Power Nguzo UKO VIZURI KAKA...unakonga mioyo ya wengi kwa kutupa hizi "tunu" za miziki ya KWELI...!!
@salehhamad21513 жыл бұрын
Power nguzo unatupa treasure ishindayo dhahabu kwa thamani.........
@kokombwana86255 жыл бұрын
Duh! Zamani hairudi tena,nakumbuka kaka yangu enzi hizo Mwl Essau Ngadala,alipokuwa Kibasila secondary, alipenda sana nyimbo hizi
@jumahoza15755 жыл бұрын
Nyimbo za zamani hazichuji. Hata uzisikilize jana leo na kesho na mtondogoo ni kama vile imeipuliwa jikoni asubuhi.
@salehndanda2645 жыл бұрын
watu tumetoka mbali sana,kulikuwa na rtd na idhaa ya biashara pale ndani kidogo tazara au wizara ya kilimo na mifugo, tulikuwa tunasoma shure ya msingi gerezani mwalimu mkuu alikuwa anaitwa abrazizi alikuwa anafuga afro nywere, na mwalimu chapuka wakike ndio ninao wakumbuka.tulikuwa watoto watatu watundu sana mimi na haji msumi sasa yupo mapambano lakini yeye kadata na vicki redion yeye yupo majuuu,siku moja sijui tulifikilia nini tukatafuta ubao misumari ya viatu, trasista, genge, capasta, na tranforma hivi viyu vyote vinapatikana kwenye radio mbovu, kasoro ubao na misumari ilikuwa raisi kupata hivi vitu kwa sababu kwenye nyumba tunayokaa kulikuwa na fundi radio ninamkumbuka mmoja kwa jina la kipa msambaaa yupo hai, tukachukua waya za transfoma tuka gonga misumari kwenye ubao misili ya pembe tatu ili kuseti trasista nakapasta , transfoma na genge tukachukua spika ya simu za kuzungusha moja tukaunga vizuri sana, LENGO KUTENGENEZA RADIO YETU NA TUSIKILIZE, na kutumia umeme wetu wa tanesco tulikuwa tunaugopa sana na hatukua natesta kifaa cha kupimia umeme mdogo hatukuwa nacho wala hatukukifikilia kabisa, umeme wetu tuna hupataje? tulichukuwa waya wa 1.5 na tukafunga na kipande cha chuma tukaingiza kwenye shimo la choo, vile vile tukaingiza kwenye kalo la maji machafu, vil vile tukachimba shimo uwani kwetu la kuzama mguu vile vile tuka ingiza waya na kipande cha nondo tukaweka mikaa, chumvi na majivu tukafukia wakati huo wazazi hajui kinachoendelea wanaona watoto wana cheza tuu, lakini tulikuwa busy kweli kweli. tukachua waya nyingine tukafunga kwenye bati la nyumba juu waya zote tukapeleka kwenye transfoma kila moja ikiingia sehemu yake tukafua umeme wetu bila ya kusomea madhara wala faida. sasa tukaweka na intena ya waya UWEZI KUAMINI TULIPATA IDHAA KBC KENYA RADIO BIASHARA NA RADIO NYENGINE AFRIKA SIZIKUMBUKI. wazazi wanaona tunaweka sikioni spika ya simu za kuzungusha za mezani wakauliza wakakuta kweli tunasikiliza radio walitukanya sana kuogopa kukamatwa hatukusikia tulikuwa tuna sikiliza kwa kujificha. sasa siku moja mvua ikanyesha kubwa ulitengenezwa umeme mkubwa tuligusanisha waya ILITOKEA SHOTI KUBWA MISILI YA KUTA KUCHOMA NYUMBA WAZAZI WAKAFUMUA MITAMBO YOTE NASISI TULIKIMBIA TULIRUDI USIKU . NDIO UKAWA MWANZO NA MWISHO WA RADIO YETU.hii miziki tulikuwa tunaisikia kwa kutumia radio yetu
@salehhamad21513 жыл бұрын
Daa bonge la history....
@peteramollo53296 жыл бұрын
Heko kwenu. Kwa kweli siku zapita ndugu zangu. Sospeter
@hermanbundala54906 жыл бұрын
Kwakweli zamani kulikua na nyimbo zenye ujumbe nzuri
@princelarry80687 жыл бұрын
hi Nguzo am looking for a song which I only remember some part of its lyrics, " Bibi yangu nakukanya husikii kwa Nini? wewe ni mke wa mtu heshima yako kubwa........hata kama tumezaa na wewe watoto wengi ooh lakini Mambo yakizidi nitashindwa kuvumilia" may you provide me with name of the song and the band please. or the song if possible