kama unaangalia mara 10 kama pita na like zakutosha love u martha❣❣❣❣❣❣❣💗💗💗💗💗💗💗
@ThomasMohele-w2q3 күн бұрын
Umekuwa bonge dada yangu
@JanetkalamaJanetkalama3 ай бұрын
Ameeeen Mungu n mzuri aliyamaliza magum nliopitia😢😢😢
@simenyasikhuluАй бұрын
Wimbo wa uhimizo. Dieu et grand vraiment.
@CelestineNasambu-o1z2 ай бұрын
With God kila mbaya litapita
@judithjohn193711 ай бұрын
Hata hili litapita kama Yale yalivyo pita❤
@estherboniphace969511 ай бұрын
Litapita .Amina
@alexseunice917011 ай бұрын
Kweli kabisa kila lenye mwazo linawisho wake hakuna linadumu milele ❤🙏🙏..God bless you our sister 🙏 ❤
@rachaelmusyoka983411 ай бұрын
I tooooooo love this song soooo much,kwa wakayi kama huu,nitasema ni wimbo wangu😢😢...KILA LENYE MWANZO HUWA LINA MWISHO🥺.HILO NALO LITAPITA🥺 Neema tele Mama🤲🤲❤❤❤
@NehemiahShakini-b2h11 ай бұрын
Ubarikiwe sana kwa ujumbe mzuri wakutia moyo
@lovenessmwamengo709011 ай бұрын
Nahili nalo litapita , asante sana kwa ujumbe mzuri, we Mungu tusaidie magumu yawe yanapita haraka, yanachosha sana magumu.
@WiselightOfficial11 ай бұрын
Tushare wimbo huu uwafikie wengi waokolewe kwenye kutaka kuniua na stress za maisha😢 usiwe mchoyo share tafadhali na wengine wasikie maana watu wanauana, wanajiua
@mercyamuhaya184610 ай бұрын
Karibu niulize huyu ni nani 😊😊mum umebadilika wapendeza
@lyndamenzaАй бұрын
Love youre song god blessed u
@shhdndhdjsjs-em4kd10 ай бұрын
Martha may god bless you 🙏🙏🙏 good job be blessed kwa kweli una kibali dada umebirikiwa kutoka kwa nmungu 🙏🙏🙏🙏
@elizabethchebby260711 ай бұрын
safe delivery ❤❤
@Millieykitawa965211 ай бұрын
❤❤❤🎉 madam martha baraka this is so nice song
@GoodMusic-hn4nu11 ай бұрын
Wimbo unao nitia Nguvu na ujasili 💥💥❤️ kweli litapita
@shhdndhdjsjs-em4kd4 ай бұрын
Amen hakuna jaribu lisilo na nwisho
@PendoGeorge-x3c4 ай бұрын
Nmebalikiwa Sana na wimbo wako
@saudamwakyembe64988 ай бұрын
My Young brother naye atapata mweza ameachwa kwenye giza naye Baraka atapata jaman
@ChristinaKayombo-gp5vl10 ай бұрын
Kwa kweli wimbo huu unanipa faraja Mungu akubarki dada Martha
@KabangeTricia6 ай бұрын
Unakomala mama, Mungu akubariki Sana
@WiselightOfficial11 ай бұрын
Wimbo mzur sana video kali ubarikiwe dada yangu kongle kwa videographer❤
@geofreymwakabejela331410 ай бұрын
Hakika Kuna msg kubwa ubarikiwe dada Martha
@moseschambo37198 ай бұрын
Nyimbo ilinitia moyo Sana nilipo kuwa Botswana ujumbe mkubwa Sana ubarikiwe dada Martha
@tuombesanga278410 ай бұрын
Kawa kibonge Ghafla Mimba kmempendezea
@jeanboscomaboko62618 ай бұрын
Asante sana , mina kufata kutoka drc
@evanskongi11 ай бұрын
Wimbo wa kubariki sana❤❤❤❤ wakenya twakupenda sana mama wapi likes
@MoosaMd-h6b11 ай бұрын
Wakenya Mungu awabariki sana, nyie ni number one kwa kuisapiti injili hamna upendeleo nawapenda katika kristo Yesu.
@evanskongi11 ай бұрын
Aminaaa
@HappinessMarwa6 ай бұрын
Mungu ni mwaminifu
@newtonsimba79306 ай бұрын
Amen. Song of hope❤Kenyan🇰🇪.
@deborajoseph527011 ай бұрын
Ubarikiwe Sana kwa wimbo mzuri hata Kama liwe mlima litapita🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼💚💚💚💚💚💚
@eliassoingei204611 ай бұрын
Huyu Elijah D nimemkubali sana, yupo mkn na kazi yake
@robertmpagama714811 ай бұрын
Anatisha sana
@rashidwekesa93046 ай бұрын
This song has become my house anthem. It is so inspirational. God bless you.
