Waongonyie mnataka kupoteza muda chadema msikubari mazunguzo yauongo
@kudraahmad56704 ай бұрын
Safi sana katibu wa ccm
@christinenyagiro66624 ай бұрын
Inchimbi hongera kwa uwezo wako umemekomaa na unautu pia. Naomba wafanyie semina wata wa CCM na viongozi wakuu hasa vyombo vya serikali kama usalama wa Taifa na polisi kwa sababu Hivi vyombo vya serikali vinafanyakazi kwa niaba CCM na wanatuteka ili kutimiza haja ya wana CCM.
@dawsonkaaya42104 ай бұрын
Katibu wangu Ulikua wapi unaacha wanakusemea? Leo umelenga 4R ya Dr.❤
@mwitawambura25484 ай бұрын
Huyu ndiye kiongozi Achana na wale waropokaji CCM huyu jamaa ni hazina mmtunze vizuri Baada ya mama samia huyu jamaa anatufaa kabisa
@TrustElbashil4 ай бұрын
Wewe unacheka sababu ni mnufaika mkubwa wa mauaji mbona mko nao mojawapo ni yule wa Kagera alie toa kauli za kupoteza watu kwahiyo nchimbi Anza na Yule
@felixmluge32114 ай бұрын
Kilasiku ....ni mazungumzo tu na amna matokeo chanya....Sio kweli apo
@KorekaLukumay4 ай бұрын
Tokezeni muanda muandamane mwanye utu angejali watu kutekwa
@KuzenzaSangija4 ай бұрын
Sawa kiongozi Kwa kusema ukweli tunahitaji viongozi kama wewe viongozi walioko serikalini wawajibike kadiri inavyotakiwa kuleta Imani na amani Kwa wananchi ili wapate haki zao
@TrustElbashil4 ай бұрын
Mbona mliingia mitiniszungumzo ya chadema na ccm mwaka mzima Sasa nanimnampumbaza? au mnajipumbumbaza wenyewe