KIONGOZI WA TWARIQA ALIEVAA KANZU NYEUSI ASAIDIA MASHIA KUTUKANA MASWAHABA SIKU YA KUOMBOLEZA MASHIA

  Рет қаралды 3,489

ANSWAR STUDIO

ANSWAR STUDIO

Күн бұрын

Пікірлер: 50
@RashMash-l1b
@RashMash-l1b Жыл бұрын
Hawa watu wamaulidi hivi waambiwe nini ndio waweze kuelewa mana wanarushangaza ndipo hata waepewe hoja gani na kosa wanakiona kabsaaaaaaa lawazi lakini bado mwengine apinga tu kwa ajili ya kutetea maulidi subhanaallah Allah atuongoze
@shazyahya4121
@shazyahya4121 11 ай бұрын
Waislamu wa zama hizi tuna changamoto nyingi sana za usaliti kutoka kwa masufi hawa watu wanasaidia makafiri kurudisha nyuma maendeleo ya waislam kuna sufi mmoja uku kwetu Tanzania anasema inafaa kuomba dua kwa jina la Yesu innalillahi wa inna ilahi Rajiun hapo ashalipwa na Shia pesa za maulidi 😭
@zanlec7357
@zanlec7357 Жыл бұрын
Shukran sana Sheikh Abuu Ahmad. Allah akulipe kheri
@RashMash-l1b
@RashMash-l1b Жыл бұрын
Ndugu lazima makosa yafichuliwe ndio umma ufanye ibada zinazo stahiki za Allah sasa yasipo elezwa watu watajuaje hili ni sawa na hili sisawa hasa yale makosa yalo jificha yakionekana kuwa ni sawa lazima wasomi wabainixhe na wasipo bainixha wanamajukumu mbele ya Allah
@awadhsaleh3929
@awadhsaleh3929 Жыл бұрын
Makhurafi na mashia ni watoto wa mjomba na shangazi
@awadhsaleh3929
@awadhsaleh3929 Жыл бұрын
Huyu khurafi ameshiba biryani
@shilingi-Ahmadi
@shilingi-Ahmadi Жыл бұрын
Nani alikwambia mwanaharamu ni mtoto wa zinaa???
@YarmanAljahhdiry
@YarmanAljahhdiry 4 ай бұрын
Hapa mmezidi masufi kwa njaa ila mtajitukanisha kwa njaa nawala hao sio twariqa nimchanganyo wakishia
@fadhilimusa9732
@fadhilimusa9732 5 ай бұрын
Twariq ya wapi
@MusaYusuphu-y2l
@MusaYusuphu-y2l Жыл бұрын
Katika watu gani waki sunna wamewahi kumtukana mtume au maswahaba nyinyi masufi? au uwongo tu ndio umewajaa? toeni coment za kielimu si za kichuki, acheni kibri na jeuri
@abdiabdu7179
@abdiabdu7179 Жыл бұрын
Nyote hamu jui jina lake mwa jua hilo ibn ziad tu
@YahyaShabani-tl2sr
@YahyaShabani-tl2sr Жыл бұрын
ALAA
@muhamadyabubakary6750
@muhamadyabubakary6750 Жыл бұрын
Punda wa mashia…sufiii
@darajanida
@darajanida 5 ай бұрын
mbwa wa mayahudi wahabi
@Hassantube-vy3vw
@Hassantube-vy3vw Жыл бұрын
عبيدالله بن زياد ام عبدالله بن زياد اولا
@thefoodshaikh811
@thefoodshaikh811 Жыл бұрын
Ni kweli ni ndugu na muassisi wa twariqa ni Shia.
@darajanida
@darajanida 5 ай бұрын
na wasisi wa mawhabi ni mayahudi
@maahiranwar1941
@maahiranwar1941 Жыл бұрын
Nyinyi hamna maaanake kuwazungumzia waislamu wenzenu , hamutowahi kuendelea Kaeni ivo ivo na akili zenu ndogo
@jailaniramadhan1788
@jailaniramadhan1788 Жыл бұрын
kwan muawiyya siyo mzinifu?
