JE NI NANI ALIYEMUKHALIFU CHIF KADHI

  Рет қаралды 6,424

Izudin Alwy Ahmed

Izudin Alwy Ahmed

25 күн бұрын

Пікірлер: 85
@maalimjumabinmuhammad6128
@maalimjumabinmuhammad6128 24 күн бұрын
بارك الله فيك
@w4058
@w4058 23 күн бұрын
Subhanallah wamefanikiwa Wazayuni kazi ya kuwaparaganya Waislam hilo hazionekani na ndii wanatuuwa kuliko kuku bado tu sie hatufaham
@genius0045
@genius0045 17 күн бұрын
Alhamdulilah, this year the grave worshippers prayed Eid on a different day than the day all Muslims prayed.
@ibnuyussuf
@ibnuyussuf 24 күн бұрын
Kuwani Leo tusi fuate kitambu tulikuwa tuna sema tufate yeye .tena hi ni arafah hakuna arafa mpili
@mamitomamita6284
@mamitomamita6284 24 күн бұрын
TUKO PAMOJA USTADH WETU 👍🏼
@Abdulrahman.84
@Abdulrahman.84 22 күн бұрын
Shukran Wajazaka Allah kheir Habib
@abeliever6823
@abeliever6823 23 күн бұрын
أعزك الله يا أخي العزيز اسال الله ان يجمعنا على الخير و الحق اللهم ردنا الى دينك رداً جميلا
@user-nr4xd4lh5s
@user-nr4xd4lh5s 21 күн бұрын
Ajabu ni moja mufuatao saudia.hakuna hata siku moja saudia hakubali mwezi wa nchi nyengine wao ndio wamekamilika
@majidsaid08
@majidsaid08 24 күн бұрын
Wafuasi wa saudia hebu niambieni sababu za msingi kuwa lazima mufwate huko ndivyo mtume alivyofanya ama alivyo tuambia tufanye????
@mgambo100
@mgambo100 24 күн бұрын
Sababu kuna Tv, internet na simu tu si zaidi ya hapo.
@majidsaid08
@majidsaid08 23 күн бұрын
@@mgambo100 ndio maana mwakosea, fwateni mtume alivofanya. Na wale watu wakutaka dalili kwa kila kitu jee hili la kufwata saudi lina dalili?? Ama mwafwata hizo TV tu?? Na hizo TV na Simu ukiangalia vizuri mashekhe wa saudi wasema kila mtu afwate mwezi wao..... wakati wa corona watu walifwata wapi???
@mgambo100
@mgambo100 23 күн бұрын
@@majidsaid08 nilichomaanisha hao wanaofuata Saudia hawana sababu za msingi. Ni kwamba sasahivi kuna simu, tv na internet mana ndo kitu pekee kinachowaweza kuwafanya wajue muandamo wa mwezi wa Saudia lakini tuwaulize kabla ya kuwepo vitu hivo tarehe zao walizikipata vipi kama si kuangalia miandamo katika maeneo yao. Na kama ni hivyo wasema je uislam wa wakati huo ulikuwa haujakamilika sababu hakukuwa na Teknolojia?. So dalili sio za kifiqhi bali ni za kutumia akili zaidi na teknolojia
@chozilasamakikachumbari6705
@chozilasamakikachumbari6705 23 күн бұрын
Kwenye saumu ya ramadhani tumeambiwa tufunge tukiona mwezi na kuleni mukiona mwezi, hii ya Arafat tumeambiwa yaumu Arafat siku mahujaji watakapokuwa Arafat sasa tumfuwate MTUME na Mahujaji na Kadhi au tuwafute hawa MAMUFTI ? mbona mnatukoroga Akili? Wallahi yasikitisha hivi mnavyo tupeleka😢
@adilmansur4177
@adilmansur4177 22 күн бұрын
Hii nchi yako unayoishi imeekwa mipaka kwa aya gani? Au hadithi gani?
@naimasheikh3055
@naimasheikh3055 24 күн бұрын
Ikiwa tumemukhalifu cheif Qadhi basi wao wametangulia kufanya hivo.
