DR.SULLE HAKUNA SHEREHE ZA MWAKA BADO WAKRISTO WANAPOTEA SANA//UISLAAM UMENYOOKA HAUNA MASHAKA

  Рет қаралды 8,681

ISLAAH ISLAMIC  TV

ISLAAH ISLAMIC TV

Күн бұрын

Пікірлер: 114
@jofujumaa2046
@jofujumaa2046 Күн бұрын
Kwel hapo umetupatia za ndan kabxa doctor ❤❤❤
@mrishoshabani2597
@mrishoshabani2597 2 сағат бұрын
Swadakta, Allah akuzidishie baraka na akusamehe ulipoteleza.
@jumamitamba6029
@jumamitamba6029 Күн бұрын
Dkt sulee munguu akupee maishaa malefuu sanaa mashallhaa unajuwa ukovizurii
@RajabuMalebo
@RajabuMalebo 3 күн бұрын
asante sana sulle umenipa elimu kubwa napaswa kujifanyia tasimini ktk masaa ishilini nanne
@MustafaKwengweje
@MustafaKwengweje 2 күн бұрын
Assalamualaikum kiukwel doctor nakuelewa sana point zako Allah akubariki
@AlexAmbrose-y8l
@AlexAmbrose-y8l 3 күн бұрын
I'm Cristian lakini ndugu zetu mmesoma dini na elimu ya dunia
@hafsakirao398
@hafsakirao398 2 күн бұрын
Hata wewe soma usikubali kupotea kirahisi. Mwenyezi Mungu amekupa zawadi ya akili itumie.
@Jifunzebure
@Jifunzebure 2 күн бұрын
@@AlexAmbrose-y8l wewe si mkristo. Waislam wa Elimi gani ya Dini na wana Elimu gani ya Dunia, kwa takwini zipi umetizoa?
@AlexAmbrose-y8l
@AlexAmbrose-y8l 2 күн бұрын
mi sijakurupuka kuandika huu ujumbe wahadhiri WA kiislami nawasikiliza na wakikristu nawasikiliza kuna utofauti mkubwa Sana maswali mengi wanayo tuulize tunakosa majibu Ila tukiwauliza ​wao majibu wanayo kwani we ulipo mskiliza Dr suleh hujapata faida yeyote?@@Jifunzebure
@Jifunzebure
@Jifunzebure Күн бұрын
@@AlexAmbrose-y8l Nimekuuliza kwa takwim gani?. Au unasema tu. Sulle ni muongo na kama ujaelimika huwezi kumuelewa. Kujua kati ya wakristo na waislam wapi wana Elimu. Vyuo vyote vikubwa vinamilikiwa na wakristo. Mashirika yote makubwa yalianzishwa na wakristo. Siasa na mfumo wa Dunia ilianzishwa na wakristo. Na wasomi wengi ni wakristo
@AlexAmbrose-y8l
@AlexAmbrose-y8l Күн бұрын
kama umemsikiliza vizuri basi tuambie wewe katika vitu alivyo ongea hiki na hiki Ni uongobili na wewe uwe mwalimu Kwa watu wengine sasa ukisema muongo huku ubainishi huo uongo wake Nani ATA kuwa mkweli Kati ya wewe na suleh ​@@Jifunzebure
@adamkamaze9888
@adamkamaze9888 10 сағат бұрын
Dr Sule ni mjanja mjanja kwenye Dini ni Mweupe sana ALLAH amuongoze
@sleyumngolo
@sleyumngolo 7 сағат бұрын
Kundi la 4 kumbe upo😅
@Jamal22-o5n
@Jamal22-o5n 5 сағат бұрын
​@@sleyumngolowaislam ndo tegemezi lao uyo, na siku izi anauza mafuta ya uponyaji.
@noorbazaar9063
@noorbazaar9063 4 минут бұрын
​@@Jamal22-o5n Tegemezi la Waislamu ni Mola wetu mlezi ambaye ni Allah (s.w)
@noorbazaar9063
@noorbazaar9063 2 минут бұрын
​@@Jamal22-o5n Soma uufahamu ukweli, acha kukaririshwa.
