Waislamu kuna masuala muhimu wanafaa kujulishwa kama issue ya Palestine na mengineyo.madh'habi ni mfano wa mapishi kila mtu ana yake acha kuharibu vichwa vya waumini plz plz plz
@HezrySuleimanКүн бұрын
Wallahi huna ukweli wowote wala sifa za uwalimu abadan.muogope Allah kwa dhati.😮😮😮🤔🤐
@kesajwatala810611 күн бұрын
Huu anataka kiki 😂😂 Hamna elim hap kabisa😢
@JawahirMkrni25 күн бұрын
Mashallah ❤❤❤
@mwanajumajenjewa85125 күн бұрын
Naomba connect naye
@mwanajumajenjewa85125 күн бұрын
Mimi nina interest ya kumuona huyu mamake zuhura
@jasminmohamed614526 күн бұрын
Barakallahu Feek
@MuniraRashid-sx3up27 күн бұрын
Na uliza kwa heshma na taadhwima hawa madada wako na watoto wadogo sasa wale waume wanao watia mimba wako wapi? Na kwanini Hawa saport watoto wao???
@AbasiShariffАй бұрын
Hiyo aya umeitafsir makosa سيقول السفهاء ww wasema wanasema wapumbavu je hio siin س inakaz gan hapo usjtafsrie Qur'an kiuhunu soma fanni kisha ndio utafsir Qur'an
@SaidKessy-f5pАй бұрын
Kwanini amchinje siku ya eid kuna tofauti na mashia kumuuwa sadam siku ya eid il dhuha..
@muznymuses3996Ай бұрын
❤❤❤❤
@SadaKassmАй бұрын
Hivi ewe ustadh , hawa masheikh waliosema kuna vigawanyo vya bidaa tena vitabu mbalimbali vimeelezea tuseme hawa wote wamekosea au vipi? Au kama kawaida yenu kujifanya kwamba nyinyi ni watu peponi na wajuzi na wengine waliobakia ambao hawaraki kuufuata msimamo wenu wote wamepotea na wote ni motoni? Hukumu hii hasa mumeipata wapi?
@IsmailSangaАй бұрын
Mbona huzungumzii Sheik ibnu Taimia alisema mikono ya Mungu miwili na ipo upande mmoja wakulia!.
@mussakiza4268Ай бұрын
Hayo kayasema mtume sio ibn taimiya mzee
@IsmailSangaАй бұрын
@@mussakiza4268 Naomba uniletee dalili kua Mtume amesma Allah anamikono Na imekaa kulia?.
@rashidshusheАй бұрын
@@IsmailSanga mbona wewe hujaleta maneno hayo ya ibn taymiyya
@SheikhYussuf-iv6loАй бұрын
Atumbwize na daimond au hamonaiz
@FarajiAbdallah-yw2wnАй бұрын
تعلم علما ایا اخی الکریم انما هذه المساٸل الفقهیة اختلف فیها العلماء اذا قلت هذه المسٸلة غیر موجود فإن علمک ناقص ۔
@zuberimohamed43Ай бұрын
Ujinga ujinga tuu
@ghostreaper9486Ай бұрын
Wacha panganga. Mushrikun ni wenye kumuabudu Mungu Mtu yule wa Sheikhul Wahhabiya Ibn Taymiyya anae sema ni Kijana kidogo asiekua na Ndevu na ana nywele za kusokotana na aishi kwenye Bustani la kijani kibichi huko Mbinguni Nabii huyo wa Kiwahhabi anadai Allah hubembea kwa kamba kama Spiderman anapo taka kwenda mahali na pia aweza kujifanya mdogo sana kiasi kuweza kusafiri juu ya Bawa la Mbu Wacha hizo porojo zako za Najd utuangazie kwanza kuhusu huyo Mungu Mtu wa Sheikhul Wahhabiya Ibn Taymiyya
@mafiatv5479Ай бұрын
senge mbwa wewe, khrafi babako na mamako
@islamseyffden7723Ай бұрын
NA OLE WENU TUWAKUTE MISIKT YETU KKOO MJINI MNASWALI TUNAWACHAPA FIMBO😂NYIE WANAFKI SASA MAGHURAFI HALAF MNASWAL pammoja na sisi nyie ni wehu 😂
انظروا الى من تاخذون دينكم. Tazameni mnapowapeleka watt wenu kusoma dini. Yite hii nikosa lawazazi kuwapeleka watt kusoma MadRASA ZAKIYAHUDI. haya ndiyomatunda vuneni mlichokipanda😂😂😂😊😊😊😊😊
@saadomar2480Ай бұрын
لا تزكوا انفسكم هو اعلم بمن ا تقى./// صدق الله العظيم. Maisha yakukosoana kuzodoana kundihili linaona wao ndiyo waposawa kuliko wenzao nahawanao hivyihivyo jaman nunueni viwanja mjenge mashule namahospitali kanawenzenu MAENDELEO YANAWAPITA.
