KIMENUKA.!! JANUARY MAKAMBA AMJIBU PAUL MAKONDA HADHARANI, MAWAZIRI WANAO MTUKANA RAIS UNALETA FITNA

  Рет қаралды 20,748

seto tv

seto tv

Күн бұрын

Пікірлер: 15
@MrRizwan1978
@MrRizwan1978 5 ай бұрын
Hao ndio wenyewe wakina makamba. Hawana lolote zaidi ya ufisadi
@chemstry409
@chemstry409 5 ай бұрын
HUYO MAKAMBA TUNAMKUMBUKA ALIKUWA YEYE YAANI JANUARY MAKAMBA, NAPE NAWIYE,ABRAHAM KINANA NA YUSUF MAKAMBA WALISIKIKA WAKIMTUKANA MAREHEMU MAGUFULI DHAHIRI SHAHIRI....
@valenakomba7686
@valenakomba7686 5 ай бұрын
MAKAMBA NDO YEYE HUYOO.😂😂😂😂😂😂
@nghomanohosea9251
@nghomanohosea9251 5 ай бұрын
Kipele kikikuwasha lazima ujikune tu,
@epimackjohn461
@epimackjohn461 5 ай бұрын
JAMBO HILI LISIPUUZWE , MTAMKAJI ATHIBITISHE ALICHOKITAMKA , NA WANAOHISIWA PIA UKWELI UTAFUTWE . TULIKOFIKA MATAMSHI YANATOLEWA KIRAHISIRAHISI HATA KWENYE KUMBUKIZI ZA VIFO VYA VIONGOZI WALIOTUONGOZA KIUADILIFU !
@PhilkevinFelix
@PhilkevinFelix 5 ай бұрын
Hivi itakuwaje kama Makonda akampelekea taarifa Mheshimiwa Rais bila ya kuyataja majina hayo kama anavyolazimishwa ayataje?
@borysaronge1493
@borysaronge1493 5 ай бұрын
Kwani aliyetakiwa kutoa majibu ni Lema au ni makonda kwa hiyo na yeye Lema ni mmoja kati ya wale wanaolipwa kwa ajili ya kutoa matusi maana inaonekana kuwa yeye binafsi inaonekana anawajuwa iweje atoe majina ya wale aliowataja nina wasiwasi na huyu Lema .
@clemencemkondya8561
@clemencemkondya8561 5 ай бұрын
Makamba hajakosea na wala hajamsema makonda .Acheni kuwakosanisha .viongozi hao
@RamadhaniSuru
@RamadhaniSuru 5 ай бұрын
Hapa hajamtaja mtu kama cyo.kujishutukiya acheni mbwembwe wasiwasi wanini tuliyeni
@Mima-cl2im
@Mima-cl2im 5 ай бұрын
Zamu yetu kusemwa. Makamba na baba yake walimusema maręhemu Magufuli mpaka kaburini. Ni Nani aliyesema wenye kufa ni wenye dhabi. Wengine wakasema tunayempenda Hayati Magufuli tukazikwe naye. Makamba ni munafiki mkubwa. Hata Magufuli walimusema mpaka wakarekodiwa. Mwenye lake haachi.
@samsonmsomi8330
@samsonmsomi8330 5 ай бұрын
Gobless Lema si amewataja
@AliMkwende-hn6my
@AliMkwende-hn6my 5 ай бұрын
Fitna ndio kazi tuhangaike tuutafute ukweli juu anayosema makonda na anayosema Makamba viwekwe kwenye mizani na serekali pamoja na ccm wafanye mikutano ya secretariat Ili kujuwa mbivu ,mbichi ,ukweli au uongo
MAKONDA Akimuomba Msamaha MBOWE, Askofu AWAPATANISHA!
4:03
Global TV Online
Рет қаралды 198 М.
iPhone or Chocolate??
00:16
Hungry FAM
Рет қаралды 49 МЛН
From Small To Giant Pop Corn #katebrush #funny #shorts
00:17
Kate Brush
Рет қаралды 72 МЛН
ДЕНЬ УЧИТЕЛЯ В ШКОЛЕ
01:00
SIDELNIKOVVV
Рет қаралды 3,4 МЛН
MAKONDA ALIVYOCHARUANA na BOSI wa MAJI ARUSHA - WANANCHI WASHUHUDIA.
41:29
Hotuba ya January Makamba ya Kutangaza Nia Kuomba Nafasi ya Urais
1:51:18
iPhone or Chocolate??
00:16
Hungry FAM
Рет қаралды 49 МЛН