@abdalhasaid8408
@abdalhasaid8408 12 сағат бұрын
Wengine mna vichwa vibovu mnapew elimu lakini hamtaki kuelewa na ushahidi unaotolewa bado mnapinga
@SalimSaid-z5y
@SalimSaid-z5y 3 сағат бұрын
Mungu atakulipa
@daudistephen4873
@daudistephen4873 10 сағат бұрын
Someni jamani mnadanganywa vitu Vingi sana Kila kitu kipo ni uvivu wa kusoma wetu unawapa watu wenye elimu ndogo kuonekana wana elimu kubwa. Mungu atusaidie na atusamehe
@rashidyshemkande8099
@rashidyshemkande8099 2 күн бұрын
MaashaAllah
@wilfredlukowo9476
@wilfredlukowo9476 4 сағат бұрын
Umejaa ujinga wakristo unao wasema kila siku sio wale wazamani waliokuwa hawasomi kuujua ukristo waleo ni wasomi tunavyo sherehekea ni tofauti na maelezo yako acha upotoshaji
@lilhydon452
@lilhydon452 3 күн бұрын
Dr Sulle anapambana sana kupeleka watu kuzimu...Hana ufahamu wowote kuhusu Kristo
@LubenOscar
@LubenOscar 3 күн бұрын
Endelea kupotea usipoelewa hapa Utaelewa jahanam
@hafsakirao398
@hafsakirao398 2 күн бұрын
Please tufundishe na wewe sisi waislam tunapenda elimu kisha tuchuje, sisi sio kondoo wakuftwata tu. Zawadi ya akili ya Mwenyezi Mungu alotupa twapenda kuitumia na kuuliza maswali
@MusaKucheje
@MusaKucheje Күн бұрын
Wewe nikondoo ulie potea auwezi kukubali ukweli
@iddyramadhan1577
@iddyramadhan1577 Күн бұрын
Na Dr kakutaja miongoni mwa watu hawajuwi na hawataki kujuwa kama hawajuwi.
@سليمانلوغاجو
@سليمانلوغاجو Күн бұрын
Tunakusubiri wewe sasa uje umkosoe mtandaoni au viongizi wako wakanisa waje kupinga kama Hawa kupinga Basi Dr sule atakua kasema ukweli
@Jamal22-o5n
@Jamal22-o5n 5 сағат бұрын
SULLE ANA NYOTA KALI SANA, YANI PAMOJA NA KUUZA MAFUTA YA UPAKO, KNA KUFANYA IBADA ZA KUTOA UCHAWI NA UPEPO BADO WAISLAM WAKO NAE. YANI ALIKO WAPO.😅😅 PIGA ELA SULLE, MM MWENYEWE NAKUKUBALI.
@PendosaidiDonald
@PendosaidiDonald 3 күн бұрын
Assalam alaikum nyota mme zisema mbili tuu nyingine mbona hamja zisema ?
@islaahislamictv9085
@islaahislamictv9085 3 күн бұрын
Zitaendelea hivi soon tulikua safari
@Ummy-vd6tm
@Ummy-vd6tm 2 күн бұрын
Asalamu aleikum warahamatulilah dr sule sisi kama wakenya twakupenda laminitis masihala ya inji ya Kenya tuachie tunava kitu tutajua kinatufinya wapi uongozi tulionao kwa sasa nimbaya yatuchukii raisi wetu ilatunataka maendeleo na uhuru watu, twataka raisi watu akupe majibu vijana wanatekwa nyara wakipelekwa wapi ?Kwanini hataki kukosolea ukia kiongozi wa ainayeyoteile kumbali kukusolea
@sebastiansalamba313
@sebastiansalamba313 2 күн бұрын
Haya tutasherehekea mwaka wa kiislam sawa
@AishaDjuma-g3k
@AishaDjuma-g3k 2 сағат бұрын
Makafiri mnasema saan lakini uyo ndo ukwel mwesemeni tu mtachoka
@alyaqdhan5206
@alyaqdhan5206 3 күн бұрын
Wakristo mmemuelewa Dr Sulle? Yakuwa ibada ya Missa asili yake ni ibada ya kipagani inatoka kwa Warumi, ni ya kumtukuza Mungu wa kipagani wa Kirumi anaitwa Janos. Dr Sulle shukran sana kwa kutupa fahamu hii. Nategemea kama kuna clip itatoka kutoka kwa Danieli au Ndacha ya kujibu yaliyo semwa hapa
@Nehemiaayo-b8c
@Nehemiaayo-b8c 3 күн бұрын
nikama ilivyo kuambu khaba mungu wa karamu Allah mungu mbalamwezi
@alyaqdhan5206
@alyaqdhan5206 3 күн бұрын
@ Sijakuelewa wasema nini
@Jifunzebure
@Jifunzebure 2 күн бұрын
@@alyaqdhan5206 Elimu huna lazima ukubali huu ujinga anao ongea hapa
@iddyramadhan1577
@iddyramadhan1577 Күн бұрын
​@@Nehemiaayo-b8ctoa ushahidi kwenye vitabo hayo unayo yasema
@josephwilliam5813
@josephwilliam5813 18 сағат бұрын
Ni tafsiri yenu HATA ninyi si mnasujudia jiwe jeusi kule Saudi Arabia
@georgeurembo4553
@georgeurembo4553 19 сағат бұрын
Sule kazaliwa mwaka gn wa kiislam?
