Nilitegemea CCM Ndio Wangeivuruga Chadema, But No, Ni Maneno Ambayo Yanachanganya Mpaka Inasikitisha... Ukimsikiliza Salimu Kikeke Alivyomhoji John Mrema na Ukisikiliza Akimhoji Lissu, Kuna Uwongo Wa Wazi Salimu Kikeke Anaufanya Dhidi ya Mrema... Anamwambia Lissu, "MREMA ALISEMA HUJAANDIKA BARUA" Lakini UkiMsikiliza Mrema anasema "KAMA ALIMWANDIKIA KATIBU MKUU BARUA (LISSU) KAMATI KUU BADO HAIJAIPATA..." NA KIPANDE KINGINE AKASEMA KAMA M2 AMESHAANDIKA BARUA KWA KATIBU MKUU KUTANGAZA NIA HAJAFANYA KOSA" Sasa Najiuliza Why Kumlisha Mrema Maneno? Na Pia Nikastuka Zaidi Kumsikia Mh. Lissu Ambaye Anasema Alimsikia Mrema Alichosikia Sicho Nilichosikia na Hata Nawashauri Mkatafute Hizo Interview Nzima zote Mbili. So Really Why Kutokowa Na haki kwa Maneno na Matendo Katika Siasa??? TUNAJIHUJUMU SANA.
@ThobiasMarandu3 ай бұрын
Salim Kikeke, Usiporekebisha Hii Dosari Utaaibisha sana Taaluma Yako... Niliona Pia Mahojiano yako na Madam Fatma Karume, Nilishangaa sana Ulikuwaje BBC.