PROPHECY MWANZA
2:27
4 сағат бұрын
PROPHECY TIME with Prophet Edmound
14:52
PRAYER MOUNTAIN | Nigeria
3:39
2 ай бұрын
Пікірлер
@emilymakange3580
@emilymakange3580 3 сағат бұрын
Glory to God Our Highest.
@David_Paul_Njau.
@David_Paul_Njau. 6 сағат бұрын
Shalom Shalom baba
@monicamichael-sr4kx
@monicamichael-sr4kx 7 сағат бұрын
pastor huwa naota karibu kila siku nipo madhabahuni hii i a maana gani?
@edmoundmystic
@edmoundmystic 7 сағат бұрын
Hongera! Kuna kazi unaoaswa kuitumikia ya kimadhabahu.
@monicamichael-sr4kx
@monicamichael-sr4kx 7 сағат бұрын
hii pia inanipa shida kila mara naota nina ufunguo mkononi mwangu
@edmoundmystic
@edmoundmystic 7 сағат бұрын
@monicamichael-sr4kx uko wapi?
@edmoundmystic
@edmoundmystic 7 сағат бұрын
Jitahidi tuonane kanisani
@monicamichael-sr4kx
@monicamichael-sr4kx 15 сағат бұрын
mtumishi uko wapi nikutembelee
@edmoundmystic
@edmoundmystic 14 сағат бұрын
Kimara baruti
@edmoundmystic
@edmoundmystic 14 сағат бұрын
0714315891
@leahmgunda4154
@leahmgunda4154 16 сағат бұрын
Mawio ni kule jua linkotokea, linkoiShia ni machweo.
@martinemakongo
@martinemakongo Күн бұрын
Asante mungu
@margaretgilbertdantes1167
@margaretgilbertdantes1167 Күн бұрын
Sema kabisa tupone kweli nami nakubaliana na Mtumishi kweli wa mama Tujifunze sana hilo
@joycehaule9717
@joycehaule9717 Күн бұрын
Anaombewa anakofia kichwani mwanaume na mmemuacha hiyo ni tabia mbaya
@joycehaule9717
@joycehaule9717 Күн бұрын
Jana nilipewa mzigo wa kuombea kenya nikamuombea Rais Ruto .. Mungu hata muacha maana yeye ndie aliye muweka pale Ruto usiogope
@rweumbizalugaimukamu4905
@rweumbizalugaimukamu4905 Күн бұрын
Amen Edmund mwanangu
@user-es9ye1tj7u
@user-es9ye1tj7u Күн бұрын
Jamanii viongozii wabadirikee, piaa watanzaniaa viongozii tamaa,,wamekuaa makatirii hawana hurumaa na watanzania wenzaoo,,kila anachaguliwa anataka ajinufaishee yeyee,, munguu,,awadhibuu wao tu viongozii ,,tena wangekufaa wotee ,,tumechokaa ,,,
@imeldastephano9221
@imeldastephano9221 Күн бұрын
Baba shalom. Naomba maombi juu ya kijana wangu amefukuzwa kazi ghafla. Ni mlemavu,nakuomba baba
@anneflorencesengati-ahmed8712
@anneflorencesengati-ahmed8712 2 күн бұрын
Amen Amen
@kasawarageofrey6603
@kasawarageofrey6603 2 күн бұрын
Amen
@georgeexavier5921
@georgeexavier5921 2 күн бұрын
Amen❤
@dennisngonyani1795
@dennisngonyani1795 2 күн бұрын
Poleni Kenya
@user-xh6rw4qi4q
@user-xh6rw4qi4q 2 күн бұрын
Nasikia ukuu wa Mungu kutoka kwako Nabii wa Mungu,
@marynyirenda993
@marynyirenda993 4 күн бұрын
Shalom Baba
@NoahBlasius
@NoahBlasius 4 күн бұрын
Emergency declaration and decree! Good Morning Revelation. *Young People in Kenya from today 30/06/2024 standing in the Authority and Power of God, entrusted in the dispensation. I call a cease fire from heaven on the earth to all hearts. From this stand point, I hereby abolish all spiritual and physical gatherings in Jesus Christ Powerful covenant to the generation. Peace and order prevail, all youths wake up and pray as have been ordered never again violate, President William Ruto is still your President till the Heaven decides otherwise in proper time. Amen*
@georgeexavier5921
@georgeexavier5921 4 күн бұрын
Amen
@HAAM670
@HAAM670 4 күн бұрын
Naam, tutapita pagumu tutalia lia 2025, lakini mwisho wa siku Bwana atalitukuza Jina lake. Giza nene lakini mwisho wa siku nuru itang'aa gizani, wala giza halitaiweza. Mwisho wa yote Kusudi la Bwana litasimama. So, tuombe SANA ili kufupiza giza nene au kuliondoa kabisa ktk Jina la Yesu, Amen.
