Very kin analysis. Beyond immaculate 💯💯 BKB Mungu aendelee kumtunza
@elct-karagwediocese4244Ай бұрын
@@MwanahawaaMkanza 🙏
@uoendokivuyo6589Ай бұрын
Mungu akubariki una maono makubwa na mema kwetu waumini
@elct-karagwediocese4244Ай бұрын
Amen
@JohnBosco-d3gАй бұрын
This Bishop is Genius!!!❤
@elct-karagwediocese4244Ай бұрын
@@JohnBosco-d3g 🙏
@dastandomition7665Ай бұрын
Ahsante sana Baba Askofu kwa kazi njema unayoifanya...! Baba Askofu, KAZI YAKO INANIKOSHA SANA. Ni ukweli kabisa kuwa Mafundisho potoshi yanasababishwa na ugumu wa maisha! Wakati watu wanatafuta unafuu wa maisha, matapeli huwanasa na kuweza kuwaibia kwa mgongo wa jina la Yesu Kristo. Aidha, kwa mtazamo wangu naona kuwa Mafundisho potoshi yanatokana na watu wengi kujiamilia kuwa watumishi wa Mungu bila kupata elimu wezeshi kama falsafa, sosiolojia n.k. Kuna mtu unakuta anatoposha NENO si kwa kupenda, isipokuwa naye anakuwa hajui maana yake hasa ukilinganisha kwamba BIBLIA imeandikwa kwa mafumbo! Naomba kuwasilisha!
@elct-karagwediocese4244Ай бұрын
Ahsante Sana kwa maoni yako mpendwa.
@DennisAnthony-j5yАй бұрын
Ukristo umeshakuwa wa kihuni mfano mwanamke ni wapi maandiko yamemuamuru awe mchungaji?
@stanleyngoda1554Ай бұрын
Jambo zuri sana hili na ni kuungwa mkono lifike na kuwafikia wengi zaidi kote duniani hususani Afrika
@elct-karagwediocese4244Ай бұрын
@@stanleyngoda1554 🙏
@uoendokivuyo6589Ай бұрын
Mungu atusaidie hakika
@elct-karagwediocese4244Ай бұрын
🙏
@akonaayako7185Ай бұрын
Hii kauli ya Askofu ni muhimu sana kuzingatiwa na vyombo vya dona kuhusu usafirishaji magendo kwa njia ya mahubiri huko Kongo DR.
@elct-karagwediocese4244Ай бұрын
@@akonaayako7185 🙏
@enezaeliakyoo2086Ай бұрын
Nimefurahi mno Kwa ufafanuzi mzuri mliotoa Viongozi wetu Wa dini hususani wachungaji
@elct-karagwediocese4244Ай бұрын
@@enezaeliakyoo2086 🙏
@gracekagoma3231Ай бұрын
Umeongea logic🎉
@gracekagoma3231Ай бұрын
Bishop u b arikiwe
@elct-karagwediocese4244Ай бұрын
🙏
@PaulsadickYosiaАй бұрын
Glory to God aliye kufunulia
@elct-karagwediocese4244Ай бұрын
🙏
@RastaMany-p8xАй бұрын
Asante baba askofu bagonza
@elct-karagwediocese4244Ай бұрын
🙏
@yohanalaizer5706Ай бұрын
We love it
@elct-karagwediocese4244Ай бұрын
🙏
@PaulsadickYosiaАй бұрын
Hongerenii sanaaa
@elct-karagwediocese4244Ай бұрын
Ahsante
@cosmasmilanzi7117Ай бұрын
MATHAYO 24:11 "Na manabii wengi wa uongo watatokea, na kudanganya wengi"!
@elct-karagwediocese4244Ай бұрын
Kwakweli
@akonaayako7185Ай бұрын
Vyombo Vya Dola Vifungue Masikio na kuchukua hatua kupambana na hali hiyo.
@elct-karagwediocese4244Ай бұрын
@@akonaayako7185 🙏
@gracekagoma3231Ай бұрын
Tusisahau kuwa kuna watu kama akina Mwamposa na manabii wengine tu Tz.ni hatari
@elct-karagwediocese4244Ай бұрын
😢
@raynoldchristopher-g2fАй бұрын
Baba askofu ubarikiwa sana umesema kweli mimi ni mpendekoste natamani uje kilimanjaro kutoanelimu hii muhimu
@elct-karagwediocese4244Ай бұрын
@@raynoldchristopher-g2f 🙏
@innocentb.s4008Ай бұрын
Njaa na umaarufu 😢
@elct-karagwediocese4244Ай бұрын
😢
@ManswetKimarioАй бұрын
Ni kweli huyu Askofu ni genius ila laiti angesema ukweli kuhusu (1)UTATU na Kudai kuna (2)Maisha baada ya kifo hali tunahubiri UFUFUO maana nayo ni upotoshaji wa ukristo au tuache magugu na ngano viote pamoja siku ya mwisho ndo kitaeleweka mbele ya mwana wa Adamu?
@elct-karagwediocese4244Ай бұрын
@@ManswetKimario Swali lako litajibiwa kipindi kijacho, endelea kufuatilia