Пікірлер
@erickmtasingwa7731
@erickmtasingwa7731 9 сағат бұрын
Aseee nmempenda 🙏🙏🙏
@msigalaerasto1211
@msigalaerasto1211 2 күн бұрын
Hongereni sana Vijana wa Usharika wa Kayanga. Hakika mlilolifanya, Mungu amefurahi na mtabarikiwa kila mmoja kwa wakati wake.
@rosengiloi9381
@rosengiloi9381 3 күн бұрын
Nilikuwa kifungoni ukaja kuniona,Mwenyezi Mungu awabariki.
@geraldshoo6226
@geraldshoo6226 3 күн бұрын
Very nice of Pastor Kalikawe Lwakalinda
@shushastressliveshow9785
@shushastressliveshow9785 3 күн бұрын
Barikiweni
@elct-karagwediocese4244
@elct-karagwediocese4244 3 күн бұрын
Amen 🙏
@eliasmollel8017
@eliasmollel8017 3 күн бұрын
We have seen a lot in life, that's why we ask them not to go against our wishes. We wish them well coz their future is more important to us for a moment but at last they "mark" we parents' as tumepitwa na Wakati.
@elct-karagwediocese4244
@elct-karagwediocese4244 3 күн бұрын
But do you always make it clear before stoping them from doing what they think is good for them? Do we listen to them and understand why they go against our wishes? We still have a long way to go.
@saidbawazir2879
@saidbawazir2879 4 күн бұрын
Msituletee kanisa la wataliano
@saidbawazir2879
@saidbawazir2879 4 күн бұрын
Walijishughulisha na mambo yasio ya msingi
@elct-karagwediocese4244
@elct-karagwediocese4244 3 күн бұрын
@@saidbawazir2879 Sawa
@saidbawazir2879
@saidbawazir2879 4 күн бұрын
Asivuruge mtu amani
@saidbawazir2879
@saidbawazir2879 4 күн бұрын
Kwahiyo unaweza kubadilika ukawa nini tunaelewa viongozi wa kanisa munajisahau yenu ni sala sio zaidi ya hilo
@godfreymussa7676
@godfreymussa7676 5 күн бұрын
Hongera Ask. Bagonza kwa uchambuzi makini, ubarikiwe sana
@elct-karagwediocese4244
@elct-karagwediocese4244 3 күн бұрын
@@godfreymussa7676 Amen
@braytonchavala
@braytonchavala 6 күн бұрын
waaaawo hongereni sana watumishi
@elct-karagwediocese4244
@elct-karagwediocese4244 6 күн бұрын
🙏
@braytonchavala
@braytonchavala 6 күн бұрын
waaaawo hongereni sana watumishi
@elct-karagwediocese4244
@elct-karagwediocese4244 6 күн бұрын
🙏
@Ngaizavedastus
@Ngaizavedastus 6 күн бұрын
Artistic.
@elct-karagwediocese4244
@elct-karagwediocese4244 6 күн бұрын
🙏
@VodacomTanzania-l8c
@VodacomTanzania-l8c 6 күн бұрын
Ongera sana na Mungu awazidishie Kwa Kila mlipo toa
@elct-karagwediocese4244
@elct-karagwediocese4244 6 күн бұрын
Amen 🙏
@ShemeraBenedicto
@ShemeraBenedicto 7 күн бұрын
Mubarikiwe kwa Kazi mlio ifanya
@elct-karagwediocese4244
@elct-karagwediocese4244 7 күн бұрын
🙏
@etbs7332
@etbs7332 7 күн бұрын
Kazi nzr sana hii...
@elct-karagwediocese4244
@elct-karagwediocese4244 7 күн бұрын
@@etbs7332 Ahsante
@MethodiaStephano
@MethodiaStephano 7 күн бұрын
❤❤❤
@elct-karagwediocese4244
@elct-karagwediocese4244 7 күн бұрын
@@MethodiaStephano 🙏
@eliethkikaka372
@eliethkikaka372 7 күн бұрын
Mwenyezi mungu awaongezee pale mlipotoa
@elct-karagwediocese4244
@elct-karagwediocese4244 7 күн бұрын
Amen 🙏
@JonasMulinda
@JonasMulinda 7 күн бұрын
Hongeren kwa kazi njema
@elct-karagwediocese4244
@elct-karagwediocese4244 7 күн бұрын
🙏
@jovinsylivester3601
@jovinsylivester3601 7 күн бұрын
Mwagilamayoge, nimeichukua
@elct-karagwediocese4244
@elct-karagwediocese4244 7 күн бұрын
🙏
@Brightonkatabaro
@Brightonkatabaro 7 күн бұрын
Asanteni sana kwa huduma hii njema sana na ya Ki-Mungu!