@JamesPesambili-yt2cm
@JamesPesambili-yt2cm 4 күн бұрын
Mimi sikupingi ila nia ya Mungu kukupa ujumbe ni ili tuombe mabaya yasitokee au yatokee tufe? Hata ninawi walitakiwa wafe ila wakamgeukia Mungu na Mungu akagili kuwaua, nataka manabii mjue kuwa mimi sifurahii unabii wenu kutokea,nafurahia mnapotumia mamlaka zenu kuzuia mabaya kwenye taifa, nasiyo kufurahia kutimia unabii wawatu kufa,
@edmoundmystic
@edmoundmystic 4 күн бұрын
Baada ya ujumbe wa Nabii Yonah Ninawi walimgeukia Mungu wakatubu. Swali ambalo Tanzania tunajiuliza: Je, Tanzania baada ya unabii tumeshuhudia tendo lolote la kumgeukia Mungu lililotolewa na kiobgozi wa nchi?
@reginaldmapunda6702
@reginaldmapunda6702 4 күн бұрын
Unabii gani unaandika notisi kama darasa la saba. Jamani hayo mawazo au fikra zako ukiziongea bila kumsingizia Mingu kunashida gani? Waovu wengi wanatimiza maleno yao kwa mgongo wa dini. Narudia tena hakuna unabii kama huo bali kuna mipango kama hiyo hiyo inayopangwa na watu haohao .
@edmoundmystic
@edmoundmystic 4 күн бұрын
Kuna shida gani mtu kuandika maono aliyoyaona? Au hujasoma Habakuki 2:2? Rudi usome biblia vizuri. Prophecy zote zilizo kwenye biblia including za kuzaliwa Yesu kwenye kitabu cha isaya, Majuma 70 kwenye kitabu cha Daniel, Sanamu na falme nne alizoona mfalme Nebukadneza kuhusu mambo yajayo YOTE YALIANDIKWA KABLA HAYAJATIMIA. Na ndo maana leo unasoma! Ufunuo wa Yohana Je, huo si unabii?? Yesu mwenyewe anamwambia Yohana andika maono haya!! USIPOTOSHE WATU Kwa kutolijua neno!!
@reginaldmapunda6702
@reginaldmapunda6702 4 күн бұрын
@@edmoundmystic Hata mimi naota ao kuoteshwa lakini ifike mahala tuheshimu uwepo wa Mungu na kuacha kumfanya Mungu kama kichaka cha dhamira zetu. Alichopanga Mungu kipo tu hata kisiposemwa au kuandikwa na Mungu alishasema na kuandika kila kitu kuhusu mwisho wetu na huu unabii wenu ni kasehemu tu ya unabii mkuu ulioandikwa na wala hauihusu Tanzania tu bali kwa ulimwengu mzima. Sasa kama unaona kila mtu anahaki ya kuandika au kuongea anachooteshwa kwa nini uniulize kuhusu hicho nilichooteshwa kuwa huu sio unabii wa Mungu bali ni wa mtu au watu kwa dhamira zao nzuri au mbaya. Manabii tumekuwa wengi mno na woote tunaiandama Serikali tu kwani huyu Mungu alituagiza tuifuatilie na kuikosoa serikali au ni kumpinga shetani ? Nani wa kusakamwa kati ya viongoxi wa serikali na shetani ? Hii serikali inaongozwa na waumini wetu ambao licha ya uwingi wetu tumeshindwa kuwajaza NENO la uzima na sasa hawana hofu ya Mungu tena kwa ababu ya udhaifu wa viongozi wa dini. Tumemwacha shetani akiteka watu wetu na badala yake tunatishana binadamu kwa binadamu huku HUKUMU ya Siku ya mwisho inatusubiri bila kujali kama wewe serikali au Nabii au mchungaji au askofu au shehe. Kwa nini mnahangaika na serikali ? Hangaikeni na waumini wenu ndio wanaoiongoza serikali. Mnafeli wapi nyie manabii?
