HATUOGOPI KUFANYA MUNAQASHA SHEIKH MUHAMMAD BACHU

  Рет қаралды 3,153

ANSWAR STUDIO

ANSWAR STUDIO

Күн бұрын

Пікірлер: 77
@ButhainaOmar-b1n
@ButhainaOmar-b1n Жыл бұрын
Mashallah Allah azidi kukupa nguvu uweze kuibanisha Haki, Umebarikiwa ufasaha sheikh Muhammad Allah akuhifadhi, ww endelea kubainisha, hakika upotevu wote ni Motoni labda watakapotubu na kuzisamisha nafasi zao kwa Allah, Allah atuongeze cc na Hao wazushi, Aamin
@aliabuu4987
@aliabuu4987 Жыл бұрын
MashAllah tangu saidi ukutoe upepo waongea na Adabu Sahi Waona Heshima ya vijana wa kitwariqa kijana mdogo lakini amekutoa upepo mkubwa Saana .utadhani sie yule Bacho tunae mjua akiongea na kelele na fujoo lakini sahi MashAllah adabu umeipata Bacho Suguu
@AhmedSeif-g1f
@AhmedSeif-g1f Жыл бұрын
Ww kidume
@semwaimunassoro
@semwaimunassoro Жыл бұрын
jibu ni moja niko tayr sio brabra kibaoooo
@NasibuJuma-e6u
@NasibuJuma-e6u Жыл бұрын
10-&-2023 saa 2. 30usiku Bujumbura shukran Alla alifanikisha nia yako tunayo furaha sana kwako
@yusufathman2478
@yusufathman2478 Жыл бұрын
Nakuona uko kwa Sheikh Ali Abubakar maa shaa allah..nakupata sana sheikh wetu Muhammad bachu.. wallai haya maulid ni upotevu. Wengi maskini wanaona ni dini hii.. haki wallai iinaendelea kubainika.. Alhamdhulilah jogoo amewika, asubui imepambauka na Watu wameamka
@salimmbwana6926
@salimmbwana6926 Жыл бұрын
Munaqasha wa Tanga unatosha
@AhmedSeif-g1f
@AhmedSeif-g1f Жыл бұрын
Mashekhe majazi wameufyata
@omaryissa2562
@omaryissa2562 Жыл бұрын
Nyie masufi munapenda kushadadia mambo ya Dini Mbona kwa alqadir katulia anaogopa kuifuata haqi anataka abaki na uzushi wake
@suleymansalim5732
@suleymansalim5732 Жыл бұрын
Achana nao. Kakimbiaaaaa😂😂😂
@khalidhemed9209
@khalidhemed9209 Жыл бұрын
Panga tarehe unatuchelewesha bachu mwenzio yuko tayari acha uoga
@baishemoha8941
@baishemoha8941 Жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/e4jLaIODZqiAfsU. BARUA YA JIBU LAKO
@yusufathman2478
@yusufathman2478 Жыл бұрын
Hakuna jibu lolote apo . uyo Dj wenu ndo muoga... amepewa Ijaza ama ashindwe muanze kumkataaa
@nasarsulaiman9549
@nasarsulaiman9549 Жыл бұрын
sheekh nassor bachu hayupo peke yake bali sisi masalafi tunanidhaam sio kama nyinyi masufi kila mmoja aongee mpaka mnalumbani na kukataana wenyewe kwa wenyewe//////////////////// yallah nex wa bin majaaaz aje
@khamismwalim5604
@khamismwalim5604 Жыл бұрын
Panga terehe watuchelewesh Ikiwa ushakuw tayr na hao Mashekh zako mpigie simu na yy atakuja nao jao masheikh zake
@khalidhemed9209
@khalidhemed9209 Жыл бұрын
Bachu anaogopa mjadala kwa sababu kanuni huekwa pande mbili angekubali kuanza yeye atambulishwe na mawahabi kua akishindwa ndio umeshindwa uwahabi bachu anaogopa kuthibitisha hilo
@Mariam99-ld4gw
@Mariam99-ld4gw Жыл бұрын
Shekh usiwekwepwe. Kumbuka ulisema aje mtu yoyote upo tayali tunataka elimu umetuacha. Njia panda
@abubakarkassim3385
@abubakarkassim3385 Жыл бұрын
Wewe acha uoga ongea ukimtaja ustadh Said juu yye ndo amekuutisha munaqasha sio sharif Abdulqadir
@shafieirey9838
@shafieirey9838 Жыл бұрын
Uko wapi Sheikh Abdulqadir?
