Allah awape kheri na awasamehe madhambi yao, na pepo ya firdaws iwe mafikio yao
@remmywekesamukhwana4422 Жыл бұрын
Mkristo kamili mwenye Mungu amefunua macho huwa hashereke
@samwelndaki2012 жыл бұрын
Wewe ni muongo hujui Mimi maana ya mkate
@hajiadam93912 жыл бұрын
Nxt part
@sabihaibrahim1432 жыл бұрын
Mhmm mwalimu kachanganyikiwa wazungu waliwaumiza sana ndugu zetu kuwaletea dini ya upotevu
@jubiercib30742 жыл бұрын
mazinge kiboko
@byoseasolokoci72572 жыл бұрын
BWANA YESU KRISTO Ndiye MUNGU wa kweli. Wala hakuna mwengine.
@emanuel12692 жыл бұрын
Nunueni biblia ama fatilieni maandiko vizuli
@emanuel12692 жыл бұрын
Nunueni biblia ama fatilieni maandiko vizuli
@emanuel12692 жыл бұрын
Yohana 6:26 ukiisoma mbaka 35 YESU akasema yeye ndiye chakula Cha uzima tenaa akasema ajaye kwake hataona njaaa kwaiyo nisawa watu waokoke nyinyi hamsomi maandiko vizuli mnawapumbaza watu wasiojua kusoma ama kufatilia maandiko jama mkiwa mnaangalia izi mambo muwege mnasoma pia maandiko yafatilieniii
@sosdododo56532 жыл бұрын
Hawa makristo wamepotea tena wamepotea kweli kweli sio utani hio biblia wanaoisoma nitafsiri tu ndio wako nayo,sisi waislamu tuko na quran kiarabu na tafsiri yake tuko nao,sasa unatufananisha sisi nawatu walopotea nisawa hata haiwezekani sisi waislamu tunafuati kitu sio ovyo ovyo tuko sawa Allahu akbar
@njiaya68332 жыл бұрын
kzbin.info?search_query=njiakonatv
@gracembuvi46253 жыл бұрын
Mazinge na huyu msomaji niwachinga tu wanataka kupotosha watu,
Hahaha 😂 wait until youre the one on that sit 🪑 😂 you'll know
@omarbyz86953 жыл бұрын
Allah akuhifadhi mhadhiri mkongwe
@ismailyussuf18053 жыл бұрын
Kilakitu hapana.(HANYEMBAMBA).
@uledihassan60653 жыл бұрын
Inaonekana Yahaya anaijua biblia kuliko mazinge!!
@ismailyussuf18053 жыл бұрын
Wwe Peko Misegese karibu kwenye Uisilamu,kabla ya KIFO CHAKO.OKOA NAFSI YAKO BROTHER..
@ismailyussuf18053 жыл бұрын
Maasha'Allah,Ushindi ni Wa Allah S.W. na Waisilamu kwa Ujumla mpaka Peponi.(JANNAH TUL-FIRDAUSA)..AMIIIIIN.
@luckygmdegela84773 жыл бұрын
Huu ujinga ulilifikisha taifa pabaya wakati ule , na nashukuru kikwete kwa kukomesha udini huu ni uovu kama uovu mwingine ,,, anae mwamini Mungu haki yake itahukumumiwa siku ya hukumu yake kwa matendo yake.
@jaleabdi31363 жыл бұрын
Masha Allah
@ismailyussuf18053 жыл бұрын
Kafiri mkubwa huyo.
@shabamuhidin6343 жыл бұрын
wachungaji wanapotosha maandiko ili kuwafurahisha wakristo wenzao,lakini nimakosa kwa mungu kudanganya ili ndo uonekane kwa watu,siku ya kiama mjiandae kujibu mswali
@shabamuhidin6343 жыл бұрын
mbona andiko liko wazi tu..kwani wakristo mnatumia bible gani au ni hayo mavi mnaokula?
