Huu ujinga ulilifikisha taifa pabaya wakati ule , na nashukuru kikwete kwa kukomesha udini huu ni uovu kama uovu mwingine ,,, anae mwamini Mungu haki yake itahukumumiwa siku ya hukumu yake kwa matendo yake.
@remmywekesamukhwana4422 Жыл бұрын
Mkristo kamili mwenye Mungu amefunua macho huwa hashereke
@ismailyussuf18053 жыл бұрын
Maasha'Allah,Ushindi ni Wa Allah S.W. na Waisilamu kwa Ujumla mpaka Peponi.(JANNAH TUL-FIRDAUSA)..AMIIIIIN.
@sabihaibrahim1432 жыл бұрын
Mhmm mwalimu kachanganyikiwa wazungu waliwaumiza sana ndugu zetu kuwaletea dini ya upotevu
@ismailyussuf18053 жыл бұрын
Wwe Peko Misegese karibu kwenye Uisilamu,kabla ya KIFO CHAKO.OKOA NAFSI YAKO BROTHER..
@hajiadam93912 жыл бұрын
Nxt part
@sienajacobs40124 жыл бұрын
Masha'Allah Al hajj Sule
@pekomisegese77246 жыл бұрын
Nimegundua Kitu Kimoja Yakuwa Wakristo Wanapowaona Waislamu Wanakuwa Na Kitete Sana, Yaani Hawajiamini Kabisa.
@benjatweve3865 жыл бұрын
hivi mmekosa kaz za kufanya hakuna mwenye uhakika kwanza Mungu hajui mambo ya dini haya ni mambo ya duniani tu kinachotakiwa ni kufanya yale mambo mazur anayoyataka Mungu na sio kuanza kubishana vitu ambavyo hatuna uhakika na wakati ninavyojua mm dini ni iman
@bockaselemani5635 жыл бұрын
Benja Kama huna uhakika na Mambo ya dini mbona mungu una uhakika nae?Imani na matendo mema anayopenda mungu chimbuko lake ni dini km dini yako sio utapata tabu sana.
@muslihmohd94204 жыл бұрын
Ukisema ivo utakuwa unakosea kwa sababu mungu ameshaeka wazi njia ya kuifata na jinsi ya kumuabudu,haiwezekan utafute ya kwako halaf akupe pepo yake,ukitaka uokoke lazima uufate uislamu ambao mungu aliwapa mitume na manabii
@kimanimuikamba47144 жыл бұрын
Mwenyekiti wa kiislamu huu ni utoto mtupu
@emmahmelisa45115 жыл бұрын
Shindeni kubishana bila kujua huu ni mwisho wa dunia ,la msingi madhabau ni.pendo.litokalo moyoni kwahiyo.wuislam na ukristo ni.kama madaranja ya kutupeleka kwa MUNGU,kwahivyo kila.mtu ujua MUNGU amuombaye bila.imani na kumtii MUNGU aliyetuumba ukristo na uislam hautatupeleka popote so acheni mabishano
@bockaselemani5635 жыл бұрын
Emmah bila mihadhara watu wataendelea kuabudu viumbe na kusherehekea sikukuu za kisanii kwahiyo acha watu wafunzwe tu hakuna nanna.