Пікірлер
@FATUMANgala-j1z
@FATUMANgala-j1z 2 күн бұрын
Natamani hii simu inaeza niruhusu nionje jamani
@Jayjay-d8o
@Jayjay-d8o 8 күн бұрын
Nami naupika wangu leo
@esterkapimba-tc8wk
@esterkapimba-tc8wk 9 күн бұрын
Wow !pish zuri sana ubarikiwe
@SuhailHaroub
@SuhailHaroub 17 күн бұрын
MashaaAllah
@saumusulaiman4742
@saumusulaiman4742 26 күн бұрын
❤❤
@SuleimanSuleimanjuma-j6f
@SuleimanSuleimanjuma-j6f Ай бұрын
Mashallh
@HafsaHassan-r3q
@HafsaHassan-r3q Ай бұрын
dear mbn siku hizi hauweki recipe ,, unapatikana tanga sehemu gan
@swabranyuki3920
@swabranyuki3920 Ай бұрын
Hapana chezea tangaaa,,,
@JanePondonga
@JanePondonga Ай бұрын
Mi naomba kuuliza hapo penye kuweka maji yanatakiwa ya baridi au vugu
@sukaynanathani7246
@sukaynanathani7246 2 ай бұрын
Inaonyesha Kama khavu ndani. Na Sukarno si haha Jamat I. I think needs more milk ans sugar. Ahsant dada.
@Fatma890-y1w
@Fatma890-y1w 2 ай бұрын
Asante dada
@Sarinekhamis
@Sarinekhamis 2 ай бұрын
Shira kwa nn ata ukiziwacha zipoe zinarishai yan sukari itatoka
@mapishitanga9861
@mapishitanga9861 2 ай бұрын
Itakuwa shira haikuiva sawasawa kabla hauja epua
@azainkky
@azainkky 2 ай бұрын
I loved it must try asante sana love ur upishi
@kirumiraismail6023
@kirumiraismail6023 2 ай бұрын
Masha llah❤
@KhalidKidua
@KhalidKidua 2 ай бұрын
Mashallah
@Renbenkoech
@Renbenkoech 3 ай бұрын
MashaAllah umebarikiwa kupika Allah aku baridi na ujuzi wa kupika
@Teaching356
@Teaching356 3 ай бұрын
No kutumia mafuta
@vailethmahenge9180
@vailethmahenge9180 3 ай бұрын
Asante dada nmeelewa . Swali ni kwamba hamna gaja ya mafuta?
@Hafsaamry
@Hafsaamry 3 ай бұрын
Mashaallah Mi huwa nakuelewa vizur sana.shukran.
@FatumaJumaa-rx4em
@FatumaJumaa-rx4em 3 ай бұрын
Yes wewe dd ndio umepika mseto hasaaaa nimependa
@Teaching356
@Teaching356 3 ай бұрын
Asante kwa sana kwa mafunzo mazuri nimependa❤
@Teaching356
@Teaching356 3 ай бұрын
Asante sana kwa mafunzo mazuri ❤
@fauziamuthui7589
@fauziamuthui7589 4 ай бұрын
Je unaweza kutumia maziwa badala ya Nazi?