@elct-karagwediocese4244
@elct-karagwediocese4244 7 күн бұрын
@@Brightonkatabaro Amen
@MercyPeledawsonTV
@MercyPeledawsonTV 7 күн бұрын
Mungu awabariki sana kwa tendo hili mlilolifanya
@elct-karagwediocese4244
@elct-karagwediocese4244 7 күн бұрын
@@MercyPeledawsonTV Amen
@mrkalabamu4869
@mrkalabamu4869 7 күн бұрын
🙏🏾🙏🏾
@elct-karagwediocese4244
@elct-karagwediocese4244 7 күн бұрын
@@mrkalabamu4869 🙏
@NelsonRodrick-n1c
@NelsonRodrick-n1c 7 күн бұрын
Mbalikiwe kwa Huduma
@elct-karagwediocese4244
@elct-karagwediocese4244 7 күн бұрын
@@NelsonRodrick-n1c Amen
@ramadhanibahati2829
@ramadhanibahati2829 8 күн бұрын
Good
@elct-karagwediocese4244
@elct-karagwediocese4244 8 күн бұрын
@@ramadhanibahati2829 🙏
@maase2023
@maase2023 8 күн бұрын
Maridhiano na nani ww? Chama hakuna viti bungeni maridhiano gani yafanyike ! Hakuna kitu hicho
@elct-karagwediocese4244
@elct-karagwediocese4244 8 күн бұрын
@@maase2023 Hata walioko Bungeni wanahitaji kuridhiana unless kama hujui maana ya MARIDHIANO........
@maase2023
@maase2023 7 күн бұрын
@elct-karagwediocese4244 maridhiano kama chama kuna viti zaidi ya asilimia 30 ndio maridhiano yanafanyika ! Hichi ambacho ccm wanasema maridhiano ni kuwapa moyo chadema wasione wanabaguliwa lkn hawana haki ya maridhiano
@petermfinanga4026
@petermfinanga4026 9 күн бұрын
Hongera sn Baba Askofu Bagonza hakika ww ni kichwa na una madini
@elct-karagwediocese4244
@elct-karagwediocese4244 9 күн бұрын
Amen 🙏
@evanstweve7720
@evanstweve7720 9 күн бұрын
Asante sana kwa maoni yako bora kwa wananchi kwenye mwaka huu wa uchaguzi. 🎉
@elct-karagwediocese4244
@elct-karagwediocese4244 9 күн бұрын
🙏
@togophillimon3776
@togophillimon3776 9 күн бұрын
Watanzania mpo,chambueni maoni hayo,ya Ask bagonza,kabula ya uchaguzi
@elct-karagwediocese4244
@elct-karagwediocese4244 9 күн бұрын
🙏
@HABIBHASSAN-wf5mr
@HABIBHASSAN-wf5mr 10 күн бұрын
HUYU BAGONZA ANAWEZA KUAMUA KESI YA CCM NA CHADEMA ?
@elct-karagwediocese4244
@elct-karagwediocese4244 10 күн бұрын
Pande zote mbili zinaweza kuridhiana kwa Amani. Wao peke yao wanaweza kutengeneza Amani ya watu wao.
@GeorgeKoba
@GeorgeKoba 10 күн бұрын
Naomba nitumiwe huo ujumbe mzito uliyo tumwa na mzee wetu BAGONZA ,kwamaana umejazwa amani utukufu na ni mwanzo mzuri kwa yeyote anaye itakia mema nchi yete Tz, mungu ampe maisha baba ili awe tochi kwenye Giza Nene ambalo litaikumba nchi yetu 2025 +++,amina
@elct-karagwediocese4244
@elct-karagwediocese4244 10 күн бұрын
Amen 🙏
@HenryInyasMrema
@HenryInyasMrema 10 күн бұрын
Adui wa ccm ni Chadema na adui wa Chadema ni ccm ! Vipi viongozi mnahubiri nchi ina mshikamano ?