@mamitomamita6284
@mamitomamita6284 24 күн бұрын
Kuna WENGINE ni washindani ustadh kusoma ni tamu mm hata nikiwa usingizini siwafuati vilemba
@azizayassin3623
@azizayassin3623 24 күн бұрын
Assalamu alykum warhatuallah wabarakatuh
@MahmoudMwacharo
@MahmoudMwacharo 24 күн бұрын
❤❤❤
@AbdallaAbdalla-ib9hv
@AbdallaAbdalla-ib9hv 20 күн бұрын
Izzudin fuata Quran Na Sunnah...Wacha mchezo katika Dini.
@abdulsalum2852
@abdulsalum2852 24 күн бұрын
🤣🤣🤣🤣KWAIYO MKO NA CHUKI NA SAUDIA NYIE MNACHUKI NA CHIF KADHI MAKHULAFI HAMUMTAKI CHIF KADHI KAWABANA KWA MBAVU
@Mohammad_shidogo
@Mohammad_shidogo 24 күн бұрын
Eti makulafi 😂😂😂😂😂 we wajua wasema nini hata ama ndiyo nyinyi wa propaganda.....kwanza kasema wapi hataki kadhi ama wanachukia Suudia!? Elimu muhimu usiitwe tu mwislamu bro
@DekowMohamedofficial
@DekowMohamedofficial 24 күн бұрын
Arafah Ni moja..wacheni kupoteza watu.
@binpodah6003
@binpodah6003 22 күн бұрын
Hakuna Cha wao wala wale. Hakuna arafa mbili ikiwa mnajua haswa Makkah watu wako arafa.
@jumajay8496
@jumajay8496 24 күн бұрын
Bora tupiganie kuondosha MUGOKAA pwani haya ya mwezi hayanafaida yoyote ni kuonesha a ubabe wa nani anae faa kufuatwa na muislamu zaidi ya mwengine nani mmwenye elimu kumshinda mwengine nani bora kushinda mwingine haya hayatotusaidia na lolote.
@hassanmohamedabdalla4108
@hassanmohamedabdalla4108 24 күн бұрын
Sheikhi Takfiri waa shibu
@hassanislam1796
@hassanislam1796 24 күн бұрын
صومو يوم غرفة mtume wetu hakutaja tarehe hapo, alitaja siku ya Arafa 4:36 , sikama ile hadith ya kufunga Ashura na tssuaay
@hassanidha3744
@hassanidha3744 23 күн бұрын
Ok so suudia akikupangia haji usiende kwa sababu calender yako na zao pia haziko SAWA basi hapo itabidi mupangei hijja zenu Maana muko nyuma na siku moja
@hakimtamimi26
@hakimtamimi26 24 күн бұрын
Swadakta sheikh Izudin
@nasarsulaiman9549
@nasarsulaiman9549 24 күн бұрын
sheekh mbona una chuki sana na saudi
@aligeraden3559
@aligeraden3559 24 күн бұрын
analipwa na oman😂
@habibmayike7463
@habibmayike7463 23 күн бұрын
Saudi imetawalwa na makafiri thats why
@aligeraden3559
@aligeraden3559 22 күн бұрын
@@habibmayike7463 wewe unajua maana ya kafiri, sista you have to learn, hawa sheikh wasikupoteshe. bendera ya saudi ni Tawhid kwanza fahamu hivyo pili ummah yetu ilianzia huko,
@user-iz1er8vg7u
@user-iz1er8vg7u 24 күн бұрын
Wallahi wapenda fitna sasa tukufuate wewe kadhi
@fahadhussein4846
@fahadhussein4846 23 күн бұрын
Utajibiwa huna point muhimu.... kama mnavoeneza propaganda potofu kuhusu Saudi....ungefuata jamaica Mufti JAmaica
@yusufmwangichannel6692
@yusufmwangichannel6692 24 күн бұрын