@JumaMwema-ek7pt9 ай бұрын
Mungu ni mwema,sana wengine ametutoa mbali sana siri,zetu kil
@samuelngumbau81811 ай бұрын
Nyimbo zuri sana dadangu Mungu azidi kukuinua viwango vya juu
@rizikinaftary810511 ай бұрын
Hakika wimbo wa Baraka sana. Umenitia moyo sana MUNGU wa Mbinguni akubariki sana Mtumishi wake😭😭😭👏👏👏👏👏👏
@joycevihenda856Ай бұрын
He is God.
@edinalihedule760911 ай бұрын
Nabarikiwa sana na nyimbo zako🥰🥰🥰🥰🙏🙏🙏
@BridgetNakapila4 ай бұрын
Martha you know how to sing sis
@marrykilyenyi857311 ай бұрын
Asanteee madam hili nalo linaita ❤naamin
@WillyHaule-e5m8 ай бұрын
Wimbo balaa God may bless you mammy from Mbeya
@rehemabukuku100810 ай бұрын
Huuu wimbo mzur mnooo
@Jeremiatitomawala11 ай бұрын
Nakukubali mtumishi ujumbe mzr. Naomba nifurah kdg uchokoz tu lkn kama baraka vile 😂😂😂❤ utan tu
@ErizabetiEzekiel11 ай бұрын
Baraka hiyo jamani
@faithmusyoka64398 ай бұрын
Martha nakupenda sana mamaa❤❤❤
@madamneema762611 ай бұрын
Wimbo mzurii sana Hilo litapita tu❤️😍😍😍😍
@JuliethDaniel-js6hi11 ай бұрын
Congratulations my dear sister and god bless you.
@catherineangel252911 ай бұрын
Ameeni illa tuu matha balaka vipi apo imejiludia au sijui kusoma madm martha
@wimbomtamsana820711 ай бұрын
Ila wanadam mmfike mahari mmtuwe mtoto wa Mungu tangu mlianza mkumbuke ni mwanadam huyu anachoka mwacheni amwimbie Mungu wake na tukumbuke wote tunakaza mwendo matha songa mbele mamii
@christinewomanoffaith547911 ай бұрын
Kuna nn
@adamsjulias678111 ай бұрын
J'espère que suis premier congolais a mérité vos j'aime ici Svp.vous êtes où ?
@edithmalei11 ай бұрын
Be blessed madam martha unanibariki sana na huu wimbo. Kongole🎉🎉🎉🎉❤
@enockniko927011 ай бұрын
Nakumbuka siku Moja tumetoka CGM tukiwa vijana japo wew ulikuwa mkubwa kwangu Shida ni hapo ulipo olewa tena na kumuacha Mme WA ujana wako Cjajua biblia uliyoisima upya na cjajua mbingu hiyo imebadilisha mapokezi inapokea watu wa aina Ipi tena
@kivurugaathuman269411 ай бұрын
Inasikitisha, yampasa kumrudia mmewe maana bado yuko hai.
@JasminiSemwa11 ай бұрын
Ww Sio Mungu Anaejua Siri Yake Na Mungu Ni Martah Mwenyewe Punguza Uchawi Wako Ila Chukua Muda Wako Kumuombea Na Sio Kucomment Ujinga We Unadhan Atajisikiaje Akiona
@enockniko927011 ай бұрын
@@JasminiSemwa inawezekana wew ndio mchawi dada maana nilichokiandika sio kosa labda Imani Yako inaruhusu lakini ata Martha anajua alichomifanya sio kizuri Inawezekana wew ni mzinzi
@JasminiSemwa11 ай бұрын
Kanisani Kwenu Ndivyo Mnavyofunzwa Hivyo Na Sijui Mungu Gani Mnae Mwabudu Anae Watuma Muchambe Watu Mitandaoni Baada Ya Kwenda Faragha ....Poor Poor Poor You
@enockniko927011 ай бұрын
@@JasminiSemwa agent wew Hapo text yangu aina kosa kabisa sema nilipo andika ukweli na wew unamkubali ndio imekuuma Mi ni sister angu na nimekuwa maybe kwenye kikundi Cha vijana na Kila mtu anamshangaa kuachana na Barak na kwenda kwingine Sasa kama unaona nimekosea ujue yeye aoni nimekosea
@joki_tz11 ай бұрын
Barikiwa dada yangu
@agnessanga922810 ай бұрын
Nzr sana
@paulmwita11 ай бұрын
Amen Much love from🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@racherjohn44611 ай бұрын
Waoooo madam martha nakupenda sana jmni dada Mungu azidi kukutunza utumike katika kusudi lake natamani nami siku MOja nijikute katikati ya wimbo wako hata mmoja nikufanyie hata bakap tu
@MimaJemima-lb8gp11 ай бұрын
Barikiwa mtumishi wa mungu
@sharleenareyo176111 ай бұрын
Wow our mother is pregnant
@jemmymarioty84810 ай бұрын
neno la MUNGU pekee hudumu milele🙏
@GIBSONESTON527-v1g10 ай бұрын
Mungu akubariki Sana Dada yang
@jasmineomary432511 ай бұрын
Amina madamu mungu azidi kukutumia atakavyo umenitia moyo Sana pia nakupenda amina😊
@MohammadJoji11 ай бұрын
Asante Dada kwa ujumbe mzuri sana yesu handele kuonga kututia nguvu ubalikiwe sana ❤🇧🇷🇧🇷
@OteshaTime_Services11 ай бұрын
True.. I like that. Be blessed Mom. Tutakutafuta tufanye jambo. LITAPITA HAKIKA.