@HappyFania-ry2ch
@HappyFania-ry2ch 4 ай бұрын
Unavyopikia huo wali unaweka tui la moto au likiwa limepoa maana kwenye wali tumezoea maji ya chemke je tui nalo nalichemsha au vp
@KomboZainab
@KomboZainab 4 ай бұрын
Mashallah
@Isacksaid
@Isacksaid 4 ай бұрын
Duuuuh
@Reefa-q8o
@Reefa-q8o 4 ай бұрын
Hatueki nafuta plz reply
@mapishitanga9861
@mapishitanga9861 4 ай бұрын
Yess hatuweki kabisa
@GiftIddy-k2f
@GiftIddy-k2f 4 ай бұрын
Mkate mdhuli sanaaa
@RhodaMagige-c8o
@RhodaMagige-c8o 4 ай бұрын
Nimependa nzuri sana
@juditholotu7249
@juditholotu7249 4 ай бұрын
Sorry hizo karatasi za kufunikia zinaitwaje
@mapishitanga9861
@mapishitanga9861 4 ай бұрын
Baking paper
@SamsonCiza-p3r
@SamsonCiza-p3r 4 ай бұрын
Asant sn
@aishajuma6706
@aishajuma6706 5 ай бұрын
Robo.mchele je..vipimo vyake je alafu kama huna nazi waezatumia maji
@SalmaBinyaga
@SalmaBinyaga 3 ай бұрын
Huwezi tumia maji mkate wa kumimina asili yake ni nazi
@TheSwahiliStudent-yq6ni
@TheSwahiliStudent-yq6ni 5 ай бұрын
Mombasa hizo zaitwa vibibi
@yasminsamjoo315
@yasminsamjoo315 5 ай бұрын
Very nice excellent
@SienaWamwandu
@SienaWamwandu 5 ай бұрын
Mashaallah mapishi yako mazuri
@florencengwavi6939
@florencengwavi6939 5 ай бұрын
Unafundisha vizuri sana
@LeanaJohn-v2c
@LeanaJohn-v2c 5 ай бұрын
❤😢
@shifaaal-baity4503
@shifaaal-baity4503 6 ай бұрын
👍👍👍💚🧡
@victorialuvanda9222
@victorialuvanda9222 6 ай бұрын
Samli n nn
@abdulhajiahmed8735
@abdulhajiahmed8735 6 ай бұрын
Tanga hakuna mchezo kwa mapishi ya vyakula bila kusahau nazi Ahsante MashaALLAH
@ukhtyzainab7254
@ukhtyzainab7254 6 ай бұрын
Thanks❤
@mapishitanga9861
@mapishitanga9861 6 ай бұрын
You're welcome 😊
@josephzenda3827
@josephzenda3827 6 ай бұрын
nimepiiita uko lakin hapa kabej limepikwa❤❤
@mapishitanga9861
@mapishitanga9861 6 ай бұрын
Asanteee😊
@AminaIssa-f1r
@AminaIssa-f1r 7 ай бұрын
Masha allah dada ang mungu azidi kukuwekaa🙏🤲🤲🙏
@mapishitanga9861
@mapishitanga9861 7 ай бұрын
Amiin ya rabb🤲
@FarajaTarimo
@FarajaTarimo 7 ай бұрын
Hueki maji
@mapishitanga9861
@mapishitanga9861 7 ай бұрын
Hapana….sababu tumeshatumia maji kwenye kuchujia tui
@MariamuYahya
@MariamuYahya 7 ай бұрын
Pishi pambe
@mapishitanga9861
@mapishitanga9861 7 ай бұрын
Karibu😂🔥
@PhilimoniDaudi-ir9lv
@PhilimoniDaudi-ir9lv 7 ай бұрын
Na Mimi pia nitajaribu
@mapishitanga9861
@mapishitanga9861 7 ай бұрын
Karibu❤️
@PhilimoniDaudi-ir9lv
@PhilimoniDaudi-ir9lv 7 ай бұрын
😮
@MaryKasunga-im9km
@MaryKasunga-im9km 7 ай бұрын
Asante snA nmependa na rahis mnooo
@mapishitanga9861
@mapishitanga9861 7 ай бұрын
Karibu❤️
@neemachomo8390
@neemachomo8390 8 ай бұрын
Nimependa,mahitaji machache na mapishi rahisi
@mapishitanga9861
@mapishitanga9861 8 ай бұрын
Shukran❤️
@SamwelJohn-vt5od
@SamwelJohn-vt5od 8 ай бұрын
Mafuta hayatumiki?
@mapishitanga9861
@mapishitanga9861 8 ай бұрын
Ukipenda unaweza kuweka…ila sisi hapo hatukuweka kabisaa