@abuurayaan3902
@abuurayaan3902 Жыл бұрын
Una ushahidi wa usinifu wake au alizini mamako
@eddieeddie2755
@eddieeddie2755 Жыл бұрын
Subhanallah! Hawa Makhurafi na Mashia ni mandugu kabisa.
@yusufntamila541
@yusufntamila541 Жыл бұрын
Mmh sasa hapo kosa liko wapi kwani huyo alotajwa hakuwa mwana haramu kweli pili hiyo dhulma haikufanywa hatuwez pinga muawiya ni swahaba bora wala ubaya
@MohamedAhmed-yi1yf
@MohamedAhmed-yi1yf Жыл бұрын
Masufi na mashia ni ndugu
@SaidimaulidiMaulidi-lf9de
@SaidimaulidiMaulidi-lf9de Жыл бұрын
Nyie vikanzu mnatabu sana
@abuurayaan3902
@abuurayaan3902 Жыл бұрын
Ila hatushindi Masufi vibaraka wa mashia
@salimuawadhi8043
@salimuawadhi8043 Жыл бұрын
Wewe waona hidae kusema vikanzu hujui watukana Sunna ya mtume wewe hujui yeye ndio alisema nguo yenye kuburuza chini ni motoni mche Allah
@SalmaAbeid-w9t
@SalmaAbeid-w9t Жыл бұрын
Sawa vikanzu Jee nyinyi MAVELI
@mohamedumri4176
@mohamedumri4176 Жыл бұрын
SHEKHE WETU UMESHINDWA KUTAFAUTISHA TAKHRIJ KWA NENO LA MUNKAR UKIWA KWA MUNAAQASHA WA IBNU BACHU NA USTADH SAID UTAONGEA NINI WAISLAM WALIO KOMAA WAKUELEWE ELIMU NI KAMA BAHARI. TARUUMUL IZZA THUMMA TANAAMU LLEILA, YAGHUSSUL BAHRA MAN TWALALLAYAALI.
@ilyasawadh6375
@ilyasawadh6375 Жыл бұрын
shekh mbona basi unatuchanganya sasa imesemekana kuwa ni mwana haramu ukakubali, Tena wakataa kwa dhambi za wazazi wa mwana haramu, na lotajwa ni mwanaharamu. munatuchanganya kwa kuvutia hali zenu. useless
@princefeisla3692
@princefeisla3692 Жыл бұрын
Hivi nynyi viongozi hakuna mambo katika uislam ya kuepimisha umma ispokua huyu ni wa twariqa amwangalie yule wapi ameghafilika asimame na kua point ya siku na masalafi pia hivyo hivyo je malengo ni kufaidisha ama ni kujizolea sifa?
@fahadshebr
@fahadshebr Жыл бұрын
Manake hao watu wa twariqa ndio wanaotenganisha umma
@yusufntamila541
@yusufntamila541 Жыл бұрын
Uyo bachu mwenda wazimu kama wenda wazimu wengine
@saidmohammed2830
@saidmohammed2830 Жыл бұрын
Achaa chuki hii ni mambo ya dini achaa chuki 😢
@yusufntamila541
@yusufntamila541 Жыл бұрын
@@saidmohammed2830 wenye chuki ni nyie mawahabi mnao kataa maulid ili hali hakuna mahala palipo kataza
@hamisimuhammad3656
@hamisimuhammad3656 Жыл бұрын
Maneno ya kushindwa hayo 😅😅😅
@yusufntamila541
@yusufntamila541 Жыл бұрын
@@hamisimuhammad3656 ngoja pili inshaallah uone ataksvyo galagazwa
@sheehamadnganzi8317
@sheehamadnganzi8317 5 ай бұрын
Nyinyi fuateni mpunga tu maulidini,nakama hakuna mpunga maulidini next year yashakufa,Wenda kwenye mpunga kwengine😂😂
@mohamedmasud4037
@mohamedmasud4037 Жыл бұрын