@abubakarmohamed4783
@abubakarmohamed4783 Жыл бұрын
Huyu ametumwa bila kujijua kuja kutangaza maulidun nabii twari tutapiga hadi litakate
@abuumayunga3349
@abuumayunga3349 Жыл бұрын
MPAKA APITISHWE NA MASUFI WA KENYA TENA KUTOKA LAMU, LAKIN MASUFI WA TANZANIA HAWATAMBULIKI. KINACHOWATESA HAWA NI تعصب TU. HAWANA LOLOTE
@shekhsamiudinonlinetv8272
@shekhsamiudinonlinetv8272 Жыл бұрын
Kubali acha kukwepa kwa maneno mengi hii ni elimu kwan aliyekuomba anaelimu zaidi yenu nyinyi
@madrasatulnoorislaamiyaera3163
@madrasatulnoorislaamiyaera3163 Жыл бұрын
Tuachieni uzuka, Ust Saidi ameeka namba zake, wasilianeni na yy mtupe tareh ya mnaqasha, huu ni utopolo na kuinyesha uoga kwenu mawahabi
@khamisiiddi2470
@khamisiiddi2470 Жыл бұрын
Alla akuongoze
@musadara5001
@musadara5001 Жыл бұрын
Ssa ww bachu ume ambiwa munaqasha ufanyike ssa kuhusu sharif Nini tena ssa toa mda wako
@aliabuu4987
@aliabuu4987 Жыл бұрын
Ww acha uwoga huo ni uwogo Sasa Sikia Sharifu alivo sema hakujipig kifua kua yeye ndie mweny twariqa Sharifu hakuhusu kabisaa Mjadala nililimu yakuilimisha watu upande zote mbili acha kukwepa huku na hauku
@mohammadMohammad-p3r3t
@mohammadMohammad-p3r3t Жыл бұрын
Wewe umeogopa Kijana. Hata body language yako na facial expression zako uko na wasiwasi sio kama pale mwanzo ukiwa unajigamba. Wewe kubali umeogopa na unakimbia wewe na masheikh wako. ulipewa sharty hata wewe, watoke wakubwa wenu mawahabi wakuakilishe wewe pia. KIsha alotaka munaqash ni Sh. said sio Sh. ahdaly. Ahdaly wewe wala hajataka munaqasha na wewe. alifanya munaqasha na wakubwa zenu kitambo na akawaeka sawa kabisa. Dini sio kujigamba na maneno mengi. Dini inataka ikhlas. Wewe kubali umeogopa.