Kwani masaa ya Saudia na Kenya yanatofautia? Kama Mtume Muhammad (S. A. W) alifundisha kua kwenye mwezi wa Eid-Ul Hijja tuwafuate mahujaji mpaka watakapo kamilisha umra, mbona wewe unachanganya watu. Hakuna mwezi wa Saudia wala mwezi wa Kenya, tunatofautia hali za kianga tu, kwa wenzetu nchi za Arabuni ni jangwa na nirahisi kuwona mwezi, na sisi hali ya anga kwetu inakua ya kiza na miti imejaa kila mahali. Kisha pili kwa wenzetu wanakila aina ya vifaa vya kisasa vya kuangalia hali ya anga na wanao fanya kazi hio wote ni waislamu, lakini kwenye hatuna vifaa kama vyao na isitoshe wanao fanya kazi hio na kutangaza ni wasio kua waislamu, So mwezi ukiambiwa umeonekana Saudia kubali kwa sababu alie kuambia ni muislamu mwenzako na sie kafiri na Mtume Muhammad (S. A. W) alifundisha waislamu tuwe ni wenye kuaminiana inapo tokea jambo lenye na ushahidi
@aligeraden3559
@aligeraden3559 24 күн бұрын
tarehe yake ya hijr iko nyuma na siku moja
@saidhassan9201
@saidhassan9201 21 күн бұрын
Wacha kuongea mambo usioyafahamu Wakati WA MTUME mwezi ulikuwa ukivutwa na microscope? Ama wakati WA MTUME kulikuwa na tv kusema watu watizame mahujaj? Saud wao walishatengeza calendar yao so ata mwezi usipotoka lazima watalazimisha tu na hii Kwa Taarifa yako sio EIDUL-HAJ NI EIDUL-KAADA AMA EIDUL-ADHUKHA
@w4058
@w4058 23 күн бұрын
Mnajipiteza wenyewe hamna ila ubishi wenu tu
@omarbaabad2706
@omarbaabad2706 24 күн бұрын
Bila kupepesa macho answari Sunnah,salafi wameamua kwa makisudi kuwakhalifu mashekhe wao wakisunnah jua likiwa linawaka.
@mohagurey2214
@mohagurey2214 24 күн бұрын
Oooooo! Kumbe wao wamekhalifu wakati wa ramadhan na nyinyi mmelipisha saa hii
@abiabi9353
@abiabi9353 24 күн бұрын
Chief kadhi hajitambui.hajijui ni chief kadhi wa kenya au wa Saudia
@mohagurey2214
@mohagurey2214 24 күн бұрын
@@abiabi9353 shia we nenda Iran,
@abdallahkambi3613
@abdallahkambi3613 22 күн бұрын
ASSALLAMU ALAIKUM, Jamia Mosque hawakusema wanafuta Saudia Sheikh. Mwezi huonekana mara nyingi North Eastern na kule pia kuna waislamu wanaomuogopa Allah. Mtu huwa hasemi tu ameuona mwezi halafu anaaminiwa la. Kwani tunataka mtu auwone mwezi halafu anyamaze kwa kuwa umeonekana saudia? hebu kwanza mtu anieleze tumepishana na saudia kwa masaa mangapi au siku ngapi? kabla twendelee na huu mjadala wa mwezi
@iddihudu9835
@iddihudu9835 20 күн бұрын
Basi na vipindi vya Sala tufuate saudia Basi na mida ya Sala tufuate saudia na mida kufuturu vilevile maana tunatakiwa kufuata majira ya saudia sio mahali ulipo
@rashidmohamed2626
@rashidmohamed2626 23 күн бұрын
Hii dini sio yenu mnafanya mtakavyo Ramadan hatufuati Saudia alafu hajj tuko na wao 😂😂😂
@BarkeEnterprises
@BarkeEnterprises 24 күн бұрын
Urongo kwanza, eid ya kwanza tulifungua sote
@user-vd5ws1ij9b
@user-vd5ws1ij9b 24 күн бұрын
Haya hayamaliziki mpaka wewe ukubali kuwa huhistahiki kuzungumza mas,ala kama haya wewe ni youtuber tu
@mohamedadam7880
@mohamedadam7880 24 күн бұрын
Sheikh izudin kila moya afwate yake mbona mupige kee nana hio
@swalehahmad8947
@swalehahmad8947 24 күн бұрын
WA KWANZA KUMKHALIFU CHIEF QADHI NI CHIEF QADHI MWENYEWE KISHA WAKAFUATIA MAWAHABI NA WANATWARIQA WAKAWASHANGILIA.