@Jamal22-o5n
@Jamal22-o5n 5 сағат бұрын
SULLE HAWA JAMAA NDO WALIOANDIKA QURAN MUNAYOWADANGANYA IMESHUSHWA Abdullah Ibn Masud, Ubayy Ibn Ka'b, Zayd Ibn Thabit, Mu'awiyah Ibn Abu Sufyan na wengineo. WAKRISTO hautusumbui vichwa, labda mihemko unayowapa waislam wenzako wanaoamini UONGO wako na WA UISLAM.
@RashidiMoha
@RashidiMoha 46 минут бұрын
Wakristo hawajielewi wanashindwa na bata
@AlexAmbrose-y8l
@AlexAmbrose-y8l 3 күн бұрын
Dr sule umetisha ukovizuri sana ila watu wanakukosoa kwenye majini tu kwanini hayo majini hebu yakemee kabisa kwa imani yako
@josephwilliam5813
@josephwilliam5813 18 сағат бұрын
KWA mujibu WA Imani yake majini ni waislam pia
@rayisadesigns2646
@rayisadesigns2646 8 сағат бұрын
​@@josephwilliam5813pia majini wapo wakristo na wengine ni wapagani
@mahadboy5124
@mahadboy5124 Сағат бұрын
hakuna kuma wa kikiristo mwenye akili
@LucianDevenus
@LucianDevenus 3 сағат бұрын
Hana ukweli ujanja tu
@joachimluhamo3042
@joachimluhamo3042 Күн бұрын
waislam hamjalazimiswa kusherekea mnaweza mkasherehekea kalenda za kichina au za kihindi
@MohdJuma-w6l
@MohdJuma-w6l Күн бұрын
Hata na ww pia hujalazimishwa kuacha kusherehekea, endelea2 ila hamtaki kufuata maandiko mnafuata matamanio ya nafsi zenu ili kujifurahisha
@josephwilliam5813
@josephwilliam5813 18 сағат бұрын
​@@MohdJuma-w6lkwaio maandiko yanasema tusheherekee SIKU Muhammad alipohamia Madinah? Si NDIO chanzo Cha calendar yenu?
