Ndugu zangu waislamu, vovote tutakavyo tofautiana tuweni na adabu katika kutofautiana. Hkn aliyekulazimisha ufwate mahali fulani, fwata utakapo lkn musitukane watu kwakuwa wafwata kwengine. Umeamuwa kufwata Saudi fwata na twakwambia Saum Maqbul na Eid Mubarak na kwa wale waliofwata mwandamo wa kwao pia fwateni na twawaambia Saum Maqbul na Eid Mubarak. Tutafautiane lakini tuheshimiane. Ajuaye zaidi ni Mola tu kwaio fwata utakapo hesabu tumwachie Maulana.
@azizayassin36235 ай бұрын
Hakika😢
@softymoha54845 ай бұрын
@@momombarakathman2357 saudia haitofautiani...kaka,,,africa ndio tunatofautiana. Mimi nipo saudia....lakini arafa ni jumamosi...
@aishamponzi28235 ай бұрын
Asalaam aleykum.....mimi kuna kitu napenda kushare na jamii ya waislaam,kwanza tusome tuijue dini yetu vizuri .....ucibishane na mtu aliyekuzidi elimu,pia msingi bora huanzia nyumban kama mtoto lazima umueshimu babaako kabla ya kuheshimu baba wa jirani.lazma ufate muongozo wa shekh au imamu wako coz ata tukifa atuzikwi saudia tutazikwa na mashekh wetu na ikiwa wanakosea baci wao ndo wanadhima mbele ya allah ni kama tunapofunga swala imam ndo anadhima kwa maamuma.mbona katika swala na ni nguzo kubwa ya uislaam kila mtu anaswali kwa misingi yake atufati saudia .....wabillah taufik wasallaam aleykum.
@momombarakathman23575 ай бұрын
@@softymoha5484 mm npo jeddah dadangu dammam wao ni kesho ni vile watu hawasemi public wanafuata nafsi zao
@mwantumushamsi44005 ай бұрын
Mashallah
@AjrasMobile-q8j5 ай бұрын
Nmekusikiliza nikiwa Oman shekhe wangu arafa yetu ni j2 na eid tutakula j3 oman in shaa Allah
@habibasalim30925 ай бұрын
Watu wa Oman siku zote muko masufi mnapinga watu wa saudi
@badruhote46075 ай бұрын
Masufi ni nini? Akh@@habibasalim3092
@genius00455 ай бұрын
Alhamdulilah, this year the grave worshippers prayed Eid on a different day than the day all Muslims prayed.
@ARNOLDKARISA-fs3ht5 ай бұрын
mashaallah ukumbusho mzuri Allah akuhifadhi ustadh wetu
@Fatuma-t9m5 ай бұрын
INAA LILLAHI WAINA ILEYHI RAAJIUN Shekhe arafa ni moja hakuna arafa mbili mahujaji wamesimama leo arafa wacha kugawanya umma mche Allah
@anwarsaddat40635 ай бұрын
ALLAH akuzidishie umri na afya uzidi kutuelimisha💯nakuskiza kutoka Nairobi ❤inshaAllah tutaidi monday
@awadhally10525 ай бұрын
Mbona mnapewa dalili ya maulid ni bidaa bado mnacheza madogoli yenuuu
@anwarsaddat40635 ай бұрын
@@awadhally1052 na nyinyi mnapewa dalili za kisalifiyah 🤣ila mimi siko katika kubishana brother wewe fuata utakalo nashindana na amali zangu .Na iddi monday inshaAllah kw sheikh Mbarak aweis hapo ndipo roho yangu inaona utulivu na ilimu yenye busara.Wewe wa jumapili ALLAH akupe iddi njema yenye furaha wewe na familia yako inshaAllah🤲
@AbdallahHamad-ib5wf5 ай бұрын
Sheikh Bado hujamaliza ,Elimu Bahari.endelea kutafuta. Soma sayansi,geography na astronomy.
@fatmasalim82935 ай бұрын
Mashallah tabarak allah sheikh Allah akubarik yarab amen ❤❤❤❤❤
@ZainabJolie5 ай бұрын
Wanafunzi w shekh Nurdeen kishki tushafundushwa kuhusu hiyo hadithi. Arafa ni moja na sote tutafunga jmos insha Allah kheri Allah
@LionKijazi5 ай бұрын
Kumbe ww imamu wako ni kishki
@AIFOSMUGOTV5 ай бұрын
Kama ushamsikiza Sheikh vizuri halazimshi mtu awe pamja na yeye,,ukifunga pamja saudia ama ufuate mathlai ya sehemu ya kwenu basi hakuna shida in sha Allah sote tuko sawa.
@ZainabLuvisia5 ай бұрын
Na sisi tuko Saudia
@habibasalim30925 ай бұрын
But atafa ni moja
@LionKijazi5 ай бұрын
@@habibasalim3092arafa ni moja mwezi 9
@MAHMUDABDALLA-d4u5 ай бұрын
Masheikh wasikuiz wako biasharani waacheni watengezeni hela za duniani hawamuogopi Allah hawa🙏
@firdaushamid82005 ай бұрын
Masha Allah shekh Azudin anatueleza vizuri Killa mtu afuate pale anapotaka sikama mashekhe wengine wanalazimisha watu wafuate suudya
@brekhemed8535 ай бұрын
Tutasimama na wa Isilamu wote wa Ulimwengu waliokusanyika Arafaa . Arafaa ni Moja . Mwezi ni Moja . Tafauti ni wakati si Siku . Arafaa ni Jumamosi na Kenya si itakua Jumamosi . Alie shuhudia Mwezi na akaapishwa si ndie ata beba ukweli au Uwongo. Ma Sheikhi Wetu Malumbano kwenye mitandao haufai . Tufuate Quraan na Mtume Mohammed Swalalahu Aleyhi Wasalama .
