🔴

  Рет қаралды 5,194

John Ngollo

John Ngollo

Күн бұрын

#mpina #bashe

Пікірлер: 19
@MalandoJilala
@MalandoJilala 3 күн бұрын
Hongera sana traore kwa kuisimamia Burkina Faso wananch wanahaki na wanaishi vizur kwa haki
@gracemima5234
@gracemima5234 3 күн бұрын
Kuna watu, ama vigogo ndani ya serikali wanafaidika na biashara hii ya sukari. Wananchi wakulima wengi wawo hawana uwezo wa kujisemea (the voiceless) , kwa bahati mbunge musomi mwenye kuelewa Mpina kwa uchungu anatetea wakulima wasio na sauti. Serikalini kuna wajanja. Kabla ya kupeleka kesi hii kortoni, alianzia bungeni. Pamoja na ushahidi wote, speaker akamufukuza , wengi tulishangaa na kufuatilia kesi hii. wakishangilia. Ni uchungu mkubwa wananchi kuwafanya wajinga, na vitisho kwenye nchi yawn. Kwa sasa wananchi wanategemea mahakama kuwapa haki,Inavyo onyesha ndani ya CCM kuna cartels wanaocontrol economy ya Tanzania.
@PartySekemi
@PartySekemi 3 күн бұрын
Kwaiyo serikali ndio inakuja kutetea walanguzi na matapeli kama bashe?
@hajjisanga789
@hajjisanga789 3 күн бұрын
Kwani sukar bei gani sasa hivi mlitaka iwe juu hongera bashe
@hamdincatalonia3272
@hamdincatalonia3272 3 күн бұрын
Mpina anatetea wafanyabiasha wa sukuar badara ya kutetea wananchi alitaka sukar ifike 10000 kg
@NethrinePaul
@NethrinePaul 3 күн бұрын
Mim nilijua serekali itashinda maana wao ndio washtakiwa na wenye mahakama sasa sisi wananchi tutashindaje?
@MalandoJilala
@MalandoJilala 3 күн бұрын
Hongera sana traore kwa kuisimamia Burkina Faso MUNGU akubarik sana
@hamdincatalonia3272
@hamdincatalonia3272 3 күн бұрын
Mpina anachuki mbaya sana
@mwalimukhamisi1680
@mwalimukhamisi1680 3 күн бұрын
Tayari yanaonekana madhaifu. Taarifa sahihi za sugar gaps zinapatikana kwa mzalishaji wa sukari au bodi ya sukari?
@mwalimukhamisi1680
@mwalimukhamisi1680 3 күн бұрын
Hapa nahisi kuna mchezo wa kuigiza. Tuendelee kufuatilia na kuchunguza hadi mwanzo mwisho.
@mwalimukhamisi1680
@mwalimukhamisi1680 3 күн бұрын
Nahisi kama vile ni waarabu wa pemba.
@AliSalim-yu4mo
@AliSalim-yu4mo 2 күн бұрын
Chuki zitakutafuna na Mungu akupe mzigo wa mshipa Kwa kuchukia viumbe wake
@levissanga8867
@levissanga8867 12 сағат бұрын
Watanzania sio wajinga. Tusiwe na hukumu za jumla kiasi hicho.
@PartySekemi
@PartySekemi 3 күн бұрын
Leteni namba tushiriki
@kasomishedrack5027
@kasomishedrack5027 3 күн бұрын
Yameshaanza kuchakachua vielelezo ili yaonekane kuwa ya maana kabisa.
@MohamedBlanker-jw9qy
@MohamedBlanker-jw9qy 3 күн бұрын
Watanzania tunaumia
@EliaHiluka
@EliaHiluka 3 күн бұрын
Hakuna kushinda bashe hapo
@AnnoyedFlowerPot-mr2ps
@AnnoyedFlowerPot-mr2ps 3 күн бұрын
Ulikurupuka
@clemencemkondya8561
@clemencemkondya8561 3 күн бұрын
Huna,hoja zozote nenda,jimboni kwako watanzania wajinga,ndiyo wanakusikiliza,.Unajua sheria,wewe,huna,lolote
How Strong is Tin Foil? 💪
00:26
Preston
Рет қаралды 90 МЛН
Worst flight ever
00:55
Adam W
Рет қаралды 18 МЛН
Teaching a Toddler Household Habits: Diaper Disposal & Potty Training #shorts
00:16
MPOKI_ UTEUZI WA MKUU WA MKOA
23:50
BONGO LAND
Рет қаралды 12 М.
How Strong is Tin Foil? 💪
00:26
Preston
Рет қаралды 90 МЛН