@Jaylospeter
@Jaylospeter 11 сағат бұрын
Siyo lazima ushelekee x smc km imani yako haikuruhusu
@JamalAbas-fe5dj
@JamalAbas-fe5dj 5 сағат бұрын
Tafuteni mtu yeyote mwenye elimu ya juuu kabisa wakristo ajibu hoja
@joachimluhamo3042
@joachimluhamo3042 Күн бұрын
Katoliki maana yake ni jumla au ulimwengu wote
@NadirIssa-t4y
@NadirIssa-t4y 7 сағат бұрын
Saf
@HashimLuambano
@HashimLuambano 3 күн бұрын
Unaeleweka shekhee
@Skeletonking2116
@Skeletonking2116 Күн бұрын
Kwani Goliath alikuwa na urefu gani
@joachimluhamo3042
@joachimluhamo3042 Күн бұрын
Shehe una akili za kitoto . Kwa unachokisema wewe huijui dunia wenzako wanaoijua dunia wanajua jua linaweza kuzama Tanzania kongo likawa halijazama , china sasahv ni saa jua linazama kongo linachomoza una akili mgando shehe
@joachimluhamo3042
@joachimluhamo3042 Күн бұрын
Ukifuata jua ni ngumu kujua masaa . Na tambua kuna baadhi ya sehemu jua lina kaa miezi mitatu halionekani . Sheeh acha akili mgando
@joachimluhamo3042
@joachimluhamo3042 Күн бұрын
Tusday ni kiingereza sio kirumi wala kigiliki kama wewe ni mkweli taja hizo siku kirumi mbona unazitaja kiingereza acha kudanganya watu
@joachimluhamo3042
@joachimluhamo3042 Күн бұрын
We jamaa wadanganye ambao hawana elimu syo sisi wakristo
@MohdJuma-w6l
@MohdJuma-w6l Күн бұрын
Shida wenu nyinyi wakristo mnapenda sana sifa kusifiwa sifiwa, hizo ndo zinazo waponza kusoma hamtaki afu mnajifanya mmesoma
@BENEDICTMHINA-pd1kr
@BENEDICTMHINA-pd1kr Күн бұрын
Kam.a nihivyo waislamu woote wasipewe mshahara mwisho mwezi maana sio kaenda yenu Pumbav
@josephwilliam5813
@josephwilliam5813 18 сағат бұрын
​@@MohdJuma-w6lhatutaki kisifiwa MUNGU akitusifia inatosha
@MohdJuma-w6l
@MohdJuma-w6l 15 сағат бұрын
@josephwilliam5813 ulimuona wp uyo mungu akiwasifia ama kwl jitu likisha elekea kupotea huwezi kumuongoa
@josephwilliam5813
@josephwilliam5813 15 сағат бұрын
@MohdJuma-w6l haaa ninyi mwatuchukia hamu Muhammad KABLA hajafa aliomba Dua Allah atuangamize SISI na wayahudi LKN Kiko wapi? Alijua mbingu ya bibi yake shubaamit
@Jifunzebure
@Jifunzebure 3 күн бұрын
Ndomana nasemaga mimi, kile chuo mlichopewa na wakristo mkatoe ujinga hakitoshi, bora wawaongezee kingine siku moja akili itakuwa sawa, maana hata Quran inasema waislam ni wajinga
@hafsakirao398
@hafsakirao398 2 күн бұрын
Hamjui na hamjijui kua hamjui. 🎸 mbuzi
@Fear_Allah394
@Fear_Allah394 2 күн бұрын
Soma vzr Quran utaona aya inasema Allah amewapa mayahudi akili na amewapa manaswara/wakiristo ujinga
@Jifunzebure
@Jifunzebure 2 күн бұрын
@ Umekubali kwanza waislam ni wajinga maana hawajuwi kusoma na kuandika akiwepo mudy wenyewe?. Sasa ni hivi Vyuo vyote vikukwa unavyolna Dunia vinamilikiwa au vilianzishwa na wakristo. Mf: Oxford, Harvard, Yale, MIT, Stanford nk. Mashirika Makubwa yote yanamilikiwa na wakristo Mf: Church World Services. World Vision, World Relief. Nchi Tanzania, wakristo waliwapa waislam Chuo ili wakatoe ujinga, maana wao hata chuo kimoja walikiwa hawana na walikuwa wajinga kweli kweli
@Jifunzebure
@Jifunzebure 2 күн бұрын
@ Tulia wewe
@iddyramadhan1577
@iddyramadhan1577 Күн бұрын
Hayo ni maneno ya mkosaji kwa kukosa hoja hata pasta wako hana robo ya ilimu ya Dr sule. Dr kajibu kwa hoja haya sasa wewe kama mkristo tufundishe elimu ya miezi ya kizungu inatokana
@josephjohn2114
@josephjohn2114 2 күн бұрын
Acha uongo mwisho wa mwaka sio Disema 30 ni Disemba 31....siku inabadilika sio saa sita na dakika moja ni saa sita kamili usiku.
@hafsakirao398
@hafsakirao398 2 күн бұрын
Lazima Mwenyezi Mungu awe mkweli, na lazima JAHANAM ipate wateja. Endelea kupinga you have free will.