@MendradYeremia5 ай бұрын
Ni kweli satellite bni moja tuna pishana masaa tu huyu shekh elimu bado Sanaa kasome shekh
@habibasalim30925 ай бұрын
Maa shaa Allaah yes
@taseleli91815 ай бұрын
Hakuna alieyekatazwa kufanya kile anachoamini shekhe aachwe kama anavyoamini hajamlazimisha mtu kufanya afanyavyo yeye.
@ismailsoud36345 ай бұрын
Ma Sheikh na Ma ulamaa wetu wamepitwa na elimu elekezi. Tatizo kubwa wameiacha Qur'an wamefuata vitabu vilivyo andikwa na waarabu. Ambavyo vinawapoteza. Wakati wa Mtume, wapotoshaji wapingaji, wakataa ukweli walikuwapo, Sasa utaaminije vitabu vyao? Miaka na miaka ufumbuzi hakuna, iwe mwezi mwandamo, iwe maulidi, iwe Arafa. Kila sheikh anasema lake. Hii nie fitina kuifini Dini ya Mwenyezi. Mungu, lakini wao hawajuwi. Mala kuna majini wema, urongo mtupu. Hakuna majini wema. Ukweli unashuka punde tu, kila kitu kitakuwa bayana bi idhnillah.
@ismailsoud36345 ай бұрын
@@taseleli9181 Sheikh usemi huo anakosea sana, angesema kuwa haifa au inafaa. Waumini wajuwe. Lakini mwa kauli yake inaonyesha hana msimamo katika kuitetea haki.
@Hamis-ks1sy5 ай бұрын
Alhamdulillah,leo ndio nimeelewa vizuri ile kauli ya iman Shafii rahimahullah kwamba masufi waweza kuamka asubuhi na akil mchna wakawa vichaa
@UmmyHassani-j2o5 ай бұрын
Mche mola wako
@mwinyimwinyi33235 ай бұрын
Maashaallah kwakutuilimisha na kutupa ufahamu hii ndio usawa wa kuilimisha mtu kumpa ufahamu juu ya ilimu ya jambo
@SaidAlriyamy-c6r5 ай бұрын
Uislaam ni uleule tangu asili mimi uislaam mpya siutaki
@Mumewangu5 ай бұрын
Huyu sheikh wapo watakao mkataa lakin ana elimu na ndani yake INA Hekma na Busara. Na anahoja ya nguvu sana
@AbdulIssa-o7e5 ай бұрын
Mpotoshaji amepinda huyu atizo bidaa sna zambua laiti angeacha bidaa ni shekhe safi lakni daah ! Bidaa kitu kibaya kinampoteza mtu sana katika dini
@Mumewangu5 ай бұрын
@@AbdulIssa-o7e ametoa ushahidi wa Hadith na wewe toa yakwako ili tujuwe nani bidaa kati yako na yeye?
@hamyaralsharji87025 ай бұрын
Maneno mazuri saana
@MohamedYahya-rb2zw5 ай бұрын
Shukraan ustadh ambaye hakuelewa hakutaka tu!.
@jimjam-xg7rv5 ай бұрын
Maa Shaa ALLAH 💚
@SaidAlriyamy-c6r5 ай бұрын
Hatutaki agano jipya
@JamilaKassim-dt8fd5 ай бұрын
Araffa ni Moja tu duniani we sufi
@MohamedSwaleh-d2m5 ай бұрын
Mwezi ni moja Ila Kuna tafauti Ila nyinyi hamutaki kuambiwa
@GgGg-ol4lh5 ай бұрын
Kweli hawa hata ukawambia ukweli bado watakuja na tawilat zao
@RamaMwamsinga5 ай бұрын
Shekh ogopa Mungu wapoteza waumini wewe chunga sana
@Zainab-qg6xv5 ай бұрын
Huku pia twafunga kesho Oman
@mohamedali75445 ай бұрын
Kina mbaxi Mashehe tende Hao
@AminKanefu5 ай бұрын
Mashallah
@JabirAbdulhalim5 ай бұрын
Subhanallah wamaanisha Arafat inayofanyika sudia ni batwil
@ustadhfarouq77295 ай бұрын
Sheikh Izzudin jambo ambalo Waislam wengi hawajui nikwamba Saudia ama Qatar wako na calendar yao,hii Calendar ya kiislam haifuati mwezi sababu kuna miezi mungine iko na siku 29 ama 30 lkn Saudia hufuata hyo calendar yao ilivyoandikwa wala sio eti watasimama inje kutimaza mwezi....na pili kufuata Saudia ni kichekesho mfano tu Dhuhr huku watu husali 11:45 asubuhi je wenye kuwafuata husali saa hiyo?Kila taifa ama inchi na time zake na mwezi wake.....