@ikhavi3 жыл бұрын
Umevalia miwani ya mbao??? Mashonde yalikuwa yatumike kama kuni,,,, nabii akasema hajajitia najisi kwa kutokula nyama zilizo haramiwa itakuaje basi akishika kinyesi ndiposa mungu akamruhusu atumie kinyesi cha ngombe,,,, 4:15 kwa taarifa yako pia biblia haisomwi hivyo vile hao wanafunza ndiposa wanacheka kwa kuto elewa..... maadamu ungali hai hebu tafuta fundisho la kweli la Mwenyezi Mungu
@rashidally77203 жыл бұрын
Kazi nzuri
@jaredochieng47253 жыл бұрын
Watu waku bobokwa . hawajui mahana ya mkristo na mcatholiki.
@jaredochieng47253 жыл бұрын
Waislamu nauliza kafiri ni nani.
@mudydady98993 жыл бұрын
Mungu akulipe shekh yahaya akulaze mahala pema pepon na akuepushie adhabu ya kaburi
@zamzamrashid95343 жыл бұрын
Imani petro Allah akulipe kheri Insha Allah
@ismailyussuf18053 жыл бұрын
Hili LIDUBWASHA halijuilolote.Kilakitu ni "HAPANA".
@zamzamrashid95343 жыл бұрын
Yukowapi skuizi Yahya nimemisi maana anausomaji waainayake Masha Allah
@zakariaathman90193 жыл бұрын
Alifariki ndugu yetu baada ya kufariki magufuli yeye kafata
@omanbarka20533 жыл бұрын
Hiyu ndio profesa mazinge hongera maana unakazi kubwa nakuongeya nawatu wasio jielewa
@omanbarka20533 жыл бұрын
Yaan hao wakristo wanadanganyan huko kanisani hawasomewi maandiko,waislamu tunajivuniya dini yetu
@omanbarka20533 жыл бұрын
Mazinge unanifurahisha waallah kweli najivuniya kuwa muislamu dini yahaki
@boniphasfesto43254 жыл бұрын
Acheni kupotosha Maandiko we Mazinge
@mwajumamwajuma37564 жыл бұрын
Mashaallah wisilam maustdh mungu awape kheri mazinge tunakuombea mungu akufanyie wepes insha'Allah 🙏❤️🤝
@ismailyussuf18054 жыл бұрын
Kilakitu anakataa,"HAPANA".Imeshaonekana UTHAIFU WAKE NA UBISHI USIYOKUA NA MAANA.ILIBORA AONEKANE KWA VIDIO.
@ismailyussuf18054 жыл бұрын
Huyu mtu,kilakitu ni "HA:PA:NA" Itakua "HA:NYE:MBA:MBA"KAFIRI MKUBWA HUYU.
@dullahkuchi73534 жыл бұрын
Allah akurehem Mhadhir wetu
@mwajumamwajuma37564 жыл бұрын
Mashaallah wisilam hivi hawaelewi au kusudi hawa wenzetu hawajielewi kabisa 🙏🤝
@ismailyussuf18054 жыл бұрын
Huyu jamaa ni FARA.Haelewi.Majibu yake yooote ni HAPANA.Ana ubishi wa CHOONI.MKAFIRI ATAELEWA SIKU YA QIAMA MOTONI.
@kimanimuikamba47144 жыл бұрын
Mwenyekiti wa kiislamu huu ni utoto mtupu
@jamilshisia59294 жыл бұрын
MashaAllah ujumbe umefika
@SaidSaid-pm8jb4 жыл бұрын
Cczalj vcx is time I want
@ellon52394 жыл бұрын
Siku waislamu wakielewa fungu LA yohana 1:1 na Yohana 1:14 itatosha kuwaelewesha uungu wa Yesu..yani hapo ndo wanapataga blackout kwenye bongo zao..hehehehe
@ellon52394 жыл бұрын
Mazinge hana lolote,haielewi Biblia Huyo na mbwembe nyingiiii
@shabansalee49242 жыл бұрын
Nenda na ww kabishe mbele yake
@muslihmohd94204 жыл бұрын
Hahahaahhah yahaya unanichekesha ndugu yangu hadi raha
@rshidmwasa84934 жыл бұрын
Mwana wa kefaaaaaaa,, Allah akulipe jannah Firdausi