@rajabathman97
@rajabathman97 Жыл бұрын
Kabsaa ameshindwa kujitokeza yani paka kanyeshewa na Mvua😂😂😂
@khalifa_kuchi
@khalifa_kuchi Жыл бұрын
Ww akil zako sio nzur nina ws ws na ww ila dawa yenu soon mutaipata maana naona mushaanza kucharukwa
@barzaqtradingcompany8541
@barzaqtradingcompany8541 Жыл бұрын
Iwe kiwanja ya makadara ground
@pakashume725
@pakashume725 Жыл бұрын
Happy hapana yoga, hapo inajadiliwa haqi na batwil. Inshallah haqi itasimama na batwil itaporomoka kama ilivyo ada
@khalidhemed9209
@khalidhemed9209 Жыл бұрын
Leo kumbe hutetei sunnah watafuta watu
@abedishafii2054
@abedishafii2054 Жыл бұрын
Wewe Muhammad Bachu laana ya kutukana mashekh inakusumbua
@khalifa_kuchi
@khalifa_kuchi Жыл бұрын
W2 watwarika eleweni vzr musijifany vichw vigumu so plz atokes ambae anajulikana kua ni miongon mwa w2 wakubw wa kitwarika atokee maana jeshi la m2 mmoja lipo kenya na wao wapo kenya sas km kwel munataka munakasha ufanyike atokee anaekubalika hlf aseme kua yy atasimamia kw upand wa w2 wa twarika then mupokee dozi yenu ili na nyny mdm ume ndo mwisho
@fikafikan8484
@fikafikan8484 Жыл бұрын
Ww wachana na sharifu wacha iwoga kama wataka sharifu na ww wakutangazi mawahabi ww una kwepa
@AhmedSeif-g1f
@AhmedSeif-g1f Жыл бұрын
Kaziyao uongo tuu nakujifanya wasomi kumbe waupenda ubwa ubwa
@hilalkhalfan1452
@hilalkhalfan1452 Жыл бұрын
UBWABWA SUNNA YA MTUME WEE, YAANI KWANZIA MAULID HADI MWISHO NI SUNNA TUPUU MPAKA UBWABWA, HUONI RAHA HIOO. TENA SISI TWARIKA TUKIKOSA KULA NG'OMBE BASI NGAMIA. SUNA JUU YA SUNNA. NAKUALIKA IJUMAA PILI IJAYO PEMBA (MAZIWA YA NG'OMBE) NDIO IPO TWARIKA TUNAPIGA HITIMA NA MAULIDI JUMLISHA KULA UBWABWA KWA NGAMIA. 😂. IJUMAA PILI ILIOPITA TULIIPIGA BALADU NJIA YA DARAJA BOVU UNGUJA. NA IJUMAAPILI YA NYUMA YAKE TULIIPIGA UBWABWA KWA NGAMIA MSIKITI NGAMIA MANZESE DAR ES SALAAM. NGAMIA KWA UBWABWA NI NOMAAA. SIWEZI KUKOSA MAULID YA TWARIKA ALKADIRIY. SASA LEO NIPO DAR NA KESHO IJUMAA NASWALI MSIKITI NGAMIA BALADU MANZESE PALE ALIPOZIKWA SHEKH MUHAMMAD BIN NASIR RA MWENYE HADHARA YAKE NA NIKAMZURU KABURI LAKE KISHA JIONI NIELEKEE ZANZBAR NA IJUMAA MOSI NIFIKE PEMBA KWA KULALA MSIKITI MAZIWA YA NG"OMBE NA IJUMAA PILI TAREH 13/9/23. KULA NGAMIA KWA MPUNGA. WEWEEEE. 😁. KWENDA NA KURUDI GHARAMA NI ZAIDI YA LAKI LAKINI NGAMIA NIKAMLE 😁. NAKUALIKA KILA MFUNGO 4 WA KIARABU HADHARA YA SHEKH MUHAMMAD BIN NASIR RA INAANZA MANZESE DAR ES SALAAM MSIKITI NGAMIA NA KUELEKEA ZANZBAR WIKI BAADA YAKE HUKU TUKIZURU MAKABURI WA MABWANA WAKUBWA AMBAO HAWAOZI MAKABURINI MWAO RIJALU(MAWALII) HAIKUWASHUGHULISHA DUNIA BALI DUNIA ILISHUGHULIKA. QUR-AN "NA MSISEME WALIOKUFA KATIKA NJIA YA MWENYEZI MUNGU SW NI MAITI BALI WAHAI...". SASA TUNAENDA KUWATEMBELEA KWA IMANI YETU SUFI NI WAHAI NA MUNGU ANAWARUZUKU. SASA KAMA WENU NYIE MAWAHABI NI MAITI HAMPASWI KWENDA KUSHUGHULIKA NA MASHEKHE ZENU MAITI MAANA UKIEDA UNAJITIA ZAMBI TU KWA USHIRIKINA WAO.
@allyhemed6380
@allyhemed6380 Жыл бұрын
Kuwa Makin elimu ni kuelimika Soma kidogo ufaamu wako awe mkubwa itapendeza Sana Sasa peke yako ndo waonekana wenzako wote kimya
@suleymansalim5732
@suleymansalim5732 Жыл бұрын
Huyu sio Mmoja we jichanganye tu ila wamemuamini wenziwe kwani huwajui siwalikuwepo Tanga timu nzima???