@maalimhamad12975 ай бұрын
Kama hujakua cjizi haujabakia mbali
@AjrasMobile-q8j5 ай бұрын
Naam hakika maana trh ya kalenda ya saudia na salatuk xinatofautiana salatuk arafa nikesho j2 na eid j3 acha ss tufate mwandamo wa mwezi in shaa Allah na waofata kalenda kila la kheir
@rashidhemed53315 ай бұрын
Kwan waliofunga zaman kuanzia miaka ya tisin kurud nyuma walikuwa hawana arafa maana huwezi kujua kama saudia wamesimama arafa na wao tunawaweka mahala gan tecchnolojia isitugawe
@hilaljaffery40115 ай бұрын
Akhui ilo ndo swali muhimu sana maan turudi miaka 100,200 na 300 uko nyuma walikuwa wanafunga vip?walituma watu waendee makkah wakaangalie siku ya arafa itakuwa lini?au walifunga kwa kufata nwezi?
@TheFutureWillBeDifferent5 ай бұрын
Napenda ukweli...hawana jibu kwa hilo
@husseynomar95235 ай бұрын
Akhuy Hili ndo swali ambalo inabidi ndugu zetu wanofunga kisimamo cha Arafa walijibu ila hupati jibu lilonyooka. Tusisahau kuwa Mtume kabla hajafa Allah aliyakinisha kuwa Dini yetu kashaikamilisha. Sasa je Enzi za Mitume na miaka hiyo isiyokuwa na technology Watu walikuwa wanajua vipi kwamba leo Makka washasimama Arafa?
@RashidAli-rn3ro5 ай бұрын
Hawana jibu la kielimu kwà suali hilo
@abedishafii20545 ай бұрын
Maashaallah
@awadhjamal34305 ай бұрын
Arafa ni siku sio trh
@abuunaraimansalumal-shaib92605 ай бұрын
Tatizo sheikh wangu hupekui vitabu
@MAHMUDABDALLA-d4u5 ай бұрын
Swadakta
@bakaribakari64445 ай бұрын
Hapana ni chuki yako ....kwa sababu hajasema yanayoendana na matamanio yako
@ThureyyaMohammed5 ай бұрын
Una uhakika wewe
@Fatuma-t9m5 ай бұрын
Shekhe enda Saudia ukasome dini
@MohamedSwaleh-d2m5 ай бұрын
Jee ww umenda
@SaidAlriyamy-c6r5 ай бұрын
Swadakta sheikh izudin
@salehthesword5 ай бұрын
Shee kidevu chachandu una vituko sana 😂
@nurmohammedsuleiman42375 ай бұрын
Shekh nenda kasome usiupoteze umma
@MohamedSwaleh-d2m5 ай бұрын
Je ww umesoma ama uko na elmu kumshinda yy
@المسلم-ف8د5 ай бұрын
Shehe nenda katafute ilm wacha kutafuta umashuhuri umekuwa wale wa خالف تعرف
@user-rachelkemei5 ай бұрын
Asalaam aleikum waramatulillah wabarakatu swali langu. Upande na sisi kina dada, mtu kamaliza damu yake ya hedhi kaoga ijumaa kujianda kufunga siku ya arafa anayo ni kesho(jumamosi) hapa Saudi pia ni Haramu? Shukran
@ellyndaprincess32355 ай бұрын
Aisee nakukubali mnoo❤❤❤
@SaidAlriyamy-c6r5 ай бұрын
Hawatorizika manaswara mpaka tufate mila zao
@kinghytham41525 ай бұрын
kwa nini saudia wanafunga kesho
@AminaNakaweesi-be7gg5 ай бұрын
Am confused now which is which
@المسلم-ف8د5 ай бұрын
Arafa hii yenu ya jumapili IPO wapi
@innocentjay58445 ай бұрын
Nyinyi kina Nani
@AbdulIssa-o7e5 ай бұрын
Izudiini khurafati wa usufi mzushi katika wazshi
@mohdkharousy7045 ай бұрын
Jealous
@SaidAlriyamy-c6r5 ай бұрын
Mwongozo tunao quraan na suna
@ghalibhemedsaid93065 ай бұрын
[حديث النهي عن صيام السبت] حديث النهي عن صيام السبت حديث مضطرب لايصح، وفي متنه نكارة، لمخالفته الأحاديث الصحيحة، والقول بظاهره يخالف الإجماع. وقد أعله من الأئمة: ١- الزهري. ٢- مالك. ٣- الأوزاعي. ٤-يحيى القطان. ٥- أحمد. ٦-النسائي. ٧- الطحاوي. ٨- ابن العربي. ٩- ابن تيمية ١٠- ابن القيم. ١١- ابن حجر. قال شيخ الإسلام رحمه الله في شرح كتاب الصيام من عمدة الفقه (2/653): (وهذا يدل على توقفه -يعني الإمام أحمد- عن الأخذ به -يعني حديث النهي عن صيام السبت- لأن ظاهر الحديث خلاف الإجماع). دراسة الحديث وبيان ضعفه وأنه لا تقوم به حجة: *الشيخ الدكتور عرفات المحمدي*
@rehemaamani71365 ай бұрын
Ameen
@OmanOma-xi3hm5 ай бұрын
Kilamwaka ikifika EDD yamfungo tat mna kuchanganya kama ndokwanza mnateremshiwa Qua ni taeahe zinajulikana lkn mpaka mtarafuane mashekhe
@SaadaSaid-d4k5 ай бұрын
Shukran kwa kutuelimisha Sheikh
@isihakakarimu29405 ай бұрын
Naam
@nasirabdul22145 ай бұрын
Watu wanaofuata mwezi wa saudia hawawafuati Hawa mashekh, qauli yao ni kila nchi wafuate mwandamo wao, kwa hivo usilazimishe kitu
@hadiyamohamed5945 ай бұрын
Alhamdullilah Allah kanijaaliya ku wa msomali sijasikia ma sheikh wetu wakilumbana kama wa east Africa . Miaka yote arafaa ni moja basi katafute makkah yenu na wabao support wa kasinsne arafaa yao . Msjibizano ya nini ?
