DR.SULLE SASA AWANYOOSHA WANAOSEMA KUANGUSHA WANAWAKE NI KOSA//WAO WAMEWEKA UTARATIBU GANI?

  Рет қаралды 2,769

ISLAAH ISLAMIC  TV

ISLAAH ISLAMIC TV

Күн бұрын

Пікірлер: 18
@RahmaIddi-s2s
@RahmaIddi-s2s 2 күн бұрын
Dr sule... Masha Allah Masha Allah Tabbarak Rahman 🤲 Mungu akuhifadhi wewe pamoja na sisi vipenz vyako....wanao kuchukiya Mungu awasamehe makosa yao..
@RahmaIddi-s2s
@RahmaIddi-s2s 2 күн бұрын
Subhana Allah 😭 Yaa Rabb 🤲 pole sanaaaaa sheikh sule... wachawi muogopen Mungu nyie
@mohamedAbdallah-v2v
@mohamedAbdallah-v2v 2 күн бұрын
Allah akuzidishie hapa duniani na akhera maana unafanya kazi kubwa sana ..ila nilichokigundua watu wengi wanao muattack dr.sure kwanza ni roho mbaya na cha pili maalifa yao ni madogo
@husseinwenger7712
@husseinwenger7712 Күн бұрын
Dr. Sule Pambana nakutuokowa sisi wengine tulisha haribiwa maisha yetu Allah yupo pamoja na wewe Chamno chako wengi hatujasoma
@MadinaMhina
@MadinaMhina 2 күн бұрын
Big ape, Dr. Sule.
@dengepandu9734
@dengepandu9734 2 күн бұрын
Dokta Mimi nimeota namuuwa nyoka nnje ya nyumba yangu naomba maana ni nini
@MUKULASI-t8e
@MUKULASI-t8e 2 күн бұрын
Dr sule umenifanya nijuwe dini sababu Yako..Sasa nakutafuta sikupati kwenye namba zako Wala watsup upatikani ninashida
@abuhsanono4392
@abuhsanono4392 Күн бұрын
Dr sule wuko sawa Kila mtu amini yenye ana amini wa tibu wape na ilimu
@Kzm-c9u
@Kzm-c9u 2 күн бұрын
Sule acha kuwafedhesha wake za watu
@SaeedSalum
@SaeedSalum Күн бұрын
hv ndgu yngu unajielewa kwn hpo sule anaongea utafauti w visomo .na hali n Haram wwe unaongea nni
@ScentsationalHeven
@ScentsationalHeven 2 күн бұрын
Ila ukumbuke myaka uliyo omba kwa allah inakalibia kuisha😢😢😢 msiwe mnaomba ukatisho wa kuisha wakati yeye ndo anastahiki kukukadilia umli wako wa kuisha je huoni Kama ulikosea😮😮😮
@Wastara001
@Wastara001 2 күн бұрын
Nimetamani kusikia dalili kutoka kwenye Quran kuwa nyoka ni shetani.
@MusaRamadhani-wj2dw
@MusaRamadhani-wj2dw 2 күн бұрын
Wachakulazimisha VITU Kosomewache. mikurwa
@MUKULASI-t8e
@MUKULASI-t8e 2 күн бұрын
Unajuwa nini wewe zaidi matahyo
@AzizihFarijala
@AzizihFarijala 2 күн бұрын
Sule umechemka kuhusu tiba asili na tiba kienyeji yote ni kitu kimoja inategemea mtu anaitaje. Tz tuna.baraza la tiba asili na tiba mbadala ungekuwa na luseni ungejua maana ya vitu hivyo
@SaeedSalum
@SaeedSalum Күн бұрын
Nenda kamfundshe wwe ambae unaelimu .
@Abuu_Abibakar
@Abuu_Abibakar 2 күн бұрын
Mtu aliyebainisha Itikadi yake ya shirki; Kama kuamini Pete yake inampa mvuto,pia anatoa elimu ya nyota... Ikiwa mtume anasema: ((من اقتبس شعبة من النجوم فقد اقتبس شيئا من السحر)) Na hajaonekana akitubia na kuondoa Yale maneno yake ya shirki... Anatoaje tiba ya Sunnah? Tutaamini VP hamna shirki ikiwa yy ni mshirikina??? والله المستعان
@Abuu_Abibakar
@Abuu_Abibakar 2 күн бұрын
Unachanganya mambo WW daktari... Udaktari na kuwaweka uchi wanawake wanjani vinaingiana VP... Hapo kwako hakuna dharura... Watu sio wajinga bwana!!! Soma Tawhiid kwanza urekebishi aqiydah yako ndugu... والله المستعان
DR.SULLE KUUA KUNA RUHUSIWA KWA SABABU HIZI//WALA SI DHAMBI
26:15
ISLAAH ISLAMIC TV
Рет қаралды 3,2 М.
Support each other🤝
00:31
ISSEI / いっせい
Рет қаралды 81 МЛН
So Cute 🥰 who is better?
00:15
dednahype
Рет қаралды 19 МЛН
Леон киллер и Оля Полякова 😹
00:42
Канал Смеха
Рет қаралды 4,7 МЛН
Dr.Zakir Naik Awasili Salama Zanzibar, Alhamdulillahi
22:01
islamicftz
Рет қаралды 28 М.
MAJINA YAO YAMEONDOLEWA KWENYE KITABU CHA UZIMA
32:00
Ukweli Ministries
Рет қаралды 51 М.
Support each other🤝
00:31
ISSEI / いっせい
Рет қаралды 81 МЛН