@khamisiiddi2470
@khamisiiddi2470 Жыл бұрын
Ila kabla ya munaaqasha je umeshatengua kauli yako ya kwamba katka kutetea huja zako hakuna haja ya kutumia hadithi sahihi kwasababu kile kitabu ni sira na wala si cha aqida upo nyonyo,
@khamisiiddi2470
@khamisiiddi2470 Жыл бұрын
Wewe tayari kwanza una laana ya kutupa kitabu Chenye aya na hadithi, Lakin mlipewa muda meters ushahidi wa hadithi kuusu mtume na abuubari, mlepewa miaka hamsini sasa kama bado mnaitafuta sawa
@Ahbabrasulintegratedacad-ok7uh
@Ahbabrasulintegratedacad-ok7uh Жыл бұрын
Kwa hio kama sheikh abdulqadr hata jitokeza hakutokuwa na mjadila kwani ww wafanya dawa kwa ajili ya MOLA au abdulqadr
@edhaomar2853
@edhaomar2853 Жыл бұрын
Bachu haya mambo kwanini uko peke Yako wenzako hawaongei kitu huoni kama wamekutoa kafara wenzako wajua kila kitu ni mzozo tu sasa wewe umeyachukua mazima mazima waenda majangani umeanza kuwatusi maka wanazuoni ambao mashekhe zako wawabusu mikono
@khalifa_kuchi
@khalifa_kuchi Жыл бұрын
Hilo ni jeshi la mtu mmoja kaka kw iyo ww subir majibu yenu mutayapata
@hilalkhalfan1452
@hilalkhalfan1452 Жыл бұрын
@@khalifa_kuchi tatizo sio Jeshi. TUNATAKA MASHEKH WENU WA KIWAHABIA WAMTHIBITISHE KWANZA KUWA KAWAWAKILISHA ILI MSIJE KUMKATAA, BAHERO, ALI, HUMEID, KISHKI, BARAHIANI, KASIMU MAFUTA. WAJITOKEZE KUMUAKILISHA AU WAJE WOTE NDIO SHURUTI LETU. YAANI SHURUTI LETU MAWAHABI NYOTE MFIKE.
@yusufathman2478
@yusufathman2478 Жыл бұрын
​@@hilalkhalfan1452bachu tumemuidhinisha hayuko pekeake nyinyi ndo mkitoa mtu mwamkataa akishindwa
@makamekhalfan5968
@makamekhalfan5968 Жыл бұрын
huyo mlevi vp ww uliambiwa pia masalaf i wajitokeze ukishindwa ww wameshindwa wot
@fikafikan8484
@fikafikan8484 Жыл бұрын
Ww mjibu yule ustadh said wachana na mzee
@kisomekiguwa3706
@kisomekiguwa3706 Жыл бұрын
😢mzee wenu muoga kwani uzee nikitu gan je yeye hakosei mbona yuko kimya sasa sialijifanya ana mdomo?