@faithmusyoka643911 ай бұрын
Uu wimbo ni mzuri sana.❤❤❤
@Наталья-м9б4ф11 ай бұрын
😊❤ the year 1995 revelations to the general church Alvaro Hernandez "The church is in danger", Gabriel Doufle, Ieva Khirkov, Lauren Johnson, Ubani Kingsley "The time is over", Kenzo Atsushi Chile
@SteveMahogo11 ай бұрын
Dada umenibariki sana na huu wimbo wako nakuombea MUNGU akuinue zaidi na zaidi🎉🎉🎉
@puritylukhaji15216 ай бұрын
Hallelujah, we thank God, the nose can tell it all.😅
@Augustinojohn-pf3pg11 ай бұрын
Yaaan Da.Martha nyota yake na amumeo ndeye aliyekuwa anakuombea sana, yaan unatoa nyimbo kali na video kali lakini kuhiti kazi sanaaaa, mlio kwenye Ndoa heshimuni sana mliotoka nao mbali sanaaaaa
@nzeyimanamafwamba765511 ай бұрын
Kabisaaaaaa
@JasminiSemwa11 ай бұрын
Nyie Ndio Wachawi Wenyewe Unataka Ahit Mara Ngapi Mtu Ananenepa Kama Hivyo😂😂😂 Dua La Kuku Halimpati Mwewe Muacheni Martah Wetu Tunampenda Na Tunamuombea Nyie Wachawi Endeleeni Kukesha Na Dua Zenu Hazitampata
@cleverkhumalo243010 ай бұрын
Martha you are inspiring
@jameshabwe692811 ай бұрын
Litapita tu. Neno la Wakati.
@AlineNduwimana-ve3yl9 ай бұрын
Ubalikiwe sana kwawimbo huyu❤
@shewambo7 ай бұрын
Mungu najua nitapona
@RaysaWilson-uy9iq11 ай бұрын
❤ Much love pacha Mungu akutunze powerful message
@wimbomtamsana820711 ай бұрын
Kweli kabisa mtumishi neno la Mungu tu ndo linalo dumu milele
@j.blessed453511 ай бұрын
Wow barikiwa sana mum..#Litapita. Neno la kutupatia tumaini
@ElizabethSalama-pg1bq11 ай бұрын
Wow, wimbo mzuri hakuna shida za milele ,ubarikiwe sana
@estermachea337311 ай бұрын
Sauti ya upole sana Hadi raaahaàa sana dada Martha Asante
@BenoîtWasolu10 ай бұрын
Napenda iyi nyimbo
@getrudejuma141011 ай бұрын
Ubarkiwe sana Mama kwa wimbo mzuri kiukweli umenibarki sana mtumishi
@elibarikijohn16611 ай бұрын
Kazi nzuri sister
@RehemaMahenge-bf7mo11 ай бұрын
Barikiwa mtumishi
@bedelmasilya3059 ай бұрын
Belle chanson, elle est vraiment consolantrice
@Geelittel87011 ай бұрын
Amina, yote yatapita kwa jina la Yesu
@yohanaandrew239711 ай бұрын
Wimbo mzuri sana
@PeterMzola-w8y11 ай бұрын
Wimbo mzur sana madam hongera sana nimebarikiwa ❤
@Winfridankalupia-t8d10 ай бұрын
Amina!Amina!🤲🤲🙏🙏👏👏👏🫶🫶
@clevermwinuka816011 ай бұрын
Ubarikiwe sana mtumishi ❤🎉❤🎉❤
@revocatusbusia11 ай бұрын
Hakuna chochote kinachodumu milele ni NENO LA MUNGU pekee!!!! Mengne yote yanapita!! Amina
@Levimico11 ай бұрын
Mhuuu hakika maisha hubadikika umemenenepa 3:06
@MapatanoDiallo11 ай бұрын
Amin nikweli kabisa litapita Mungu akubariki dada
@GTIGERplatinumwcbforever11 ай бұрын
❤❤❤❤much love madam matham penda sanaa sister
@GraceBakari-wo8ly10 ай бұрын
Amen jaman❤❤ 😭
@adamnkwama414811 ай бұрын
Mungu azidi kukutumia Kwa eneza injili
@bettynafamba10511 ай бұрын
God bless you my sister ❤
@tizomelele442411 ай бұрын
Am in love with the song content and Video Quality is more attracted...GOD BLESS you my sister..🎉