@saadomar2480Ай бұрын
WNatafuta umaarufu. Hakunakitu hapo mzee. Kilamtu asimame alipo. NIMTIHANI. WAKINABACHU HAO. WE WATAZAME HATA NYUSOZAO WANAPOONGEA UTAJUA WAPO DUNIANI TU. INNAA LILAAHI WAINNAA ILAYHI RAAJIUUN.
@AbdallahEjiАй бұрын
washenz wakisalaf nyie kila kitu kwenu hakifai
@SaidKawela-qy5wvАй бұрын
Huyu nae fala tu tatizo tonge
@ilyasawadh6375Ай бұрын
Shekhe wangu msharaha umepandishwa ndio uzidi kuleta tafaruq kwa waisilamu.😂😂😂
@ilyasawadh6375Ай бұрын
Wahabi na yahudi akida zao ni moja.
@محمد-و9ب5فАй бұрын
twaomba umuongoze na babako pia ni mtu wa mawlidi..usiongee tu..anza na kwenu nyumbani umlinganie..vijana munakosa adabu sanaaa, yote unayo yasema ni khabari za maskani
أَلَمْ تَرَ إِلَى ٱلَّذِينَ يُزَكُّونَ أَنفُسَهُم ۚ بَلِ ٱللَّهُ يُزَكِّى مَن يَشَآءُ وَلَا يُظْلَمُونَ فَتِيلًا Jee huwaoni wale wanao dai kuwa ati wametakasika? Bali Mwenyezi Mungu humtakasa amtakaye. Na hawatadhulumiwa hata kadiri ya kijiuzi kilichomo ndani ya uwazi wa kokwa ya tende. 4:49
@RamadhaniKileoАй бұрын
Chunga mdomo ni dunia kun kesho
@MusaRamadhani-wj2dwАй бұрын
Nenda kasome kijana bado elimu Yako ndogo sana hata lugha hujui hata kubainisha maneno hujui
@muhammadkhatwabАй бұрын
Shida imeanza pale wazazi walipopeleka madrasa watoto waliofeli shule Ndiyo mashekhe wa sasa
@RamadhaniKileoАй бұрын
Mchokoz ww ila kweli
@ALISHARIFF-y1yАй бұрын
Sayyid hebu tufafanulie Mwalimu wa Habib Jufry ni nani?? Jee imam Bukhari alimdiriki ibn Mubarak? Alvosema ni kuwa habib jufry ndo yule mwalimu wake alichinjwa zama za ibn Mubarak bima3na Habib Jufry alkuwepo tangu zama za ibn Mubarak wakati mwalimu wake akichinjwa?? Na ikiwa jawabu ni kuwa ndio alikuwepo ina maana habib jufry kufikia sasa ana miaka 1000+ na bado yuko hayi? Naomba utufafanulie Sayyid Muhammad Khatwab .SHUKRAN🙏
@muhammadkhatwabАй бұрын
😂😂 ndiyo haya nakwambia, ati hawa ndiyo mashekhe. Akwambia jufry mwalimu wake ni ibnu mubarak😂
@muhammadkhatwabАй бұрын
Ati kile kilemba alichovaa ndicho hiko hiko chatoka kwa Mtume Uzuzu gani huu😂
@ALISHARIFF-y1yАй бұрын
@@muhammadkhatwab sasaaa tushangae ya kuvishwa kilemba kwa sanad mpk kwa Mtumi S.A.W kwa ithbati au tushangae ya mtu kuishi miaka elfu moja na mpk sasa yuko hayi???? Yaani bah’thi kubwa aloifanya usiku ni hiyoo hee Nas’alu salama 😂😂
@abubakarjamalulleylАй бұрын
Lahaula ibnul mubarak na jufri wapi na wapi? Ibnul mubarak alikufa kabla ya hata imam bukhari, ibnul mubarak alikufa mwaka 181 ya hijriya, imam bukhari amefariki mwaka 256 ya hijriya. Kasome kwanza kisha ndio useme
@محمد-و9ب5فАй бұрын
Umetoa comedy badala ya darasa na usengenyaji tu.. Hakuna la maana umeongea..