@lordenoughforme4417
@lordenoughforme4417 24 күн бұрын
Mahurafy walikataa toka mwanzo alivotangazwa new chief kadhi.nawao apo apo wakatengeza mufti wao,ambae hapajawi kuwepo
@answarmohamed4564
@answarmohamed4564 24 күн бұрын
Fatwa chief council ina miaka mitatu Saa hii uko uko Tu ww😂😂
@user-ps1fj4uc4g
@user-ps1fj4uc4g 24 күн бұрын
Chief kadhi mwezi wa mfunguo tatu aliutangaza tangu mfunguo mosi siku mwezi uliyo onekana saudia kwa tarehe ya chief kadhi ya mwezi wa kenya ilikua ni mwezi 28 sasa ilikuaje kuonekana mwezi tarehe 28 ni geni hilo kwaiyo yoyote atakae kuja na rai zipinganazo na dalili hata km ni mwanachuoni gani hatofatwa
@MuhammadJaffary-uu6zl
@MuhammadJaffary-uu6zl 24 күн бұрын
huyu bwana عز بدعة والضلالة
@habibmayike7463
@habibmayike7463 23 күн бұрын
Ww mwenye dwalala
@fedhyful
@fedhyful 24 күн бұрын
Mbona mwaendeleza ugomvi mwazidi kugawanya ummah. Hii ni makosa makubwa. Ushindani huu ni wa kujijengea majina tu na wafuasi.
@mohagurey2214
@mohagurey2214 24 күн бұрын
Hakuna mtu amemkhalifu chief kadhi bali masufi wameamua kukataa amri yake😂😂😂
@abiabi9353
@abiabi9353 24 күн бұрын
Je nyinyi mawahabi mlifata amri ya kadhi katika eidul fitri?
@mohagurey2214
@mohagurey2214 24 күн бұрын
@@abiabi9353 shia toka hapo na uende kwa mashia wenzio
@Captainome
@Captainome 24 күн бұрын
Izuddy mawahabi hawakuwa na midomomidomo na ufedhuli na dharau kama yiyi waliamua tu kufwata msimamo wao hakuna viclip wala kelekele lakini yiyi makhurafi midomo keleji dharau kuwa,na kukangaya ummah hio ndio tatizo.
@mohagurey2214
@mohagurey2214 24 күн бұрын
Sheikh wetu izudin kama unamchanganya ummah kusudi mungu akupe mtihani duniani na aakhira
@abiabi9353
@abiabi9353 24 күн бұрын
Wewe wahabi twambieni mlimuhalifu chief kadhi kwenye Eidul fitri au la. Mawahabi tushawajua hawana haja ya dini wao lao kubwa nikubadilisha ibada ziendane na siasa za Saudia
@answarmohamed4564
@answarmohamed4564 24 күн бұрын
Na hii dua imfikie kila mwenye malengo hayo,si Sayyid Izzuddin pekeake
@mwanakheri2880
@mwanakheri2880 24 күн бұрын
Dua ya kuku haimpati mwewe
@mohagurey2214
@mohagurey2214 24 күн бұрын
@@abiabi9353 shia toka hapo, uende kwa mashia wenzio
@mohagurey2214
@mohagurey2214 24 күн бұрын
@@answarmohamed4564 ameen
@mohamedamiri4597
@mohamedamiri4597 24 күн бұрын
Kweli kabisa mawahabi watu wa fitna kubwa sana
@arrisalastriker9813
@arrisalastriker9813 24 күн бұрын
Sisi watu wa sunnah miaka yote msimamo wetu ni wa kokote.chief qadhi alikuwa kwenu pia naye sasa afata haqqi.usiume maneno shekhe
@GhalibLindi
@GhalibLindi 24 күн бұрын
Sheikh izudin tunakuelewa sana, tuko pamoja nawe
@SirlemNasir
@SirlemNasir 24 күн бұрын
MAMABO YAKO WAZ،I, ILA MASUFI MNA MATATIZO SANA. SWALI NI... SAUMU YA SIKU YA ARAFAH, ANAEYEFUNGA NI ALIYE KATIKA HAJI AMA ASIYRKUA KATIKA HAJI.. JE HAPO KUNA MAFUNGAMANO BAINA YA SAUMU YA ARAFAH NA MAHUJAJI AMA HAKUNA.. HUU NI USHAHIDI KAMILI KUWA, SAUMU YA ARAFAH INAMAFUNGAMANO NA MAGUJAJI... HILI LIELEWEKE VIZURI.