@addaalmedia5 ай бұрын
Arafa yao iko lamu
@MAHMUDABDALLA-d4u5 ай бұрын
Kabisaa
@FatmaAmour-y1t5 ай бұрын
Kabisaa
@softymoha54845 ай бұрын
si mimi nafikiria kalenda ni moja? sasa inakuaje mnafuata mashekh...au mwafwata saudia?...kalenda ya kiislam ni moja dunia nzima. arafa ni jumamosi... Eid ni jumapili....mbona wengine arafa iwe jumapili? aiii...wacheni kuchanganyikiwa...fwateni kalenda
@kombohassan4805 ай бұрын
Wapo wengi masheikh kama hawa ambao wanajali maslahi kuliko dini.
@AliAbdul-ve5ve5 ай бұрын
Kwani arafaa wetu wasimama wapi kuna nchi yyte yasimama arafaa isipokuwa saudia
@mustwafabadawy14735 ай бұрын
Assalam alaykum! Sikilizeni elimu, musiwe mahakimu wa kumhukumu mtu. Sheikh ashasema, tuchukue khatuwa ya kuenda kusoma... Tutafute vitabu na walimu wa elimu ijapokuwa ni China. Umekinaika na sheikh, sawa... Kama hujakinaika, twendeni tukasome kwa vitabu na walimu, sio Google. Shukran
@khamisrubea50835 ай бұрын
Wanafanya bidaa
@SaidihamisiSewando5 ай бұрын
Wewe nagengelenu fuateni Jamaica waacheni waislamu wafuate waislamu wezao walioko maka maananyinyi mnataka kuwapotezea siku muhimu ya arafa nyinyikaeni na upotofuwenu msiwashawishi waache kuwafuta nduguzao
@HamadaZubeirTahir5 ай бұрын
Ukisikia ujinga ndiokama huo.
@HamadaZubeirTahir5 ай бұрын
Ungetafuta Vitabu kwanza ukasoma angalau ukajua kutawaza maviyoo
@husna345625 ай бұрын
Mbona makasiriko 😢
@omarmassemo62265 ай бұрын
Sikuungi mkono kabisa
@husna345625 ай бұрын
Mashehk mnajua kituvuruga mungu anawaona 😂
@ismailsoud36345 ай бұрын
Asilimia kubwa miongoni mwa masheikh wetu, ukitazama sana utaona kwanza elimu zao zinakinzana, haijulikani kuwa huyukasoma wapi na huyu vipi. Matokeo yake wanafikia kumfitini Mwenyezi Mungu asijulikane. Maana hakuna mmuafaka, mbona miaka 1960's haya hayakuwepo?
@tallyfa05saeed675 ай бұрын
Kaw mfano Namaliza period ijumaa usiku ndio najitoharisha kwa ajili ya ibada jee naweza funga jumamosi vile nilikuwa na ushuru wa kisheria
@madrassatulihyaa-ilislaami29115 ай бұрын
Ndio unaweza c ushakuwa twahara
@swalehbakari26675 ай бұрын
Kasome tena wew uwa sumbua watu ambao awaja soma
@HamadaZubeirTahir5 ай бұрын
Wewe umesoma wapi
@HafsaOmar-vp8id5 ай бұрын
Kwaio ukiwa unaswali tu kwa mambo yako ucku wakuamkia ijumaa ni dhambi pia
@hassanmohamedabdalla41085 ай бұрын
عبادة الله بالغناء بدعة يهودية: في المجتمع الصوفي يتفشى ما يسمى بالسماع والتغني بالاشعار مع دق الطبول وهذا يقصد به الصوفية عبادة الله تعالى, ويتضح تأثر الصوفية به الا ان كثيرا من الذين بحثوا في هذا الجانب يؤكدون على ان الصوفية يتأثرون بالسماع من خلال الالحان والاشعار والطبول أكثر من تأثرهم بالقرآن يقول الشعراني: "وكان اذا سمع القرآن لا تقطر له دمعة, واذا سمع شعرا قامت قيامته".. يقول شيخ الاسلام ابن تيمية "ولو كان هذا ـ يقصد سماع الاشعارـ وضرب الدفوف كعبادة ـ مما يؤمر به ويستحب وتصلح به القلوب للمعبود لكان ذلك مما دلت الأدلة الشرعية عليه" ويضيف "انما عبادة المسلمين الركوع والسجود اما العبادة بالرقص وسماع الاغاني بدعة يهودية تسربت الى المنتسبين الى الاسلام". مظاهر تقديس الاموات في الفكر الصوفي: ان من ألوان تقديس الأموات والغلو فيهم ان يعتقد ـ وهذا ما يفعله المتصوفة ـ ان الميت وليا كان ام نبيا لابد ان يرجع الى الدنيا, وانه متى