Wimbo ulio na ufunuo na upako. Hongera kwa kazi nzuri unayoifanya mama. Kenyans tupiteni hapa 🇰🇪🇰🇪 tukijipa jina, like ukisonga 👍
@silviak17764 ай бұрын
Amen Amen 🙏 lave from Kenya 🇰🇪💗💗💗 Najipa jina mmi ni mbarikiwa🙏🙏
@athanastairo21444 ай бұрын
Wakwanza ku like naomben like zangu
@daviemasebo1684 ай бұрын
Amen
@Johnwalter-h7m4 ай бұрын
How can I get it
@helenayotamu97334 ай бұрын
Aya
@tomstevesofficial4 ай бұрын
❤❤❤❤ huu ni kati ya nyimbo tamu za huu mwezi na isitoshe, yazungumza na wengi ❤ kama waamini kama mimi gonga like
@ElizabethNyamai-me2id4 ай бұрын
Amen mie ni mbarikiwa
@tomstevesofficial4 ай бұрын
@@ElizabethNyamai-me2id Amen
@alphamaginyo74614 ай бұрын
Naitwa mbarikiwa ,kibali ,upendo ,mfanikiwa kwatika jina la yesu❤❤🙌🙏🙏🙏
@ElizabethNgani4 ай бұрын
Wacha nijipe jina mimi ni Tajiri , mwenye Neema, mbarikiwa na niko mrembo wa YESU 🙏
@sulwajackson69063 ай бұрын
Nayafuta majina mabaya kwa jina La ya Yesu,kuanzia Leo Mimi mbarikiwa Amina! Barikiwa mtumishi wa Mungu
@WASHATV984Ай бұрын
Dada unajua sana kuimba na nyimbo zako zinanibariki
@elizazawadi982Ай бұрын
Thank you for the inspiration Minister Martha,i love you right from Kenya.Bwana akikuinua anikumbuke namimi
@eliajames13874 ай бұрын
Ubarikiwe Sana mtumishi naomba like zangu ❤🎉
@KHANJAKWEKWEMALI-nb2qs4 ай бұрын
Mm ni tajir Tena mrembo nishajipa jina ❤❤❤
@jossymwambe78894 ай бұрын
Madam Martha napenda nyimbo zako sana Kwanza wimbo wako wa BAKUSHUKURU MUNGU WANGIU ndio skiza tune and ringtone yangu. Leo hii najipa jiba mpya na nina jikubali jinsi nilivyo🙏🙏🙏👌
@egbertcharles4 ай бұрын
Sala/Maombi ndani ya wimbo. Mungu akubariki Dada Martha Baraka.
Barikiwa sana mama nakupenda bureeee❤❤❤! Nyimbo zako hizi za awamu hii zote ni 🔥 (SIJAONA, JIPE JINA, HILI NALO LITAPITA) na zikubali sana hizi Mungu akuzidishie mara dufu🙏
@AbbyGogo-be7by3 ай бұрын
Creativity and art in this video is of another level ❤..mara ya tano kuitazama 😊..nishajipa jina ..Amen ..nami nimwimbaji naomba mungu anifikishe ivi viwango
@gosbertmuta54212 ай бұрын
Ww dada weweeeeee Kwanza saut yako alafu umeimba kwa hisia kali mnoooooo as if ulikuepo kwenye maissha yangu ya 2012 to 2019 hii kipndi ilikua ngumu dhihaka kaali sana manyanyaso makaali nilitukanwa Sanaa lkn tangu nilipojipa jina na YESUKRISTO akaliptshaaaaaaaaaa now imukinionaa hhutaamn
@edinalihedule76094 ай бұрын
Mimi ni mbarikiwa,mrembo na nitajiri mmiliki wa majumba,magari,biashara na mashamba🙏🙏🙏🥰
@MugaluJosué3 ай бұрын
Aksante sana ❤❤❤ mimi ni mubarikiwa !! Futur président
@AngelAfric3 ай бұрын
Nakupendaga sn da Martha na nyimbo zako, umenenepa umependeza ume shine 😘 daaah kweli hakuna mwembamba jaman, ndo amani ya moyo inachangia kuglow kwakweli. Zidi kubarikiwa sana
@omollodom91623 ай бұрын
Blessing..jipe jina..mungu yuko
@CLAUDMWAKALASYA3 ай бұрын
Amen nimejipa jina mm ni mbarikiwa na mwenye neema kubwa
@MargrethMloka3 ай бұрын
Waoo nam nam leo na jipa jina la kubarikiwa leo amen🎉
@ABRAHAMJakisa4 ай бұрын
Hayo nyimbo nimeipenda sana kwa sababu ata n'a mie niliipata ile jina kwa kweli
@RubensaroSaro-ip6by4 ай бұрын
Mtumishi wa MUNGU, Martha dada Yetu Asante Kwa ujumbe mtamu katika wimbo , MUNGU akutunze na azidi kukuinua
@HARMONITZ3 ай бұрын
Unanibariki sana katika uimbaji ahsantee, jamani umenenepaaa ujue siyo yule wa kwenye ile Kwaheri nenda au penye riziki ulivyo kuwa ukicheza kama mjeshi
@LilianSidi-up2ny4 ай бұрын
Amen Am blessed alot,, nimejipa jina zuri
@adhiambotrizah3 ай бұрын
Always blessed with your song ,
@susannabwire95923 ай бұрын
Amen Amen 🙌🙌🙌🙌🙏🙏 may God bless you, the message is touching.
@neemajohnson75084 ай бұрын
Mimi Ni mbarikiwa Am highly favoured by God Am God's favourite ❤❤❤❤❤