@abubakarkassim3385
@abubakarkassim3385 Жыл бұрын
Achana na sharif sio rika lako pambana na akina ustadh Said acha uoga
@jumamohamed628
@jumamohamed628 Жыл бұрын
Acha kujitoa fahamu Sheikh Abdul qaadir hakukuzungumzia wewe na wewe umezungumziwa na Sheikh Omar,nenda ukajitetee wewe unakimbia mjadala,wewe umepasishwa na Sheikh gani wa Kiwahabi,hao Mashekhe zako mbona hawajatangaza wakakuidhinisha ni kina nani kwanza mbona hatuwajui,wajitokeze Mashekhe zako na yeye Shariif ajitokeze unajikweza tu like Shariif ni size yako kajadiliana na wazee wako na wewe akujadili nini wakati size zako wamekuita nenda ujitokeze........Huezi nyamaza umeingia bardi Shekhe wa kiburi
@sharaful-anaam138
@sharaful-anaam138 Жыл бұрын
Wacha woga weee sabbass alikusanya wengi pamoja na watu wa twariqa alotaka mudaqash yeye taswawf nenda tu si chochoro hiyo
@abdulazizimohd4230
@abdulazizimohd4230 Жыл бұрын
Yeyote atakayejitokeza kufanya munaqasha na wewe usikatae kwa sbb si ndo ukweli wako utazidi kudhihir zaid na na kama una nia saf na point zako kwanini uchague mtu usichague mtu
@AliDaud-si3fg
@AliDaud-si3fg Жыл бұрын
wakubwa wanawakataa wadogo zao, ndio maana twataka hao wakubwa
@Kalaharidesertstorm
@Kalaharidesertstorm Жыл бұрын
We wacha hii mambo oya😂
@ngarejumaa1730
@ngarejumaa1730 Жыл бұрын
ww nenda mambrui ukasomeshwe una adabu mjingaww
@Ahbabrasulintegratedacad-ok7uh
@Ahbabrasulintegratedacad-ok7uh Жыл бұрын
Mtoto wa bachu tagaza siku wacha uwoga twa kusubiri kwa hamu
@khamisiiddi2470
@khamisiiddi2470 Жыл бұрын
Lakini pia ukumbuke kama takataa zsitumike hidithi dhaifu basi ata ibn taimiyya ametumia hadithi dhifu nyingi tu kwaiyo siku hiyo ndio maana tulisema tutakuja na vitabu vyenu ili kusudi mkikataa tusitumie hadithi dhifu basi tutavitupa vitbu vyenu ambavyo tayri vina hadithi dhaifu kama zote upo mja wa laana weye
@SugowFarah-up3db
@SugowFarah-up3db Жыл бұрын
Wacha chuki mzee tutawalainisha round hii. Hadi ummah udhihirikiwe na haqq. Mlizoea kuwaficha ficha na hizo elimu bila dalili kutoka kwa quraan na sunnah mkidhania majaaz ndio hoja. Imagine sheikh mzima aulizwa kuhusu mtu aliyezini vp hukmu yake eti adai kuwa aulizwe nia yake kwanza 😂😂😂😂😂😂😂 twariqa nyinyi mna vituko
@Ahbabrasulintegratedacad-ok7uh
@Ahbabrasulintegratedacad-ok7uh Жыл бұрын
Niqashi humfanyi sheikh abdulqadr wafanya kwa manufa ya uma wa kislamu wacha vikwozo tagaza siku ya niqashi ummah unufaike
@aliabuu4987
@aliabuu4987 Жыл бұрын
Hemu mwambie nae huyo bachuo Vikwazo vake visio na Maana kabisaa yeye ataka kuliilimisha watu ajitokeze Tu sio utuletee propa ganda
@mohammedathman
@mohammedathman Жыл бұрын
Wacha maneno mengi wewe kubali mujadala uelimishe watu usifanye niushindani namtu sisi tupate faida kubali
@khamisiiddi2470
@khamisiiddi2470 Жыл бұрын
Lakini pia kumbe tumegundua ya kwamba wewe haujui barzanje imeanzia wapi na imeishia wapi unafata mumbo na kuchanganya tu
@khamisiiddi2470
@khamisiiddi2470 Жыл бұрын