@elct-karagwediocese4244
@elct-karagwediocese4244 10 күн бұрын
Mungu asaidie iwe kinyume chake
@ManaseJubilate-kk2gz
@ManaseJubilate-kk2gz 10 күн бұрын
Huyu askofu amenyooka km rula kijiko anakiita kijiko ,He is like saw🙌
@elct-karagwediocese4244
@elct-karagwediocese4244 10 күн бұрын
@@ManaseJubilate-kk2gz 🙏
@benedictmrisho1800
@benedictmrisho1800 10 күн бұрын
Wazee ( kuanzia miaka 60) wanaposimulia vijana tulipata uhuru bila kumwaga damu lakini miaka 64 baadae damu zinamwagika, chaguzi si za kuaminiana kiasi cha kuzaa wakimbizi wa kisiasa, kufungana kisiasa, kupotezana , kutesana, kutupa miili ya Watanzania na kuwa na wasiojulikana ktk taifa huru miaka 64 ambayo ni umri wa babu, kutokulaani maovu ama kukemea maovu , hawawezi kuelewa wazee wa nchi hii. Ipo haja wazee taifa hili bila kujali itikadi zao, dini zao, haiba, kabila, upande wa muungano, heshima za kisiasa, mamlaka, chombo gani , wawe na baraza la taifa la usuluhishi na upatanishi kabla ya kampeni za uchaguzi mkuu kuanza. Ushahidi ni kuwa alipotezwa na kuuwawa mzee mwenzao kwa hiyo sio vita ya vijana tu. Sasa kuna mzee mwenzao tena balozi wa kuheshimika anayo kesi ya kujibu mahakamani itokanayo na mdomo wa kisiasa. Si hivyo tu kila chama kina baraza la wazee ambao kama vile hawana meno na haifahamiki kama wanaheshimika na jamii kadiri ya mila na desturi za Kiafrika kuamini " wazee ni dawa, wazee ni hazina ya busara na hekima wazee ni watu wa haki uwazi na ukweli". Kuna hatari vijana wa taifa hili wakawa wanawaona wazee kama wazee poa tu, ama wazee noma, ama wazee wanafiki nafiki tu, ama wazee waongoongo ama wazee hovyo vyovyote vile watakavyoweza kuwaita wazee wa taifa hili. Wazee iko haja kurudisha heshima yao ktk jamii ya taifa hili haraka iwezekanavyo. Mungu wafunulie wazee wa taifa hili wajitambue.
@benedictmrisho1800
@benedictmrisho1800 10 күн бұрын
Wazee ipo.kazi. Vijana kila wakitafakari wazee hawawaelewi vizuri. Wazee wanakwenda nyuma na mbele .
@elct-karagwediocese4244
@elct-karagwediocese4244 10 күн бұрын
@@benedictmrisho1800 .....
@muharamijuma1569
@muharamijuma1569 10 күн бұрын
WÀMƁIE CHADEMA WA FANŸE NA MBOWE AMEWA MBIA CCM WAFANYE YA NINI ? KUWA MKWELI !!
@elct-karagwediocese4244
@elct-karagwediocese4244 10 күн бұрын
@@muharamijuma1569 Wewe pia unaweza kuwaambia mwenyewe
@GeorginaAnatory-u1z
@GeorginaAnatory-u1z 10 күн бұрын
tusiwaseme watumishi wa Mungu vibaya
@elct-karagwediocese4244
@elct-karagwediocese4244 10 күн бұрын
@@GeorginaAnatory-u1z Hakika 🙏
@elimikasasa643
@elimikasasa643 10 күн бұрын
Kwanini?
@AnyosisyeKiluswa-fe2eu
@AnyosisyeKiluswa-fe2eu 10 күн бұрын
Hoja ya nguvu ya askofu Bagonza, Tunamshukuru Mungu kwa kulipenda Taifa letu na ametujalia watu wenye vipawa mbalimbali.
