Пікірлер
@LeodegardRutakyamirwa-hg9hu
@LeodegardRutakyamirwa-hg9hu 6 сағат бұрын
KWANI DARAJA LA KIGAMBONI NANI KAJENGA NA NI FEDHA ZA NANI NA DARAJA LA SALENDER NA NI AMEJENGA ACHENI KUONGOPEA WANANCHI
@VailettyShigerla-fw2sg
@VailettyShigerla-fw2sg 9 сағат бұрын
Mdogo kwa mtazamo wako
@user-wh9zj7kf7h
@user-wh9zj7kf7h 10 сағат бұрын
Manara mdomo mchafu mpuuzeni.
@SalomeKiduko
@SalomeKiduko 11 сағат бұрын
Wewe kwa nafasi yako umewafanyia nini wananchi?matusi ndio yanafanya chadema msieleweke,toa hoja ya msingi ili ueleweke.
@ramadhanmahongole9293
@ramadhanmahongole9293 11 сағат бұрын
Simba I a mashabiki wengi zaidi Tanzania kuliko tim nyingine yoyote takwimu inaonyesha kati ya watu 10 nane kati yao ni mashaka wa simba
@HassanKibwana-h3w
@HassanKibwana-h3w 12 сағат бұрын
MPINA YUPO VIZURI SANA
@user-dq1ss2uq6u
@user-dq1ss2uq6u 14 сағат бұрын
Ccm inapendwa lkn kuna bomu ndani ambalo linadhoofisha misingi yake..kinachoonekana kiukwel kinaonekana kama chombo cha manufaa kwa mtu na c watu...na inapotokea kati yenu anasimama kwa manufaa ya watu anaonekana muasi na hatakiwi jmn hiki c chama cha ccm tunachokijua.
@ruthsebastian4633
@ruthsebastian4633 Күн бұрын
Mmmmmmh uuuwiiii
@user-bz5gl7nb4m
@user-bz5gl7nb4m Күн бұрын
😱😱😱😱😱
@user-xk7vy4gb6g
@user-xk7vy4gb6g Күн бұрын
Sisi tunaomba Mh masauni na Mh mchengerwa watupatie majibu kuhusu Mh Makonda 😢😢 vinginevyo watu tutaingia barabarani km Kenya. 😢
@angelaangela5805
@angelaangela5805 Күн бұрын
Mwizi mkubwa. Wote wa kuazimwa.
@yosephatMasanyiwa-oh1rl
@yosephatMasanyiwa-oh1rl Күн бұрын
Yanasumbua sana
@angelaangela5805
@angelaangela5805 Күн бұрын
Unafaa kurudi kwenu Somalia
@angelaangela5805
@angelaangela5805 Күн бұрын
Peleka dawa hospitali sio kujenga vieanja huku watu wanakufa kwa kukosa dawa. Unataka kupiga hela kupitia ujenzi huo.
@malakisilas6523
@malakisilas6523 Күн бұрын
Barikiwa sana Kwa ujumbe ,noted
@JackobJackob-dq8sq
@JackobJackob-dq8sq 2 күн бұрын
Pumbavu kabisa nawapenda xn wana chadema ila kwa hili lakutokuonekana makonda siasa wekeni pembeni cyo ccm wala chadema mtujibuni kwanza sisi wananchi kiongozi wetu wa arusha mkuu wa mkoa yuko wapi maana hata mkiendelea na siasa sizani km kuna mwananchi atawaelewa
@rukiaiddyyahaya9506
@rukiaiddyyahaya9506 2 күн бұрын
Daaa yani tanzania 😢😢😢😢
@farijijustine1
@farijijustine1 2 күн бұрын
Good sana kaka 😅
@muharamijuma1569
@muharamijuma1569 2 күн бұрын
Wewe niTaperi sio Nabii Kesho yako Hujui
@ponsianomnyaru9140
@ponsianomnyaru9140 2 күн бұрын
Watu washaona mbele Kuna yai bovu wanakimbia mapema
@emmanuelmashishanga7141
@emmanuelmashishanga7141 2 күн бұрын
Chawa wewe
@omarinyahegs4539
@omarinyahegs4539 2 күн бұрын
Unataka ukuu nini mku*du
@emmanueljohn4968
@emmanueljohn4968 2 күн бұрын
Hakuna chama cha hovyo duniani kama ccm, chama gani hakitaki ukweli, ukweli ni kosa kubwa ndani ya chama. Binafsi sihitaji hata kukiona kikiendelea kutawala 61 ya uhuru mmh ?