@josephjohn2114
@josephjohn2114 2 күн бұрын
@hafsakirao398 We bado sana una elimu ndogo kama ya Sulle. Hivi unataka kuniambia nini maana ya Mungu kuwapa watu akili na maarifa na utashi? Binadamu sio roboti amepewa maarifa ili atawale dunia. Sio kila kitu kinachofanyika kimeandikwa kwenye maandiko. Labda nikuulize hivi kwenye Q'uran au Biblia kuna You tube? Kuna internet? Kuna computer? Kama hakuna ndo uelewe kwamba sio kila kitu kimeandikwa. Mambo Mengine Mungu ameruhusu maarifa ya binadam yanafanyike kama yalivyo. Kama kalenda tunayotumia ni potofu basi acha kutumia hiyo simu ni upotofu pia maana haumo kwenye Maandiko. Hapo ntakuona kweli ww wa maana.
@khitamcaptainveca5045
@khitamcaptainveca5045 2 күн бұрын
😂 yani umeamua sana kufuata shetani kabisa
@josephjohn2114
@josephjohn2114 2 күн бұрын
@@khitamcaptainveca5045 ujinga tu mbona ndugu zako wanafuta comments sasa😃😃😃
@munic6686
@munic6686 2 күн бұрын
Dr sule anazungumza unwell, hivyo ndivyo ilivyo
@kakuzekakuze7564
@kakuzekakuze7564 2 күн бұрын
antiokia n uturuki co ugiriki
@hafsakirao398
@hafsakirao398 2 күн бұрын
Wakristo hawana elimu hata kidogo, Maskini jina la KONDOO🐏 linawafaa kweli 😂😂.
@Jifunzebure
@Jifunzebure 2 күн бұрын
@@hafsakirao398 Wasingekuwa wakristo hata chuo msingekuwa nacho, Muhimbili hospitali isingekuwepo, Saut university usingesoma. Ukisikia Harvard, Yale, Oxford, MIT nk ni vyuo vinamilikiwa na wakristo, hata mashirika yote makubwa yanamilikiwa na wakristo. Sasa kati ya wakristo na waislam wakina nani wajinga?
@hafsakirao398
@hafsakirao398 2 күн бұрын
@ FOR your information the first ever built UNIVERSITY was built by MUSLIM woman in MOROCCO. Hata elimu huna All those university came later, and they learnt from Muslim, algebra etc. your not even proud of people from your continent a black man was the first one to do a heart operation, etc. but sababu mwapenda kutukuza wazungu sana , you only see AMERICAN & BRITISH universities 😃JOKER
@iddyramadhan1577
@iddyramadhan1577 Күн бұрын
​@@Jifunzeburesio kweli ni vyuo vya wayahudi na sio wa kristo ila kwasababu mayahudi wana wawezesha kwasababu lengo lenu ni moja lazima wawezeshe kuwa na vyuo vingi ili mzidi kupotea pamoja. Toa hoja zako ao pasta wako kuhusu miezi January mpaka December na siku za wiki Monday mpaka Sunday kwa ilimu ya pasta uone kama utatoboa wewe na unae muamini kama pasta. Ao jaribu ukamuulize pasta wako uone majibu yake ndipo utaamini waisisamu wana elimu ao laa
@hafsakirao398
@hafsakirao398 Күн бұрын
@@Jifunzebure poor you, you don’t even know the first person to ever built a university was a Muslim woman in Morocco. WTF is Yale and Oxford whatever they teach like math, algebras was started by Muslim, most of the first investors were Muslims, do your homework na badala kujifunza bure lipa ada/fees😂😂😂
@mirajiabdallah1339
@mirajiabdallah1339 Күн бұрын
😂😂😂😂😂
DUNIA (Ep 35)
23:59
ASMA FILMS
Рет қаралды 72 М.
MUNGU HANA SKUKUU YA BOXING DAY HUU NI UZUSHI TU Prof Mazinge AFUNGUKA
11:16
Ful Video ☝🏻☝🏻☝🏻
1:01
Arkeolog
Рет қаралды 14 МЛН
UTAMADUNI WA KULIA MISIBANI ULILETWA NA DINI
20:39
WACHOKONOZI
Рет қаралды 3 М.
SAMAHANI ASANTE |ep 17|
18:47
KitaleMkudeSimba
Рет қаралды 6 М.