ما اراد ان يعود الى بيته عاد وكلم اهله وذويه, وتفقد اتباعه ومريديه, وربما اعطاهم اورادا الى غير ذلك مما يعبر عن عقيدة موغلة في الجهل بعيدة عن عقيدة الاسلام الصافية. ومظاهر عقيدة الرجعة عند الصوفية تتمثل في اعتقادهم بامكان مقابلة الرسول بعد موته يقظة وانه صلى الله عليه وسلم يحضر بعض اجتماعات الصوفية وانه مازال يعطي بعض المعارف والتشريعات لمن يشاء من العباد. ويوغل المتصوفة كثيرا في تقديس الاموات وهذا يتضح من خلال تقديس المشاهد والبناء على القبور وتجصيصها واتخاذها مساجد, وقد تساهل المسلمون في ذلك كثيرا حتى نجد انها عمت كثيرا من بلاد المسلمين دون وعي بنتائج ذلك والتي من اهمها: ان تقديس المشاهد والبناء على القبور صار شائعا وكأنه معلم من معالم الدين الاسلامي, وان تقديسها ذريعة الى الشرك, حيث ادى البناء على القبور وتعليتها وتزيينها الى اتخاذها معابد وشرعت لها مناسك كمناسك الحج, كذلك فان تقديس المشاهد اساءة للاسلام عند من لاعلم به بتعاليمه, فنجد ان وسائل الاعلام الحاقدة على الاسلام تنقل وتقدم هذا التقديس على انه صورة الاسلام!! وبالتالي ما الفرق بين عبدة الأوثان والصليبيين وهؤلاء؟ كما يضاف الى نتائج اتخاذ القبور وتقديس المشاهد هو انتشار البطالة في العالم الاسلامي بسبب العكوف على القبور واتخاذها مصدرا اقتصاديا.
@@saidshariff9600 leta dalili zenu iwe kwa kitabu na sunna
@AbuuzuhairMuhammad5 ай бұрын
Hawa wenzet uchanganuzi wao mdogo hawan hadithi inayosema makka wkisimama ndo tufunge hawan
@AboudAli-y6p5 ай бұрын
Arafa ya jamaica
@irhadiddi945 ай бұрын
Kwani arafa sinisiku yakusimama saudia au vip jamani sasa ikiwa saudia watasimama jumamosi vip sisi tufunge Jumapili hii itakuwa arafa ipi
@lordenoughforme44175 ай бұрын
Uyu hata hajielewi.kazi nikufuata masheikh wao wakisharifu.
@omarmassemo62265 ай бұрын
Kwa sababu kulingana na Qur'an tukufu ni haramu kufunga siku kuu na jumapili ni sikukuu wafungaje wewe hatutakiwi kufuata wanazuoni ila Muhammad na Qur'an tu
@hassanmohamedabdalla41085 ай бұрын
عقيدة الصوفية في الاولياء: يرى الصوفية ان الولي هو: "من يتولى الله سبحانه امره فلا يكله الى نفسه لحظة, ومن يتولى عبادة الله وطاعته, فعبارته تجري على التوالي من غير ان يتخللها عصيان" وحقيقة الولي عند الصوفية انه يسلب من جميع الصفات البشرية ويتحلى بالاخلاق الالهية ظاهرا وباطنا , ويصل الى المساواة مع الله سبحانه وتعالى حيث يعتقد الصوفية في الأولياء بأن لهم القدرة على انزال المطر وشفاء الأمراض واحياء الموتى وحفظ العالم من الدمار. ولا شك ان هناك آثارا خطيرة تترتب على هذه العقيدة من اهمها الوقوع في شرك الربوبية والعياذ بالله. عقيدة الصوفية في الجنة والنار: الصوفية يعتقدون ان طلب الجنة والفرار من النار ليس هدفا , فالله يعبد لذاته حيث يزعم المتصوفة ان العبادة الحقة هي ما كانت دون طلب العوض من الله وان يشهد فيها فعل الله لا فعل العبد, وان من شاهد فعله في الطاعة فقد جحد. والصوفية يعتقدون ان طلب الجنة منقصة عظيمة وانه لا يجوز للولي ان يسعى اليها ولا ان يطلبها ومن طلبها فهو ناقص, وانما الطلب عندهم والرغبة في الفناء (المزعوم) في الله, والاطلاع على الغيب والتعريف في الكون.. هذه جنة الصوفي المزعومة. واما النار فإن الصوفية يعتقدون ايضا ان الفرار منها لا يليق بالصوفي الكامل لان الخوف منها طبع العبيد وليس الاحرار. وقد يظن المسلم في عصرنا الحاضر ان هذه العقيدة في الجنة والنار عقيدة سامية وهي ان يعبد الانسان الله لا طمعا في الجنة ولا خوفا من النار, ولكنها عقيدة غير صحيحة ومخالفة لعقيدة الكتاب والسنة.