@mohamedothman5792
@mohamedothman5792 2 күн бұрын
TZ ina watu wapumbavu wengi sn
@PhilipoMwita-b2x
@PhilipoMwita-b2x 2 күн бұрын
Haki sihami bongo Kuna commed sanaa
@pwaniseries
@pwaniseries 2 күн бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣makolo mnaota kwa mpanzuu
@irenekalinga323
@irenekalinga323 2 күн бұрын
Kwenye hili ikibainika kweli kanyweshwa sumu basi tutatafuta hapo tz watajulikana tu!
@RenaldaZeramula
@RenaldaZeramula 2 күн бұрын
Wazazi wake wapo wapo wspi au wamehusika mtoto wao kuuliwa
@RenaldaZeramula
@RenaldaZeramula 2 күн бұрын
Walifanya hivo kw Magufi. Tuandamane.ccm wamezoea
@JoshuaSalimu
@JoshuaSalimu 2 күн бұрын
Tumefunga ndoa NA CCM HAINA SHIDA WAJINGA SI WAPO WENGI
@DaimonMwapelele
@DaimonMwapelele 2 күн бұрын
Aacha uongo wako utabil uhalisia wa mambo
@SundaySteven-bz4yq
@SundaySteven-bz4yq 2 күн бұрын
Pia ni aibu Kwa ccm maana baada alichokisema ni kweli baada ya kufanyiwa kazi anafukuzwa bungeni ni ajabu sana?
@DaurdCharles
@DaurdCharles 2 күн бұрын
Pastor swala lahaki hakuna kusubiri ikiwa unamuogopa mungu tunamuombea popote alipo mungu amlinde
@user-hm8yt9ol4c
@user-hm8yt9ol4c 2 күн бұрын
Ukweli tunamtaka makonda.maana
@user-hm8yt9ol4c
@user-hm8yt9ol4c 2 күн бұрын
Kuna Siri gani juu ya makonda na wateule wake sisi tunamtaka Makonda wetu
@saidiathuman-og6bc
@saidiathuman-og6bc 2 күн бұрын
Chawa ilooo
@saidiathuman-og6bc
@saidiathuman-og6bc 2 күн бұрын
Nani akipende chama icho kimejaa mafisad mpaka kero
@uredmwasembo8579
@uredmwasembo8579 2 күн бұрын
We waache wakae kimya ila tunamtaka makonda wetu
@rosalienahimana6287
@rosalienahimana6287 2 күн бұрын
Kweli kabisa
@lucksonsikaona505
@lucksonsikaona505 2 күн бұрын
Huo siyo utabiri hiyo ni demokras
@zebrakacole5822
@zebrakacole5822 2 күн бұрын
JOSEPHAT GWAJIMA NAYE AMEPOTEA SIKU 5 hivi naye haonekani
@faustinedeogratias4337
@faustinedeogratias4337 2 күн бұрын
Hana quality ya Makonda, that's why hakuna anaehoji
@freddykulwa8190
@freddykulwa8190 2 күн бұрын
Waache tu utirimba wao .wachi utawala uzee duniani apo sasa vijana niwakatiwao
@pwaniseries
@pwaniseries 3 күн бұрын
viva viva jamaniiii vivaaa
@yordanyona1234
@yordanyona1234 3 күн бұрын
tumuombee Sana ni mtu muhimu kitaifa
@walidmgonja3644
@walidmgonja3644 2 күн бұрын
Muombee wewe choko
@pwaniseries
@pwaniseries 3 күн бұрын
Matabili hakumbuki kama alitabiri hadi akumbushwe🤣🤣🤣😂😂
@evansokemwa6587
@evansokemwa6587 3 күн бұрын
pastor dunia hii atuogopi kufanya.kazi nsuli ni heri tufe.
@yordanyona1234
@yordanyona1234 3 күн бұрын
ni kawaida kwa mtu kama mpina ..wala haitaji kutabir
@GervasonTabwa
@GervasonTabwa 3 күн бұрын
Ukweli husemwa 2
@ponsianomnyaru9140
@ponsianomnyaru9140 3 күн бұрын
Jambo lolote litakalo mkuta makonda liwe baya rais ajiuzulu na patachimbika
@justinemalima6701
@justinemalima6701 Күн бұрын
Kweli kabisa
@christinenyagiro6662
@christinenyagiro6662 3 күн бұрын
Kweli lakini watanganyika ni watumwa wa CCM Zanzibar.
@christinenyagiro6662
@christinenyagiro6662 3 күн бұрын
Kweli lakini watanganyika ni watumwa wa CCM Zanzibar.