@محمد-و9ب5فАй бұрын
Uko wapi wewe na ulinganishwa kina Habib ali jufri.. 😂Zuzu
@محمد-و9ب5فАй бұрын
Na kuhusu kilemba alizungumza kuhusu isnad, zuka
@محمد-و9ب5فАй бұрын
Maneno uloyasema ya Habib ali jufri umemsingizia.. Subhanallah.
@barzaqtradingcompany8541Ай бұрын
UNA AKIKA AMEMSINGIZIA ? NDUGU SIKILIZA kzbin.info/www/bejne/b2S8anyceaxgf6csi=rvyn-_1WJT4pYnce
@محمد-و9ب5فАй бұрын
@@barzaqtradingcompany8541 elewa anachokiongea habib ali jufri, ametaja sanad hakusema kilemba ni cha mtume, elewa ibara kwanza .Wacheni kutukana wanazuoni, nyama zao ni sumu kwa anae wasema kwa vibaya...zitawadhuru...waislamu yako mengi yakutuunganisha, hii mifarakano mpaka liniiii?huyu anaetoa darasa babake ni mtu mkubwa wa mawlidi...aanze na babake tunamfahamu uzuri sana na ni mtu anae heshimika sanaa..halafu ndio aje atoe darasa lakukosoa wanazuoni.
@Muhammad-el9izАй бұрын
Jamani nisaidien nijue nani makhurafi???
@IddMMhinaАй бұрын
Yaani nyinyi mashehe mnatumia mda mwingi sana ktk ihtilafu lkn sioni jitihada zozote za kupambana na makafiri au matatizo ya dunia yanayo wakabili waislamu, Yaani elimu yenu haina manufaa zaidi ya kuugawa umma wa kiislamu...mmebaki kusema wenzenu tu..mnajiona nyinyi mna miliki pepo...dah tuna safari ndefu sana...
@kadoditsa3805Ай бұрын
Tena sana ... Wanatabu sana hawa Jamaa
@savyboy6164Ай бұрын
@@kadoditsa3805 Masheikh Wamekuwa Wajuaji Tu Sahv
@SwedyMohamed-vt5zmАй бұрын
Kwa ukweli wanaboa sana Hawa.Nilidhani ni Mimi TU niliyeboreka nao.Yaani wameacha kushughurika na matatizo yanayowakabili Waislam.Wamebaki na malumbano.Huu ni msiba mkubwa sana.
@AbuwJuhaymahАй бұрын
Basi kuwa Shekhe wewe ili uje uutetee Umma, kwasababu hujafungiwa mlango wakuwa SHEKHE
@abdallahally9025Ай бұрын
@@kadoditsa3805tatizo hamtaki kusoma ndio mana mnaona kila wanapo toa elimu ya sawa mnaona wanaleta magomvi, mnapenda uislamu unaochanganywa na ushirikina na uzushi, mnashindwa kujua na kukumbuka kua hii dini ilisha kamilishwa na inamwalimu wake ambae ni mtume muhamad swalallah alayh wasalam
@syokimauda-awaАй бұрын
Soma kwanza mwenzetu wacha kujiingiza kua mwanachuoni piga goti kwa masheikh
@ghostreaper9486Ай бұрын
Shekhee hata hao unaita Makhurafi na hata Mashia hawana haja ya kushirikiana na Mushrikina Mujasimin amabo Allah wao kulingana na Nabii wao Sheikhul Wahhabiya Ibn Taymiyya ni Kijana kidogo asiekua na Ndevu na ana nywele za kusokotana na aishi kwenye Bustani la kijani kibichi Pia Sheikhul Wahhabiya ansema huyo Allah hubembea kwa kamba kusafiri kutoka mahala kuenda mahala Pia Nabii ibn Taymiyya asema huyo Allah huweza kujifanya mdogo sana kiasi kuweza kusafiri juu ya Bawa la Mbu.. Ka'afir Mala'in nyinyi
@hassanhussein2422Ай бұрын
Wongo tupuuuuuuuuuuuuuuuu
@muhogoent512Ай бұрын
😂such aqidas are very out dated bro kurafis and shias are strengthening islam not salafy falasy..nd abt imam shafi you guys have desecrated every mosqu that was shafii madhab...
@sadofaraji5999Ай бұрын
Mfungo wa kilemba una isnad mpaka kwa Mtume si kilemba chenyewe,muwe munaelewa, jamani.
@sadofaraji5999Ай бұрын
Jifri katumia hadith kama wewe ulivyotumia ya kutikisa kidole, kwanini mtete?