@Gojeya5 ай бұрын
Wewe.nisheya mogope mungu
@m.n.a23065 ай бұрын
Je kufwata quran kuwa mtume s.a.w alisema fungeni siku ya arafa? Sasa arafa kuna mbili
@lordenoughforme44175 ай бұрын
Sheikh wanidai nusu ya alele😅
@yusufmwangichannel66925 ай бұрын
Hakuna cha mwezi wetu wala mwezi wangu, Allah kaumba mwezi mmoja na jua moja na masaa ya Saudia na Kenya na East Africa kwa ujumla yako sawa na hakuna nchi ilio pishana kwa masaa zaidi ya 6 kumaanisha pia dunia nzima siku ziko sawa ila tumepishana kwa masaa kwa kuchomoza kwa jua
@ahmadSeif8605 ай бұрын
Acha ujinga ww
@rashidingoyo-ep1kj5 ай бұрын
Acha upuuzi
@HamadaZubeirTahir5 ай бұрын
Kua makini weweeee....nani kakwambia kua kuna muwandamo wa Jua
@husna345625 ай бұрын
But saudia sai alfajir saa 3.15 kenya kumi na moja
@yusufmwangichannel66925 ай бұрын
@@husna34562 Sasa si ni summer but masaa ni yale yale ni kama tu nchi zengine ikifika summer jua utoka mapema na uanguka kuchelewa na ikifika winter jua utoka kuchelewa na uanguka mapema
@aishasalim95465 ай бұрын
Sheikh yataka ujuwe kama unavo sema SIku ya jumamosi ni SIku ya sabato lakini sabato ni ya waisrael pekee yao Sio sisi ummati Mohammed swa
@UmmyHassani-j2o5 ай бұрын
Sema wewe
@AhmedM101065 ай бұрын
Katika darsa yako ya nyuma kama nakumbuka ulisema ni ijumaa. katika hii darsa umetamka ni ijuma mosi.
@hassanmohamedabdalla41085 ай бұрын
لأن الرسول ﷺ قال في ذلك: الحج عرفة بيَّن الرسول ﷺ أن الحج هو عرفة، هو الركن الأعظم، من فاته الوقوف بعرفة؛ فاته الحج؛ لأن الرسول ﷺ بيَّن ذلك، قال: الحج عرفة فمن أدرك عرفة بليل؛ فقد أدرك الحج، فدل ذلك على أن من لم يدرك عرفة؛ فقد فاته
@MuhammadShali695 ай бұрын
Wallahy kama umeelewa hii akili unayo kma bdo akili huna na nimeapa kwa mola..kwani sisi ambao tuko huku yatuhusu hio hadith? Kma yatuhusu nioneshe wp yatuhusu maana mm sijaona panapo tuhusu
@omarmassemo62265 ай бұрын
Swali langu kwako Ustadhi,wewe unaposema hufuati Saudia kwa hili la Arafa nabii wako ametokea wapi ?
@SaidihamisiSewando5 ай бұрын
Minakushauli inapofika mieziyahija we kaakimya maana utawapotezeawaaislamu fazilaza sikuya arafa
@FatmaAmour-y1t5 ай бұрын
Anyamaze tu arafa kigezo kipo makka
@ahmedally77215 ай бұрын
Shekhe wangu kwani wakenya walio enda hijah kesho hawahiji kwa sababu juma mosi sio mwezi 9 kwa wakenya
@IzudinAlwyDin5 ай бұрын
hata mm nikienda maka nitafuata hisabu ya makah .
@mohagurey22145 ай бұрын
Arafa yenu iko wapi ustadh nije kuhudhuruia pia😂😂😂
@fadhilimusa97325 ай бұрын
Iko matakoni mwako ndilo jibu ulilotaka
@abdiabdu71795 ай бұрын
Kwani uko hijja
@mohagurey22145 ай бұрын
@@fadhilimusa9732 Asante kwa matusi.
@muktarkassim66475 ай бұрын
Usije Arafa njoo Idd
@madrassatulihyaa-ilislaami29115 ай бұрын
Wew ndio miongoni mwa watu ambao n kma hamukufika hata fasl awwal,...Jaahil
@ummusalim19915 ай бұрын
😂
@hassanmohamedabdalla41085 ай бұрын
العقيدة الصوفية: تختلف العقيدة الصوفية عن عقيدة الكتاب والسنة في امور عديدة من اهمها: مصدر المعرفة الدينية, ففي الاسلام لا تثبت عقيدة إلا بقرآن وسنة لكن في التصوف تثبت العقيدة بالالهام والوحي المزعوم للأولياء والاتصال بالجن الذين يسمونهم الروحانيين, وبعروج الروح الى السماوات, وبالفناء في الله, وانجلاء مرآة القلب حتى يظهر الغيب كله للولي الصوفي حسب زعمهم, وبالكشف, وبربط القلب بالرسول صلى الله عليه وسلم حيث يستمد العلوم منه. واما القرآن والسنة فإن للصوفية فيهما تفسيرا باطنيا حيث يسمونه احيانا تفسير الاشارة ومعاني الحروف فيزعمون ان لكل حرف في القرآن معنى لا يطلع عليه إلا الصوفي المتبحر, المكشوف عن قلبه. عقيدة الصوفية في الله تعالى: يعتقد المتصوفة في الله عقائد شتى منها "الحلول" الذي يعني ان يكون الصوفي الها وربا يعلم الغيب كله كما يعلمه الله سبحانه وتعالى حيث ان الهدف الصوفي هو الوصول الى مقام النبوة أولا ثم الترقي حتى يصل الفرد منهم في زعمهم الى مقام الألوهية والربوبية. البسطامي من اعلام القرن الثالث في التصوف ومن أئمة الصوفية يقول: "رفعني مرة فأقامني بين يديه, وقال لي: يا أبايزيد ان خلقي يحبون ان يروك, فقلت: زيني بوحدانيتك, وألبسني انانيتك, وارفعني الى احديتك..." تعالى الله عما يقول علوا كبيرا , وتأكيد الصوفية على القول بالحلول التي جعلتهم يتشبهون بصفات الله جعلهم يصلون في النهاية الى القول "بوحدة الوجود" التي تعني في العقيدة الصوفية انه ليس هناك موجود إلا الله سبحانه وتعالى فليس غيره في الكون, وما هذه الظواهر التي نراها إلا مظاهر لحقيقة واحدة هي الحقيقة الإلهية. ويؤمن الصوفية بهذه العقيدة حتى يومنا هذا.