Siafazali huyo alie sema kuwa mwanaharamu nyinyi mwasahau kuwa mawahabi waaalisema mpaka mamayake mtume na babake wataingia motoni ama sio nyiny hebu tufundisheni dini na sio maneno ya suna na sufi
@HalimaHaruna-yv6nr
@HalimaHaruna-yv6nr Жыл бұрын
hadithi ziko swahih kuwa wazazi wa mtume wako motoni, na aliyesema ni Bwana Mtume S.A.W mwenyewe
@MwinyiJuma-ce3eq
@MwinyiJuma-ce3eq Жыл бұрын
​@@HalimaHaruna-yv6nrasalam alaika naomba iyo Hadithi samahani
@Answering-missionaries-kenya
@Answering-missionaries-kenya Жыл бұрын
Hawa mashekhe wamekosa muelekeo ...kazi kugonganisha umma tu ...ati ndio waonekane wana elimu ...hii ni upuzi
@issabaruani4433
@issabaruani4433 Жыл бұрын
Huku kwetu pwani neno mwanakharamu wakati mwingine hutajwa kwa ile tabia mbaya aliyoifanya mtu, sio lazima awe amezaliwa nje ya ndoa, itoshe kuwa sasa Mmekuwa masheikh kiki, Tumieni online tv zenu kufundisha sio kukosoana kila siku
@UB40X1
@UB40X1 Жыл бұрын
Wacha upuuzi wewe. Huyo Mudhar ni kijishia hicho
@isihakaabdul1134
@isihakaabdul1134 Жыл бұрын
Hujielewi mche allah
@Hassantube-vy3vw
@Hassantube-vy3vw Жыл бұрын
هههههه غلط فى اسم قاتل الحسين بن علي هذا المبتدع فليتعلم التاريخ اولا
@muhammadkhatwab
@muhammadkhatwab Жыл бұрын
Wangapi katika mashekhe wenu wa kiwahabi wamemtukana Mtume haswaa wacha maswahaba Je tuseme ndiyo msimamo wenu mawahabi?!
@abuurayaan3902
@abuurayaan3902 Жыл бұрын
toa Dalili Wa maneno yako hayo
@zanlec7357
@zanlec7357 Жыл бұрын
Huyu hajui akisemacho hana dalili. Mahisbi ndio maneno yao dhidi ya Ahlusunna.
@abuurayaan3902
@abuurayaan3902 Жыл бұрын
@@zanlec7357 ata sio hizbi huyo jisufi vibaraka wa mashia
@thefoodshaikh811
@thefoodshaikh811 Жыл бұрын
Wewe mzushi umeskia mashia wenzenu wakimtukana mtume,wake zake na maswahaba sasa watwambia ni sisi.
UKIFANYA HAYA UJUE USHATOKA KWENYE UISLAMU -   ALI ABUBAKAR
30:00
ANSWAR STUDIO
Рет қаралды 3,7 М.
USISWALI NYUMA YA IMAMU MUSHRIK
5:10
ANSWAR STUDIO
Рет қаралды 1,6 М.
Мама у нас строгая
00:20
VAVAN
Рет қаралды 10 МЛН
How Many Balloons To Make A Store Fly?
00:22
MrBeast
Рет қаралды 92 МЛН
I thought one thing and the truth is something else 😂
00:34
عائلة ابو رعد Abo Raad family
Рет қаралды 5 МЛН
風船をキャッチしろ!🎈 Balloon catch Challenges
00:57
はじめしゃちょー(hajime)
Рет қаралды 92 МЛН
HATARI YA KUOA AU KUOLEWA NA MKRISTO
11:49
USTADH OMAR
Рет қаралды 7 М.
Tafsiri Ya Malaika Harut na Marut-Ustadh Muhammed Al-Beidh
5:25
DR.ABDALLA KHEIR HIMIZO KWA WALIMU WA MADRASA
14:57
ANSWAR STUDIO
Рет қаралды 160
SWALI MUBASHARA -JE MNATUKANA MASWAHABA
6:53
Asadiqmedia
Рет қаралды 45 М.
"KABLA YA KUTENDA, FIKIRIA KWANZA" SHEIKH MUHARRAM MZIWANDA
30:17
RADIO IQRA FM MWANZA
Рет қаралды 8 М.
Мама у нас строгая
00:20
VAVAN
Рет қаралды 10 МЛН