Lakini pia una madhambi ya kumzushia barazanje kwa maneno ambayo kumbe hakusema yeye, iyo yaa maahiya dhunuub hakuasema barazanje
@hilalkhalfan1452
@hilalkhalfan1452 Жыл бұрын
HII IMEMFIKA NDIO MAANA KAANZA KUSAWAJIKA. AENDE KABURINI KUOMBA RADHI NA AKISAMEHEWA NDIO ATAENDA KUHIJI. SUALI. KWA IMANI YAO, ATAENDAJE KUMUOMBA MAITI?! 😂. NA HIJA HANA MPAKA UOMBE RADHI WALIOKUKOSA NA WAKUSAMEHE AU WAKUOMBE FIDIA. JEE FIDIA GANI ANATAKA SHEKH JAAFAR BARZANJI KWA MTOTO WA BACHU?!!! ☝️. 😁. HAPO NGOMA NZITO
@abdallahshelufumo4602
@abdallahshelufumo4602 Жыл бұрын
Itabidi na nyinyi mawahabi mutoe kauli moja ya kukutangaza wewe kama unawawakilisha
@hilalkhalfan1452
@hilalkhalfan1452 Жыл бұрын
SHURUTI KWA SHURUTI NA HOJA KWA HOJA. 100%
@bellahragazza
@bellahragazza Жыл бұрын
Tunakusubiri mtoto wa Bachu 😂😂😂 Mbona unaongea kwa kutetemeka tetemeka?? Hutopambana na Ustadh Said Omar kwanza utapambana na sisi wanawake wa Twarika 😂
@khalifa_kuchi
@khalifa_kuchi Жыл бұрын
Heeee kumbe mpk wanawake mupo ikiwa wameshindw wanaume seuze nyny wakawake naomba mukapike na mukawasaidie waume zenu kulea familia
@bellahragazza
@bellahragazza Жыл бұрын
Kwani kazi ya wanawake ni kupika tu? Hujasoma Jihad kazi Za wanawake zilikuwa gani? Tuko tayari kupambana nae sisi kwanza Kabla hatujamfikisha kwa vijana wetu... 😂
@bellahragazza
@bellahragazza Жыл бұрын
Kama ni kweli Bachu ataka ummah unufaike na ufaidike Kwanini asisitize amtaka Sheikh Abdulqadir ki lazima? Kwanini hawezi kubali kuingia kwenye debates na yeyote anaemchallenge kwa faida ya ummah? Mnahanya hanya jamaa ametolewa kafara na wenzake sasa ni huyo amebakia yuahanya hanya
@hilalkhalfan1452
@hilalkhalfan1452 Жыл бұрын
@@bellahragazza NA YEYE BACHU TUNAMPA MASHARTI, TUNATAKA AJE YEYE NA BAHERO NA KASIMU MAFUTA NA BARAHIANI NA ALI NA KISHKI NA WATOTO WA BAHERO NA HUMEID. TUNATAKA WAFIKE WOTE SIKU HIO
@Allykiduka-t6t
@Allykiduka-t6t Жыл бұрын
Wewe ni mwehu? Je nawewe umewakiliswa na nani? mbona hakajitambui haka kajahili?
UKIFANYA HAYA UJUE USHATOKA KWENYE UISLAMU -   ALI ABUBAKAR
30:00
ANSWAR STUDIO
Рет қаралды 3,7 М.
Accompanying my daughter to practice dance is so annoying #funny #cute#comedy
00:17
Funny daughter's daily life
Рет қаралды 20 МЛН
The Ultimate Sausage Prank! Watch Their Reactions 😂🌭 #Unexpected
00:17
La La Life Shorts
Рет қаралды 8 МЛН
MARQAATI CUSUB IYO SAWIRO CADEYMO AH KIISKA AJ FAMILY MAXKAMADA DAHIR ALASOW
43:39
Maxkamada Official - SOMALI CIVIL COURT
Рет қаралды 4,8 М.
swali moja tu lamzuzua bachu na kukimbia maskini
2:40
MUFTI SHABAN. A. MUSA Mombasa Kenya
Рет қаралды 29 М.
UFUNGUZI WA BAMUMIN FUNDISA ISLAMIC CENTRE,KILIFI COUNTY
1:28:09
ANSWAR STUDIO
Рет қаралды 317
منهج القرآن للصف الثاني الابتدائي
30:24
فيديوهات مفيدة
Рет қаралды 8 МЛН
40 Qiso┇40 Qiso Ee Ygu Saameynta Badan 2023ᴴᴰ┇► Sheekh Musdhafa Xaji Ismaciil
3:26:03
Sijil Halal Genting | Khutbah Jumaat | Dr.Mohd.Rosdi
31:00
Kuliah Arab Mikro
Рет қаралды 33 М.
Accompanying my daughter to practice dance is so annoying #funny #cute#comedy
00:17
Funny daughter's daily life
Рет қаралды 20 МЛН