@reginaldmapunda6702
@reginaldmapunda6702 4 күн бұрын
Ule utabiri wa mwezi April 2024 Daresalam kufutika kwa mafuriko na baadhi ya viongozi wastaafu kufa umefikia wapi? au umeahirishwa ? Huu sio utabiri bali ni Siasa za maji taka . Dini zimeingiliwa na matapeli wa kisiasa. Hivi hakuna utabiri wa kujenga reli ya mwendo kasi na viwanda vikubwa? Kila likitokea jambo kubwa kama lile la Kenya basi Manabii na unabii unaibuka kama uyoga . Juzijuzi tu Tanzania tumetahadharishwa kujihadhari na ughaidi na leo tuna sikia wanaibuka manabii wa kujaribu kubahatisha kutabiri hayohayo kwa njia nyingine. Hawa manabii inabidi wafuatiliwe kwa sababu huenda ni watu wanaojiandaa kufanya hayo matukio mabaya . Hakuna utabiri hapo bali ni mawazo na mipango ya watu wabaya kwa Taifa letu. Viobgozi wengi wa dini wanaisakama serikali kama vile hao viongozi sio waunini wao ambao wanawatoa sadaka kubwakubwa na wapokea bila tatizo. Na watumishi wa Mungu wanao kufa ni wengi sana lakini sijawahi kuona hawa manabii wakitabiri hata vifo hivyo na hata migogoro ya madhehebu kama TAG. hayatabiriwi ila wao na serikali ya Tanzania. Mimi siamini utabiri wa watu kama huyu . Mungu atatenda yaliyo yake.
@Janetfanuel
@Janetfanuel 4 күн бұрын
Jambo la kwanza; Wito alionao Nabii hauwezi kuwa kama ulio kwako! Na ndo maana wewe unaweza kuona maono lakini usiwe na guts za kuyatangaza! Na kama unadhani unafanana naye, basi na wewe jitokeze tangaza ya kwako uone kama kweli tutakuja kukuskiliza🤣🙌🏽 Kuona maono ni jambo la kwanza lakini AGIZO la kuamriwa kwenda kuyatangaza si kila mtu anapewa!! Ispokuwa manabii! Jambo jingine, Wewe unaota ndoto! Nabii hategemei ndoto kumsikia Mungu! Una chukia Manabii kuwa wengi? as if upo kwenye panel ya kuwaita kwenye wito? Ulitamani wachawi ndo wawe wengi? SI KWELI KWAMBA ALICHOPANGA Mungu kitatokea tuu hata kisiposemwa!! Kuna mambo hayawezi tokea mpaka yapitie kwenye lango la unabii!! “Surely the Lord GOD will do nothing, but he revealeth his secret unto his servants the prophets.” ‭‭Amos‬ ‭3‬:‭7‬ ‭KJV‬‬ Imagine when God is doing nothing on earth! What will you do?? The fact that God is doing something in Tanzania, is because He has been revealing secrets to the Prophets! The 400 yrs when God was not doing anything on earth it was because of the fact that He stopped revealing things to the prophets! The silence of the prophets or any attempt to silence the Prophets is trying to stop God from doing things on earth. “Akaniambia, Mwanadamu, je! Mifupa hii yaweza kuishi? Nami nikajibu, Ee Bwana MUNGU, wajua wewe. Akaniambia tena, Toa unabii juu ya mifupa hii, uiambie, Enyi mifupa mikavu, lisikieni neno la BWANA. Bwana MUNGU aiambia mifupa hii maneno haya; Tazama, nitatia pumzi ndani yenu, nanyi mtaishi.” ‭‭Eze‬ ‭37‬:‭3‬-‭5‬ ‭SUV‬‬ Katika matamanio ya Mungu kuona jambo linatokea duniani, alijua jambo hilo haliwezi tokea mpaka mwanadamu atakapo TOA UNABII!
@Janetfanuel
@Janetfanuel 4 күн бұрын
Nabii Edmound hajawahi tabiri juu ya mafuriko kuifuta Dar es salaam. Naona una vita na huduma ya kinabii ndo maana unaandika bila kufanya uchunguzi wa kina
@reginaldmapunda6702
@reginaldmapunda6702 4 күн бұрын
@@Janetfanuel; Ukitaka kujua nina Guts narudia kusema kuwa huu unabii ni feki.
