Mashaa Allah mimi ni mpya kwenye channel yako nimependezwa sana na mapishi yako tunaomba uwe unatuletea vyakula haswaa vya kitanga originally nimepitia mapishi yako yote toka umeanza shukran
@mapishitanga98614 жыл бұрын
Shukran hbbty😍😍...tuko pamoja na tutalifanyia kazi😘😘😘
@abdulkannady17054 жыл бұрын
Chaneli yenu ina mapishi original ya ukweli. Hongereni sana
@mapishitanga98614 жыл бұрын
Asantee Sanaa 🥰🥰🥰
@fatmaal-ismaili55143 жыл бұрын
Mashallah mie napenda mapishi ya tanga
@mapishitanga98613 жыл бұрын
Asante, karibu sana
@asiy22833 жыл бұрын
❤❤
@aminasalamalekumamina62173 жыл бұрын
Salam alekum mashaallah
@mapishitanga98613 жыл бұрын
Waaleykum salaam shukran
@mariambintsaid38144 жыл бұрын
Mashallah habibty wajua vile napenda channel yako. Naomba kujua 1.chukuchuku hukaangi vitungu na nyanya kwanza? 2. waweza tia bamia ama biringani katika chukuchuku?
@mapishitanga98614 жыл бұрын
Asante hbbty😍😍😘 1.kwa mm ninavojua haukaangi vitungu na nyanya. sababu ukikaanga unakuwa mchuz tena. Chukuchuku kama chukuchuku haitakiwi kuwekwa mafuta..inakuwa ni mchemsho tuh Lakini ww mwenywe ukipenda kukaanga mwnzo inawezekan ni mapendekezo yako tuh 2. Ndio.. bamia na biringanya zte znaweza kuwekwa
@mariambintsaid38144 жыл бұрын
@@mapishitanga9861 Asante sana uhkty.. bado umeniroga niko natizama video zako za zamani. Shukran sana kwa mapishi mazuri
@mariambintsaid38144 жыл бұрын
@@mapishitanga9861 samahani apoapo kwenye uliposema Mchuzi. Hivi tofauti ya Mchuzi wa samaki na Sotojo la Samaki ni nini? Ama moja una nazi wengine hauna?