@hassanmohamedabdalla41085 ай бұрын
يُشتَرَط أن يكون الوقوفُ في أرضِ عَرَفاتٍ لا في غيرها، وعَرَفةُ كُلُّها مَوْقِفٌ. الأدِلَّة: أولًا: مِنَ السُّنَّةِ 1- عن جابرٍ رَضِيَ اللهُ عنه قال: قال رسولُ اللهِ صلَّى اللهُ عليه وسلَّم: ((ووقفتُ ههنا، وعَرَفةُ كلُّها مَوقِفٌ )) 2- فِعْلُه صلَّى اللهُ عليه وسلَّم، وقد قال: ((لِتَأخُذوا مناسِكَكم )) ثانيًا: مِنَ الإجماعِ نقلَ الإجماعَ على كونِ الوقوفِ بعَرَفةَ رُكْنًا لا يصحُّ الحجُّ بدونِه: ابنُ المُنذر؛، وابنُ حزم، وابنُ عبد البَرِّ، وابنُ رُشد، والنووي، والصَّنعانيُّ ونقل النوويُّ الإجماعَ على صِحَّةِ الوقوفِ بأيِّ جزءٍ مِن عَرَفات
@HamadaZubeirTahir5 ай бұрын
UNAZUNGUMZIA NINI SASA HAPO
@hassanmohamedabdalla41085 ай бұрын
@@HamadaZubeirTahir arafa ya masufi ni mabrui
@mahsenabudizamzamzamzam52575 ай бұрын
Brother izzuddin ww wafeli kila cku coz ukisema kuhusu hadith ya kutofunga jumamosi hio hadith dhwaifu na nyny hadith dhwaifu kwenu ndio muipendao Je yaum beidh cku nyeupe tuiruke ikiwa imekuja jumamosi hehehe Allah atuongoze
Sheikh amezungumza kuhusu kufunga jumamosi pekee ayamul bidh ni cku 3 mfululizo sikizeni kwa makini ndo mujibu
@TheFutureWillBeDifferent5 ай бұрын
Before Technology mlijua vipi Saudia Wanafunga lini?
@mahsenabudizamzamzamzam52575 ай бұрын
@@TheFutureWillBeDifferent kwa radio ulikuweko
@AbshirMubaarack5 ай бұрын
Halaf kumbuka arafa inaanza baada ya adhuhuri C tungeanza kufunga saa 7 mchana sasa 😅😅
@hilaljaffery40115 ай бұрын
😂😂😂😂itabid tuwaambie mawahabi walijue ilooo
@SaidihamisiSewando5 ай бұрын
Funga inanza kwakuingia alfajir nakumalizika linapozamajua ndio utaratibu wa funga nakisimamo kinasimamwa mchana sasawe tafutafadhira ya sikuya arafa usifuate siasa maana ukifunga kwatarehe Yako ukaacha sikuhalisi itakuwa umekosa herinyingi yasiku Ile kwani ilenisiku maalum Dunia nzima hata kama tumepishana masaa lakini arafanimoja tuu
@hassanmohamedabdalla41085 ай бұрын
الشريعة الصوفية في العبادات: يعتقد الصوفية ان الصلاة والصوم والحج والزكاة عبادات العوام وأما هم فيسمون انفسهم الخاصة ولذلك فعباداتهم مخصوصة وان تشابهت ظاهرا . واذا كانت العبادات في الاسلام لتزكية النفس وتطهير المجتمع فإن العبادات في التصوف هدفها ربط القلب بالله تعالى للتلقي عنه مباشرة حسب زعمهم والفناء فيه واستمداد الغيب من الرسول صلى الله عليه وسلم والتخلق باخلاق الله حتى يقول الصوفي للشيء كن فيكون ويطلع على اسرار الخلق, ولا يهم في التصوف ان تخالف الشريعة الصوفية ظاهر الشريعة الاسلامية, فالحشيش والخمر واختلاط النساء بالرجال في الموالد وحلقات الذكر كل ذلك لا يهم لأن للولي شريعته تلقاها من الله مباشرة. شريعة الصوفية في الحلال والحرام: اهل وحدة الوجود في الصوفية لا شيء يحرم عندهم ولذلك كان منهم الزناة واللوطية ومنهم من اعتقد ان الله قد اسقط عنه التكاليف واحل له كل ما حرم على غيره. شريعة الصوفية في الحكم والسياسة والحروب: المنهج الصوفي يرى عدم جواز مقاومة الشر ومغالبة السلاطين لأن الله في زعمهم اقام العباد فيما أراد.