@Janetfanuel
@Janetfanuel 4 күн бұрын
​@@reginaldmapunda6702tushawishi basi tukuamini na wewe kuwa usemacho ni kweli
@Janetfanuel
@Janetfanuel 4 күн бұрын
Bora huyu nabii tumuamini maana Kuna evidence tunazuona. Mwezi wa kwanza alitabiri akitoa onyo juu ya kitambaa cheupe kuwa itaungua moto na ikatokea, akasema juu ya Mauti ya Lowasa ikatokea, akasema juu ya viongozi wa serikali kubadlishwa na kuteuliwa wengine tunayaona. Akatabiri juu ya kiongozi mkuu wa nchi ya Kenya kupinduliwa tunazuona dalili zote. Kweli vyote hivi alikaa akabuni?? Muogope MUNGU basi hata kama manabij walishakuibia chochote😅
@gracewallece6894
@gracewallece6894 5 күн бұрын
Pastor shalom tamka neno juu ya biashara na mahusiano
@gracewallece6894
@gracewallece6894 5 күн бұрын
Sema neno juu ya biashara na mahusiano pastor
@gracewallece6894
@gracewallece6894 5 күн бұрын
Sema neno juu ya biashara na mahusiano pastor
@gracewallece6894
@gracewallece6894 5 күн бұрын
Sema neno juu ya biashara na mahusiano pastor
@gracewallece6894
@gracewallece6894 5 күн бұрын
Sema neno juu ya biashara na mahusiano pastor
@gracewallece6894
@gracewallece6894 5 күн бұрын
Pasto sema neno Kwa biashara yangu
@Mihoaidan
@Mihoaidan 5 күн бұрын
Prophesize to me in my life man of God
@abdallahmgaya7521
@abdallahmgaya7521 5 күн бұрын
NI UNABII WA UONGO, HAKUNA KITAKACHOTOKEA KAMA HICHO
@martinemakongo
@martinemakongo 6 күн бұрын
Kazi yangu njoooo
@georgeexavier5921
@georgeexavier5921 6 күн бұрын
Amen
@safiaothman5175
@safiaothman5175 6 күн бұрын
Anayejua mambo yoyote yatakayotokea duniani ni Mwenyezi Mungu aliyetakasika tu na si mwingine.
@NurathYunusu
@NurathYunusu 5 күн бұрын
Apana iyo ilikua kinyume alionyeshewa Kenya iyo,sisi atuna mbamba mba
@josephmathayo5139
@josephmathayo5139 6 күн бұрын
Mwenyezi Mungu. aendelee.kukulinda ili uweze kutuhudumia kiroho.
@vicentmachibula8083
@vicentmachibula8083 6 күн бұрын
Ni kweli mtumishi unachokisema nimekuelewa sana mm yalishanikuta hayo nilipitia kipindi kigum sana kwenye ndoa
@user-bd9ef8cg5i
@user-bd9ef8cg5i 6 күн бұрын
Amen
@user-bd9ef8cg5i
@user-bd9ef8cg5i 6 күн бұрын
Barikiwa sana mtu wa Mungu
@monicacastory1626
@monicacastory1626 6 күн бұрын
Powerful teaching prophet May Almight God Bless You
@samwelemmanuel694
@samwelemmanuel694 7 күн бұрын
Nimebarikiwa na ibada ya Leo prophety!! Mungu akubariki Sanaa man of God!🙏🙏
@phidolineprivatus9078
@phidolineprivatus9078 7 күн бұрын
Asante sana mtumishi sema nami kuhusu Hatma yangu
@ChristinaSelestine
@ChristinaSelestine 7 күн бұрын
Amen
@philokintu8012
@philokintu8012 7 күн бұрын
Philomena kutoka USA Mungu ni mwema
@philokintu8012
@philokintu8012 7 күн бұрын
Philomena kutoka USA Mungu ni mwema
@Ordained2030
@Ordained2030 7 күн бұрын
Asante sana mtumishi kwa maelezo ya umuhimu wa intercesors. It’s easy to think we aren't doing much esp. when interceding for people we don't even know. Umetupa mwanga kama wote 😅🙏🙏🔥🔥
@edmoundmystic
@edmoundmystic 7 күн бұрын
Blessings!!
@Ordained2030
@Ordained2030 7 күн бұрын
Amen & amen. Asante mtumishi & ubarikiwe sana pia 🙏🙏 ​@@edmoundmystic
@sskondopoleani9616
@sskondopoleani9616 7 күн бұрын
Mh UONGO HUU SASA UMEZIDI.
@muharamijuma1569
@muharamijuma1569 7 күн бұрын
ACHA UTAPERII NABII UTAKUWA WEWE
@johnkmjema9727
@johnkmjema9727 7 күн бұрын
Hapo kwenye kitabu mmmh
@LeonardEdward-fb2bn
@LeonardEdward-fb2bn 7 күн бұрын
Yameanza kutokea tayari 😢😢