRT uko vipi
@BagramenshZuma
@BagramenshZuma Ай бұрын
Naibu wazir hamjafikiria kwa umakini brt ya tegeta ilitakiwa iende mpaka ya bunju kwani kule ndo kuna watu wengi
@festokemibala5832
@festokemibala5832 Ай бұрын
Hii miradi siyo kwamba imebuniwa karibuni, hasha! Ni miradi iliyobuniwa enzi za Mzee Mkapa ikilenga kuimarisha usafiri ktk jiji la dsm na viunga vyake. Wataalam walienda kijifunzia huko nchi za Asia mashariki. Utekelezaji ndo ulianza ktk kipindi cha mwisho cha Kikwete. Maeneo uliyotaja labda ije BRT IX
@karimkinwary4668
@karimkinwary4668 Ай бұрын
Kweli aseee sisi wa mabwe pande na bunju b huku ndo tuko wengi bila kuwasahau wa mbweni na mapinga
Interviews about Tanzania Standard Gauge Railway [Dodoma] -2
13:58
Yapı Merkezi Tanzania
Рет қаралды 2,4 М.
У ГОРДЕЯ ПОЖАР в ОФИСЕ!
01:01
Дима Гордей
Рет қаралды 7 МЛН
Люблю детей 💕💕💕🥰 #aminkavitaminka #aminokka #miminka #дети
00:24
Аминка Витаминка
Рет қаралды 1,5 МЛН
KADANGANYA
10:21
Joti TV
Рет қаралды 285 М.
Nigeria's New Dangote Refinery's Gasoline Milestone
5:55
Bloomberg Television
Рет қаралды 31 М.
AI chip makers battle for dominance | BBC News
21:17
BBC News
Рет қаралды 28 М.
У ГОРДЕЯ ПОЖАР в ОФИСЕ!
01:01
Дима Гордей
Рет қаралды 7 МЛН