@hassanmohdally52175 ай бұрын
Mwenye no ya izudini naombaa tafadhali niko na maswalaa muhimu natakaa kulizaa
@IzudinAlwyDin5 ай бұрын
0722611120
@zakariaathman90195 ай бұрын
Mash Allah
@KisakaShimbo5 ай бұрын
Mwenyezimungu akulipe unachositahiki kulipwa kutokana nania yako
@madrassatulihyaa-ilislaami29115 ай бұрын
@@IzudinAlwyDin Shkh Izzudin mim nakukubali sana InShaaAllah Allah akujaalie umri wenye Afya na akuzidishie Elimu na akulinde na jicho la husda Amiiiiin
@anwarsaddat40635 ай бұрын
Amin thuma amin.🤲
@Hamis-ks1sy5 ай бұрын
Ni upumbavu2 hayo mambo yote wasomi wa ahlu-sunna wameeleza na khitlafu zote ni ujinga2 umekujaa ndo maana wasema hayo hayasemwi.
@isihakaabdul11345 ай бұрын
Sheh yaumu arafa !! Mbona unapata tabu sana kupindisha pindisha au mombasa mna arafa yenu ??
@almeidhalu32385 ай бұрын
Sasa wewe ukijiona hapo umesoma fikhii kumliko hata tuanze kufuta kauli yako ya siasa
@mohagurey22145 ай бұрын
Hawaa na nafsi ndio shida ndugu yangu
@mapishiyetumazuri23125 ай бұрын
😂😂😂 nakwambia wee habari
@muktarkassim66475 ай бұрын
SI Mombasa tu na Tz ziko nchi nyingi Zina swali Jumanne
@muktarkassim66475 ай бұрын
Jumatatu afwan
@mahsenabudizamzamzamzam52575 ай бұрын
Kwani hini dhulhijah watu hawafungi MFULULIZO Kisha hio hadith ni dhwaifu ashajibiwa kwa mahasan tv yeye atefuta views tu
@salimjawas81235 ай бұрын
Sheikh nakuomba angalia clip ya Sheikh Mziwanda, Jee arafah ni lini? Ameifafanua vizuri sana. Na yeye ni msufi. Huo wako ni ushindani tu, rudi ukasome
@KakaOmmy-xx6pi5 ай бұрын
Mm kwanza sijqmuelewa huu sheikh. Lakin napenda kufuatilia mawaidha yake
Subhanallah isipokua ni hii mitandao ya siku hizi kitambo watu walikua wakifuata mwezi wao ..itaqillah muogope Allah
@abdulkhaliqmuhammed4565 ай бұрын
Nenda kamsomeshe kwa sabab inaonekana wewe una elim kubwa
@uiavajiwgav54415 ай бұрын
Swali siku ajumapili niarafa gani siku zanyuma ulikua huwezi kujua kama watu wako arafa sahii ukiangalia tv waona siku yajumamosi watu ndio wako arafa jumapili itakua ni arafa ya mambrui na riadhwa lamu
@TheFutureWillBeDifferent5 ай бұрын
300 years watu walifunga na saudia jee walikuwa na uhakika gani siku ya Arafa?
@Mohamedharith-wb4op5 ай бұрын
Darasa lako ni lakusema mambo ya watu kuenda harusini wewe hata hujielewi waongea nini albani amefuata dalili anaeza shindwa kidalili lakini hajazua bidd'ah,nakuomba umskize sheikh ali abubakar ashaeleza kua wana wazuoni wa sunnah
@zeynaaly19485 ай бұрын
hakuna ubaya wowote kukataza mabaya yafanyikayo katika maharusi yetu ya sasa hasa harusi za kislam watu kuvaa uchi na kudhihirisha mapambo yao na kufanya israfu mbona wamlaumu sheikh kwa hilo wakati Mtume Muhammad S.A .W. ametukataza mm naona hapo ww ndo ukasome zaid ama macho yako yamepatwa na makengeza hulion hilo maharusin
@Mohamedharith-wb4op5 ай бұрын
@@zeynaaly1948 wewe ndio uko na kengeza inaonesha soma vizuri hapo mm nimesema kua mambo yake ilimu yake ni yakusema watu wanao enda harusini kwa hilo yuko sawa huku kwengine sio mahali yake hana ilimu nako, na sijasema kua yafaa kuvaa uchi hayo ama kwenda harusini haya ni yako ndio mwanzo kukuskia wewe
@rashidhemed53315 ай бұрын
Yote ni myahud anataka kuwagawa waislam nashida pale Saudi myahud ndo Yuko na kiti chake ili waislam tusishikane
@SugowFarah-up3db5 ай бұрын
Mbona umekita na kauli ya Imaam Albany pekee na ilihali wale wawili umeikwepa❓ Kwanini unasisitiza waislamu kufunga ijumaa na juma mosi kwa kuwalazimisha wafuate kauli ya Imaam mmoja Albany na kupuuza wanazuoni wengine? Nini hasa malengo yako mzee wangu ???? Je Imaam Albany ni ma'suum??? إتق الله ربك
@salemaliy19635 ай бұрын
Taymia.ibaz.albaniy
@genius00455 ай бұрын
Alhamdulilah, this year the grave worshippers prayed Eid on a different day than the day all Muslims prayed.