Je wale wenye hela alafu wanaukaribu na waenza wao tuwaweke kundi gani?.... Mimi naamini, ubusy kwa mpenzi wako usio na tija hauwezi kudumisha mafanikio..... Ukiwajibika ulete matokeo chanya.... Wapo wengi wanawajibika, lakini hawana mafanikio... Hakuna Mwanaume USELESS kaka...!. Kwasababu mwanaume ni sawa na mjinga aliyewahi kupoteza funguo yake ya mafanikio, na baada ya muda mwingi, akaweza kuchongesha funguo mpya...nabado akatoboa vilevile... Hawa wanaume wengi wanatakiwa kuombea.... Maana Men ni mtu mwenye maadui wengi sana... Wengine wamekufa kupambana... Wengine wamelogwa... Wengine wamepoteza nguvu, viungo, usaliti kwasababu ya kupambana... Na wachache wamevunjwa moyo.... HAKUNA MWANAUME USELESS....!