@user-ps1fj4uc4g
@user-ps1fj4uc4g 24 күн бұрын
Swali linakuja, je mafungamano hayo yawe yamefungamanishwa na zama fulani tuu wakati wa mtume maswahaba na salafi wema walio tangulia na kabla ya miaka mia mafungamano ayo yalikua yapatikana vp fikiria jambo hili kisha ujue kuna siasa kubwa inaendelea
@user-ps1fj4uc4g
@user-ps1fj4uc4g 24 күн бұрын
Hija kwa kauli yenye nguvu ilifaradhiwa mwaka wa tisa kabla ya kufaradhiwa hija watu walikua wakila eid na kufunga siku ya arafa je ni mahujaji gani walio wakitazamwa ili mafungamano yapatikane? Na baada ya kufaradhiwa hija lini mtume alipo kua madina aliulizia tarehe ya makkah ili wasikhalifiyane
@user-ps1fj4uc4g
@user-ps1fj4uc4g 24 күн бұрын
Lau watu nchi ikiona mbele ya saudia ikawa tisa yao ni nane saudia wataangalia mafungamano gani hao? na hilo lawezekana eid ya mfunguo mosi juzi kuna nchi Africa km mali na zengine zilitangaza kuona mwezi kabla ya saudia na lakushangaza wasemao mwezi wa kimataifa hawakuwafuata
@user-ps1fj4uc4g
@user-ps1fj4uc4g 24 күн бұрын
Ni dalili gani iliyo kuja kuhusisha mwezi kuwa ni lazima saudia au ni lazima mwezi wa mfunguo tatu uonekane saudia? Pili ikiwa ni lazima mwezi uwe mmoja dunia nzima tena uwe ni wa saudia tuu ilikua kuna haja gani mtume kusema fungeni kwa kuonekana mwezi na mufunguwe kwa kuonekana mwezi ikiwa kutakua na mawingu kamilisheni hesabu 30 je yawezekana ulimwengu nzima kuwe na mawingu akili lazima itumike
@khamisrubea5083
@khamisrubea5083 24 күн бұрын
Bila ya tv na internet watu walifungaje ? Apo ndo utapata majibu yote
@genius0045
@genius0045 17 күн бұрын
Alhamdulilah, this year the grave worshippers prayed Eid on a different day than the day all Muslims prayed.
ISHI HIVI UTAFANIKIWA || SHEIKH IZUDIN ALWY AHMED
32:08
امة واحدة ONE UMMAH
Рет қаралды 33 М.
MUHAMMAD BACHU NI MFITINISHAJI ANAETAFUTA UMAARUFU SI MSOMI
8:26
Alwiy Muhanna
Рет қаралды 10 М.
Получилось у Вики?😂 #хабибка
00:14
ХАБИБ
Рет қаралды 7 МЛН
Вечный ДВИГАТЕЛЬ!⚙️ #shorts
00:27
Гараж 54
Рет қаралды 14 МЛН
VIPI TUTARAKIBISHANA ?
20:36
Izudin Alwy Ahmed
Рет қаралды 969
SHK.MSABBAH UBABE HAUWASAIDII KITU LETENI HOJA HUU NDIO UTARATIBU MZURI KWETU
21:23
INAJUZU KUOA MKRISTO?
5:32
Ustadh Khatib Omar
Рет қаралды 2,5 М.
ARAFA NI LINI? By Sheikh Abubakar Amana
16:52
Ahmad Badawy Tv
Рет қаралды 3,4 М.
MAELEZO YA UDH HIYA
1:18:24
Izudin Alwy Ahmed
Рет қаралды 2,2 М.
JEE YAFAA KUWATUMIA MAJINI
5:24
Izudin Alwy Ahmed
Рет қаралды 38 М.
UKILA KWA BATILI UTAKAA NJAA KWA HAKII .
16:10
Izudin Alwy Ahmed
Рет қаралды 1,9 М.
Получилось у Вики?😂 #хабибка
00:14
ХАБИБ
Рет қаралды 7 МЛН