@elct-karagwediocese4244
@elct-karagwediocese4244 10 күн бұрын
Amen 🙏
@NyitikaMbusiro
@NyitikaMbusiro 10 күн бұрын
Amina
@elct-karagwediocese4244
@elct-karagwediocese4244 10 күн бұрын
🙏
@williamalphonce3534
@williamalphonce3534 10 күн бұрын
Mtangazaji unaupiga mwingi
@elct-karagwediocese4244
@elct-karagwediocese4244 10 күн бұрын
🙏
@wazirewazire7092
@wazirewazire7092 10 күн бұрын
Hivi na huyu Hana Chama? hiyo Kauli yakenatoka Rohoni?
@elct-karagwediocese4244
@elct-karagwediocese4244 10 күн бұрын
Ukweli anao msemaji 😄. Sisi ni wasikilizaji.
@MasoudMgassa
@MasoudMgassa 10 күн бұрын
We ni kiboko aisee nimekuelewa zaid ya ulivyoelewa wewe muongeaji
@elct-karagwediocese4244
@elct-karagwediocese4244 10 күн бұрын
🙏
@penifordjeremiah
@penifordjeremiah 10 күн бұрын
Vichwa kama hivi ni hazina kwa taifa vinafaa kuenziwa maana si vingi ndani ya nchi yetu. ASANTE sana Asikofu pamoja na afisa habari kutuletea makala hii. Mungu awabariki sana
@elct-karagwediocese4244
@elct-karagwediocese4244 10 күн бұрын
Amen 🙏.
@amanieliya3710
@amanieliya3710 10 күн бұрын
Asante Askofu kwa comments zako. Lakini nyingi BILA kufafanua hadi ueleweki. Kama kiongozi uwe wazi zaidi. Mpenda amani,DSM.
@jesaminzo
@jesaminzo 10 күн бұрын
❤❤
@elct-karagwediocese4244
@elct-karagwediocese4244 10 күн бұрын
🙏
@dizzboss7526
@dizzboss7526 10 күн бұрын
Dada mtangazaji umeolewa? Kama hujaolewa bwana akuongoze unijibu
@elct-karagwediocese4244
@elct-karagwediocese4244 10 күн бұрын
Haha 😄. Ahsante
@dizzboss7526
@dizzboss7526 10 күн бұрын
@elct-karagwediocese4244 nimepata maono usinicheke
@NgendandumweAlouise
@NgendandumweAlouise 10 күн бұрын
Ccm kwenye maridhiano niwaongo ikifika uchaguzi wanabadilika kutumia vyombo vyaulizi wakurudezi wasimamizi wa uchaguzi tamisemi wanaenguwa wapinzani bila woga hata mawakala wanazuiliwa kuingia kwenye vituo vyakula
@elct-karagwediocese4244
@elct-karagwediocese4244 10 күн бұрын
Mungu asaidie 🙏
@zaidsaidmwinori5708
@zaidsaidmwinori5708 10 күн бұрын
Bagonza una choko choko kuwa makini
@jangalaalexbubehi7658
@jangalaalexbubehi7658 10 күн бұрын
Wewe ni nani ??
@elct-karagwediocese4244
@elct-karagwediocese4244 10 күн бұрын
Sawa 🙏
@elct-karagwediocese4244
@elct-karagwediocese4244 10 күн бұрын
Haha 😄
@LwakalindaBagonza
@LwakalindaBagonza 10 күн бұрын
Mwinori vipi tena mbona umegeuka?
@FrancisThomas-jc8wq
@FrancisThomas-jc8wq 8 күн бұрын
Tumia akili
@romanaolomi2997
@romanaolomi2997 10 күн бұрын
Dada mtangazaji hongera kwa sauti na umakini wakusoma.pongezi kwa Kongozi mleta hoja tupo shule.
@elct-karagwediocese4244
@elct-karagwediocese4244 10 күн бұрын
Ahsante
@romanaolomi2997
@romanaolomi2997 10 күн бұрын
Dada mtangazaji hongera kwa sauti na umakini wakusoma.pongezi kwa Kongozi mleta hoja tupo shule.
@elct-karagwediocese4244
@elct-karagwediocese4244 10 күн бұрын
🙏